Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi endelea kuota mpaka uelewe!!mm nilishaona katika ndoto....japo sijaielewa kwa kweli
Lisu kafanya usariti upi? Kuna usariti kama kuiba pesa kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kununua Ndege kienyeji kwa cash kula 10%? Kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?
Waambie mkuu mpango wa Mungu hauzuiliwi!! Jamaa aliyeamrisha Lissu apigwe risasi airport anaporejea na kuwa kelele zitavuma na kuisha alichukuliwa na Mungu mwenye mpango wake siku Lisu alipopanda Ndege huyu ni yule aliyelazwa Lupaso power house ya Ubabe wa Magu.Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake. Alipanga kumuua kabla ya kutimiza ndoto zake lakini haikuwezekana.
Na mwisho wa siku yeye mwenyewe sauli alikufa kabla hajamuua Daudi.
Na mwisho wa siku Daudi akawa mfalme mahali pake katika Israeli na kuliongoza taifa la Israeli katika mafanikio makubwa kiuchumi kwa sababu tu daudi alimsikiliza Mungu katika namna ya kuongoza watu katika mafanikio yao na haki siku zote aliitanguliza mbele na ndio maana alipendwa sana na wananchi wake.
Kwenye nchi yetu kuna jambo linaenda kutokea na wale wasioamini mpaka washuhudie kwa macho wataona kama alivyoona Tomaso.
Kila Mtu aliye wake na asiye wake anakwenda kumpigia kura na hii ni kutokana na maono aliyopewa katika taifa hili.
Amini Usiamini lakini ndicho kitakachoenda kutokea.
Watu wanaoamini katika ulimwengu wa roho ule usioonekana kwa macho ya kawaida wala kusikika kwa masikio ya kawaida wananielewa nilichosema.
Kwa hiyo ninaamini Msaliti wa Nchi atapata hata kura laki tano?
Mwaka huu tunawafundisha adabu
Nilishakupa assignment ya kuthibitisha kuwa Lissu ni msaliti wa nchi ila ukaingia mitini.Uliingia mitini kwa sababu suala lako la kudai kuwa Lissu ni msaliti wa nchi ni porojo tu pamoja na siasa za maji taka na mtu pekee ambae anaweza kufanya siasa za namna hii ni mtu mwenye utindio wa ubongo au mbumbumbu.Wewe una utindio wa ubongo kwa sababu unafanya siasa za namna hii.
IQ kubwa ya vichambo?!Unafanya mzaha kama aliechora hiyo picha ya Magufuli katika avatar yako!Ila wenye IQ kubwa tumemuelewa vizuri sana ujumbe wake!! Siyo kila mtu humu akariri Kama tulivyo karirishwa shule be free sometimes!!
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau?
Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo
Mpenda haki hajawahi kuwa msaliti hats siku moja.
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu [emoji38][emoji38]
Kuna mkataba wowote wa madini kasaini Lissu nchi hii?
Vipi bungeni alikuwa anawatetea Mabeberu ?
October msaliti wa Nchi akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Muulizeni msaliti wa Nchi Kwanini bungeni alikuwa akiwatetea Mabeberu waendelee kuchimba madini bila mkataba?
Magufuli alikuwepo wakati mwaka 1998 Lisu alipoanza kupiga kelele juu ya mikataba mibovu ya madini je? huyo magufuli alifanya nini mwaka 1998 zaidi ya kupitisha mikataba mibovu?Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau?
Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo
Yaani hao Wanasheria Majingili tena wamejaa sana hata kwenye Mahakama zetu! Baada ya Uchaguzi naomba Magufuli apamulike kwa Upana sana na awachomowe wote waende na Mpiga deal mwenzao huko uhamishoni!!We unamuona tobo lilivyogeuka kuwa tobo la wapigaji na hasa acacia .hawa ninmajangili kama majangili wengine
Ccm ilishakufa polepole na bashiru ni wachumia tumbo awajui siasa awaijui ccm walimshauri boss wenu vibayaPiga spana kwa msaliti wa nchi, lissu atapigiwa kura robert[emoji28][emoji28]
Unaambiwa Robert anawachamba kama mzaramo[emoji28][emoji28] ukiingia twitter anaoga matusi ya kufa kutoka kwa Watanzania.
Bunge la CCM ndilo bunge hupitisha mikataba mibovu kisha baada huja mtu toka CCM na kujidai anaikosoa kujirekebisha ili apate kisingizio cha kupiga pesa toka kwa wale ambao watatikiswa na ndivyo walivyofanya utawala huu wenye ufisadi mkubwa huku deni la Taifa likizidi kuwa kubwa mara dufu kila kukichaBunge lipi, hilo bunge kibogoyo?
Unakufuru sana, kufananisha watu wa kwenye vitabu vya kidini, na hawa wanasiasa wa karne hii. Hakuna yoyote anyeweza kutimiza yalifanywa na Daudi. Wanasiasa wote wa sasa ni waongo na kauli zao hazina ukweli. hawajui kutimiza ahadi zao.Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake. Alipanga kumuua kabla ya kutimiza ndoto zake lakini haikuwezekana.