Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Na ww umeng'ang'ana na neno piga spana ili uonekane unaenda na maneno ya fashion ya mjini, kumbe ni jizee fulani lililopoteza ramani. Wala huna mvuto wa kutumia hilo neno maana linawafaa zaidi vijana.
Neno Limekuchoma kumbe, ngoja nami nilichukuwe niteembee nalo kwa Ma group ya WhatsApp likawachome na wengine huko!![emoji2][emoji3]
 
Kama ni Hashimu Rungwe itapendeza, maana hawa wengine wananichanganya tu
 
Msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji

Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Magufuli alikuwepo wakati mwaka 1998 Lisu alipoanza kupiga kelele juu ya mikataba mibovu ya madini je? huyo magufuli alifanya nini mwaka 1998 zaidi ya kupitisha mikataba mibovu?
 
Neno Limekuchoma kumbe, ngoja nami nilichukuwe niteembee nalo kwa Ma group ya WhatsApp likawachome na wengine huko!![emoji2][emoji3]

Linichome kwa kipi hilo neno analitumia kigogo huko twitter, huyu limbukeni mwenzio ndio limemnogea saa hii analitumia kila post ili aonekane na yeye ni nguli wa mitandao.
 
Nimekuelewa ndio maana huyu Sasa anaona alete Wamalawi waje wstuwekee jiwe la msingi kwenye miradi ambayo hata waziri mkuu anafaa kuweka
 
Hakuna wa kuchezea boksi la kura tutawafundisha kuwa usaliti kwa Nchi ni laana

Hiyo mbinu ya wakuu wa wilaya kuendelea kuwapa vitambulisho vya kura kwa mlango wa nyuma wenye kadi A ccmhaitawabeba. Safari hii hamtaamini macho yenu, na mkichezea tu box la kura lazima kilichotokea Kenya kitokee na hapa.
 
Hakuna wa kuiba kura, Watanzania hawataki nyie Wasaliti wa Nchi
Wewe ndiyo utatambika kukwepa aibu kwani hutaamini kuwa Tumeccm inaenda kuumbuka uchakachuaji utafeli kwa nguvu za mungu
 
Kazi kutaka tu wenzio wafe... Kama unaona kufa kuzuri kufa ww kwanza....
Kwenda na ndoto zako za kichawi....
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania, huyo msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji
Nchi inasalitiwa vipi, tofautisha ugomvi binafsi na umma.jiwe alipanda miba iweje avune mahindi
 
Tanzania tulipata Uhuru toka Mwaka 1961, Sasa sijui Freedom gani unamaanisha hapa ili tukuelewe vizuri zaidi!?
Wanataka fredom ya faragha mkuu aliyosema mgombea wao
 
Mabadiliko ni kitu halisi wapumbavu nyie wa ccm hizo fikra zenu za kwamba mtatawala milele mzifute.Hivi yule mpumbavu asiyekuwa anasema mbowe hawezi shinda siku ikitokea chadema imeshinda sijui mapumbu atayaficha wapi
 
Wanataka fredom ya faragha mkuu aliyosema mgombea wao
Ila kuna Majina mengine yanaendana na uhalisia! Mtu anaitwa Tobo,Basi anataka Matobo yatumike pia!? Ebu atuache kwanza tuna Ugeni Kutoka Malawi,yeye aendelee kupiga Misele Kariakoo!!
 
Jiandae tu!! Utake usitake, Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
utakuwa una minyooo kichwani , nakushauri achana na ndoto.za kijinga, nakwambia ukweli lissu hawezi kuwa raisi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…