Nchi yenye wanasiasa Magaidi si sehemu salama kwa uwekezaji

CCM inaharibu reputation ya nchi.
Kitendo cha " kunywa bia" kwa furaha kwa sababu familia ya fulani imepata msiba si kizuri. Tuanzie kwenye mahusiano katika jamii kabla ya kuinyooshea CCM kidole.
 
Hivi Kuna watu wapumbavu na wajinga kama hao maccm wao wanatukamua ili waishi vizuri na familia zao.
Wajinga sana.
 
Kitendo cha " kunywa bia" kwa furaha kwa sababu familia ya fulani imepata msiba si kizuri. Tuanzie kwenye mahusiano katika jamii kabla ya kuinyooshea CCM kidole.
CCM na siasa zenu za kishenzi,siasa za chuki na uhasama, mmeleta mpasuko mkubwa nchi hii.
Nyie mwajiona ni raia daraja la kwanza,
 
CCM na siasa zenu za kishenzi,siasa za chuki na uhasama, mmeleta mpasuko mkubwa nchi hii.
Nyie mwajiona ni raia daraja la kwanza,
Lini CCM "imekunywa bia kwa furaha" kuonyesha siasa za kishenzi na chuki na uhasama na mpasuko kwenye nchi? Mwalikoroga halafu mnazira kulinywa... kunyweni zege lenu kama mnaona lina virutubisho vya mwili!
 
Mwanadamu kwa sababu ya uchu wake, anaweza kugeuka haraka kuwa nyoka, akigeuka, aitwe kwa jina la mtu nyoka kama kawaida, tuogope kitu gani kwa mtu wa aina hiyo kuitwa nyoka?

Eti, Tuogope nini na tayati mtu keshaamua kugeuka nyoka..!
 
Unfortunately, "international relations" (as in diplomacy) doesn't work that way. Vinginevyo nchi kama Saudi Arabia au Misri zingesuswa na mataifa ya Magharibi. Mahusiano ya kimataifa huangalia zaidi maslahi kuliko siasa za ndani. Angalia wawekezaji wanavyomiminika Rwanda licha ya rekodi isiyopendeza ya haki za binadamu nchini humo. Angalia Nigeria, je imesuswa kwa sababu ya Boko Haram? Tena hao Wamarekani na Waingereza ukitaka uswahiba nao, waambie unapambana na ugaidi, watamwaga misaada kama hawana akili nzuri.
 
Ni kweli mkuu. Hawajui madhara kijamii na kiuchumi kwa kutamka kuwa nchi ina wanasiasa magaidi. Watawala wetu wamevurugwa na matakwa ya katiba mpya. Sasa hivi wanapayuka ovyo pamoja na kutumia vibaya vyombo vya dola.
 
Nani atawekeza Somaliland????

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Lini CCM "imekunywa bia kwa furaha" kuonyesha siasa za kishenzi na chuki na uhasama na mpasuko kwenye nchi? Mwalikoroga halafu mnazira kulinywa... kunyweni zege lenu kama mnaona lina virutubisho vya mwili!
Mmemchinja Mawazo mchana kweupe WATU wakishuhudia na hamna aliyekamatwa, huo ni upendo wa aina gani?
 

Kuna watu wanawafanya wanaNchi kma madaraja ya kuvukia kutimiza maalengo yao.

Wanatumia nguvu kubwa ya kuushawishi umma habari mbaya juu yaa serikali yao kumbe nyuma yao kuna uchafu na mabaya mengi, hayfahiki kwa wengi
 
Uko sahihi kabisa.
Hawa viongozi wa Ccm wanaangalia vyeo vyao tu, hawana huruma na TAIFA hili.
 
Tunamuomba mwenyezi Mungu awamulike wale wote ambao wanabambikiza wenzao makosa ili wabakie madarakani.
Huku wakijua wao ni binadamu tu.

Ee Mungu wangu, uishie milele,hu mwanzo na hu mwisho.
Sikia maombi haya,
AMINA.
 
wanaiharibu image ya Nchi yetu,huenda Wana hamu na hao magaidi,maana kila Jambo wao ugaidi,hawajui Kama wanaharibu taswila ya Nchi kimataifa na kiuwekezaji
 

maslahi gani tuliyonayo sisi hata wasijali tunapojitangazia ugaidi. Saudia kuna mafuta, wanayahitaji. Egypt wanaihitaji kwa sababu ni propaganda tool and protector wa Israel......
 
Washauri wa kiusalama ni wapumbavu Sana kwa nini nchi yetu ya amani waiombee iwe na magaidi ,,Washindwe na walegee Naitangazia Dunia kuwa Tanzania hakuna magaidi ,. polisi tafadhali futeni hiyo kauli mara majo,,,
CCM inaharibu reputation ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…