Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Hata ukiwa na smart phone waweza kupinga utabiri na kuishi kwa kukariri kutukuza zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu na polepole pia, kuaminisha watu hakuna mipaka waweza kuwaaminisha kuwa pesa za miradi yote ikiwemo flyover ni pesa binafsi za mtukufu mwenyekiti wa CCM siyo pesa za walipa kodi na maendeleo ni Hisani za CCM siyo kitu cha haki na lazima.
 
Ila wenye IQ kubwa tumemuelewa vizuri sana ujumbe wake!! Siyo kila mtu humu akariri Kama tulivyo karirishwa shule be free sometimes!!
Watetezi wa CCM na wale wanufaika wa mfumo kandamizi wanufaika wa uonevu unyanyasaji uovu wa CCM siku zote hawataki kusikia utabiri aina yeyote ambao wataona una dalili za kung’oa mizizi ya ulaji wao.
 
Mwenyezi Mungu na akafanye wepesi wa mabadiliko hayo adhimu! Washindwe na walegee kabisa wanaotaka kukwamisha ukombozi huu!
Wwe Kombowa Mfuko wako,Nchi ilisha Kombolewa na Baba wa Taifa tangu Mwaka 1961!!
 
Sasa kitakachofanya Lisu awe rais ni kitu gani maana zaidi ya kumtegemea Amsterdam hamna kingine?
 
We unamuona tobo lilivyogeuka kuwa tobo la wapigaji na hasa acacia .hawa ninmajangili kama majangili wengine
 
Wwe Kombowa Mfuko wako,Nchi ilisha Kombolewa na Baba wa Taifa tangu Mwaka 1961!!
Tanzania ilipata Mkoloni mweusi kaburu mweusi toka tokea chato, alirejesha ukoloni Hatari zaidi ya ule wa Mzungu, sasa ni mda wa kudai uhuru upya
 
Vikwazo ni vingi sana lakini havinabudi kutokea ili lile neno liweze kutimia
 
Hawa jamaa ni mazwazwa mkuu!

Maana hayo mambo ya kiroho waliyakataa kipindi kile Magu kasema tufunge na kuomba kwa ajili ya janga la korona. Ila sasa hivi wanajifanya kumjua sana Mungu.

Mungu siyo Amsterdam aisee
Hivi huyu Amsterdam hajakutana na Wazaramo wenye Nchi yao waamchambe hadi azimie, akiamka hapo nduki hadi Ulaya!!
 
We unamuona tobo lilivyogeuka kuwa tobo la wapigaji na hasa acacia .hawa ninmajangili kama majangili wengine
Kampuni zote zililetwa na CCM magufuli alikuwa Bungeni na pia alikuwa kwenye baraza la mawaziri hakuwahi kupinga au hata kutoa maoni kipindi hicho
 
Kwa nini vijana wa CCM mnaandamwa na tatizo la utindio wa ubongo?Wapi nimesema kuwa Lissu atakuwa Rais kwa sababu alipanda mwendo kasi?!Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?
Kumbe hata wwe huna uhakika Kama Lissu atakua Raisi wako!? Ila najua unauhakika kabisa Magufuli ndiyo Raisi,sema mkumbo tu ndiyo unakupoteza njia!!
 
Hivi huyu Amsterdam hajakutana na Wazaramo wenye Nchi yao waamchambe hadi azimie, akiamka hapo nduki hadi Ulaya!!
Nchi ipi yao? Hakuna mzaramo anataka pesa zake kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, hakuna mzaramo anataka pesa zao trilion 1.5 ipigwe kisha CAG atolewe kafara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…