Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Washauri wa kiusalama ni wapumbavu Sana kwa nini nchi yetu ya amani waiombee iwe na magaidi ,,Washindwe na walegee Naitangazia Dunia kuwa Tanzania hakuna magaidi ,. polisi tafadhali futeni hiyo kauli mara majo,,,
S mungu wa nyumbu. Coz huwaambii kitu . Huwez wambia anafanyaga makosa wakakuelewa, ukiwaambia alikunywa konyagi akalewa akadondoka akaitangazia dunia kuwa kavamiwa watakupinga as if yeye n mungu hakoseiMwanadamu anakuwaje mungu? una akili timamu kweli wewe?
Nilikuwa chuo mwaka wa pili.Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Siasa ni perception. perception yako kwa chama au mwanasiasa fulani huwezi ukailazimisha kwa mwingine. hata wewe unayemshabikia samia au magu na ccm yenu kuna watu hata uwahonge pesa hawakubali kwa sababu wana perception tofauti kuhusu ccm na viongozi kinaotoa.S mungu wa nyumbu. Coz huwaambii kitu . Huwez wambia anafanyaga makosa wakakuelewa, ukiwaambia alikunywa konyagi akalewa akadondoka akaitangazia dunia kuwa kavamiwa watakupinga as if yeye n mungu hakosei
Actualy kila mtu na preception yake. But people who judges first syo wa emotions( nyege) ndo huwa na right perceptionSiasa ni perception. perception yako kwa chama au mwanasiasa fulani huwezi ukailazimisha kwa mwingine. hata wewe unayemshabikia samia au magu na ccm yenu kuna watu hata uwahonge pesa hawakubali kwa sababu wana perception tofauti kuhusu ccm na viongozi kinaotoa.
Na hata humo ndani ya ccm, bado wamo wengi sana ambao ni wanachama waandamizi hawakuridhishwa na mfumo wa uongozi wa awamu ya tano na sasa ya sisa.....it is their perception. Ni uhuru wa kiutu na kikatiba
Only highly minded understand this.....mtukanaji hawezi kuelewa
what a pity!!Actualy kila mtu na preception yake. But people who judges first syo wa emotions( nyege) ndo huwa na right perception