Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Kitendo cha Tundu kuonyesha umma wa watanzania tuu kwamba Amstadam ndio kila kitu kwake kilitosha kabisa kummaliza kwenye sanduku la kura

Matokeo ya 28 ndio yatamuonyesha wazi kwamba yeye hana tofauti na mfanyabiashara wa nyamachoma alieamua kwenda kuuza kitimoto msikitini
 
Piga spana kwa msaliti wa nchi, lissu atapigiwa kura robert[emoji28][emoji28]

Unaambiwa Robert anawachamba kama mzaramo[emoji28][emoji28] ukiingia twitter anaoga matusi ya kufa kutoka kwa Watanzania.
Kwahiyo zile bilioni 44 ktk kaya za nchi masikini za mwisho duniani zinakuja lini tukamalize kununua ndege

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo na wewe unaamini Lisu atakuwa rais sababu alipanda mwendokasi akaenda kariakoo?
 
unalazimisha mambo ya kiroho na siasa ili iweje?? itoshe tu kusema lisu hawezi kuwa raisi , ukweli unauma ila ni kweli hawezi
Hawa jamaa ni mazwazwa mkuu!

Maana hayo mambo ya kiroho waliyakataa kipindi kile Magu kasema tufunge na kuomba kwa ajili ya janga la korona. Ila sasa hivi wanajifanya kumjua sana Mungu.

Mungu siyo Amsterdam aisee
 
Kwahiyo na wewe unaamini Lisu atakuwa rais sababu alipanda mwendokasi akaenda kariakoo?
Kwa nini vijana wa CCM mnaandamwa na tatizo la utindio wa ubongo?Wapi nimesema kuwa Lissu atakuwa Rais kwa sababu alipanda mwendo kasi?!Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?
 
Nyinyi ndiyo wale mlikwenda pale airport eti mnataka kusafiri bila passport eti mnasema mnauwezo wa Baba Mtakatifu!!
 
Freedom is coming tomorrow. I just wait to see this BIG MEMORABLE DAY!
Tanzania tulipata Uhuru toka Mwaka 1961, Sasa sijui Freedom gani unamaanisha hapa ili tukuelewe vizuri zaidi!?
 
Mtazamo wako,
Tanzania tulipata Uhuru toka Mwaka 1961, Sasa sijui Freedom gani unamaanisha hapa ili tukuelewe vizuri zaidi!?
Wakuacha ukandamizaji wa haki na usawa.
 
Mimi nilishaona katika ndoto....japo sijaielewa kwa kweli
 
Tobo hatoboi nae analijua. 29/10 atatoka nduki kwenda kumuomba radhi Robert maana alimwahidi madini
Na Robert atazidi kua Mwekundu Kama kiti Moto baada ya kukosa deal la Madini!! Hakuna fani iliyojaa Wapigaji Kama fani ya Sheria! Wapo kuanzia ngazi za Chini, ukiwaona kwa harakaharaka utazani ni watetezi kweli,kumbe nyuma ya pazia na masinichi Wakubwa!!
 
Siku hizi kila mtu ni Nabii! kila mtu ana maono,Kila mtu ni mpiga ramli! Yaani ukishakua na Smart phone na bando tu,wewe tayari ni nabii na unaweza kutabiri chochote kijacho,tena kwa kutumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu ili wakuamini na utabiri wako!
Dunia inaenda kasi sana aisee!
 
Piga spana kwa msaliti wa nchi, lissu atapigiwa kura robert[emoji28][emoji28]

Unaambiwa Robert anawachamba kama mzaramo[emoji28][emoji28] ukiingia twitter anaoga matusi ya kufa kutoka kwa Watanzania.
Lisu kafanya usariti upi? Kuna usariti kama kuiba pesa kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kununua Ndege kienyeji kwa cash kula 10%? Kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?
 
Ila wenye IQ kubwa tumemuelewa vizuri sana ujumbe wake!! Siyo kila mtu humu akariri Kama tulivyo karirishwa shule be free sometimes!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…