Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hawezi pata shida au shindwa kabisa kutumia uongozi wake bora sababu ya utofauti wa kidini, kikabila na rangi kati ya raia wake?Inawezekana KWA viongozi bora
Dini, kabila, rangi hazina hoja kwenye itikadiHawezi pata shida au shindwa kabisa kutumia uongozi wake bora sababu ya utofauti wa kidini, kikabila na rangi kati ya raia wake?
Asilimia kubwa ni Wahan. na maeneo yaliyoendelea sana ni ya wahan. Wanapata shida kwenye maeneo ya watibet na wa-Uighur na waislamu. Wanachofanya ni kupeleka wahan wengi huko ili kupata homogeinity. Diversity inawapa shida sana.Mbona China imeendelea sana ?!
Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi,...
Dini, rangi na kabila haviwezi amua itikadi?Dini, kabila, rangi hazina hoja kwenye itikadi
Umetoa wazo linalofikirisha sana lenye ukweli ndani yake japo siyo kwa 100%, lakini lina ukweli kwa kama 80%Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi...
USA imekuwa ni nchi ya wazungu wakristo kwa sehemu kubwa ya historia yake. Weusi wamekuwa ni watumwa na baadaye raia daraja la pili. Wahindi ni kama wameuliwa wote.Mbona US imezewekana, au hujui unachoongea ndugu?
USA imeendelea muda mrefu wakati races nyingine zikiwa treated like sub humans. Baada ya kuendelea ndiyo inaruhusu hawa wengine nao wapate haki sawa na White Christians japo siyo kwa 100%.Mbona US imezewekana, au hujui unachoongea ndugu?
Inawezekana endapo tu, pale juu litakaa kundi linalojielewa. Tutalipataje hilo kundi? Katiba mya. Tukae tujadili namna gani tutalipa kundi la pale juu, tukishajadili tuliweke kwenye katiba. Umeongea mada nzito, fikirishi mana kwenye wengi, kelele nyingi hakuna maelewano hakuna kusonga mbele labda awepo dicteta mpole vinginevyo ni mkorogo.Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi, dini na lugha moja wanakaa pamoja.
kuna exceptions chache sana. Ni kama haiwezekani kwa nchi yenye diversity kubwa kuendelea. Pia naona ni kama haiwezekani kwa demokrasia kufanya kazi kwa nchi ambayo watu wana rangi, dini na lugha tofauti.
Inawezekana kujenga taifa imara na lenye kustawi kwenye nchi ambayo ina watu wenye dini, lugha na makabila tofauti?
PointToa mifano ili ueleweke zaidi!
Au ungekuja na mfano kama huu
Mahali pamejaa wenyeji tupu na mahali ambapo pamechanganyika! Ni mahali gani ambapo patastawi kwa haraka?
Mungu hajawahi kuwa mjinga aisee!
Kunapokuwa na tofauti tofauti za kabila na hata dini tofauti! Kwa sababu tu wengi huwa hatuna wivu wa maendeleo na badala yake dini/kabila zimejaa vinyongo na roho ya kwa nini wao na sio sisi!
Lakini ingelikuwa kila dini /kabila zijawe na wivu wa kwa nini sisi hatusomi tukafika mbali na kwa nini palipo wao maendeleo yapo pia?
Tungelifika mbaali kwa haraka mno