Nchi yetu ni kubwa kuliko mwekezaji yeyote yule

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga

Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya viongozi wa Afrika mashariki ya kujenga kiwanda Tanga hapo anakuwa katudharau sisi wa Tanzania
 
Hajui ushawishi alio nao Dangote, ndio maana anajizungumzia, hawa watu ndio walitakiwa wakatwe kichwa na sio kijana wa watu 😅😅
Nyie mnaongea kwa mihemko , hatuwezi tukaruhusu wawekezaji watupelekeshe hio itakuwa sio nchi , lazma tuwe tough negotiators sasa kama Dangote mwanzoni tu akitupelekesha si akijenga kiwanda atakuwa anajipangia sheria
 
Mkuu, kila siku serikali inahaha kutafuta wawekezaji katika sekta zote hapa nchini, inawezekana vipi amepatikana mwekezaji tena toka hapa hapa Afrika tena kwenye sekta muhimu ya nishati aonekane hana thamani? huoni kwamba kuna mianya ya rushwa na ushawishi ndani ya GAVO? huoni kuwa kuna ombwe la uongozi ndani ya GAVO? au huoni kuwa kuna mkubwa ndani ya GAVO ambaye amepiga chini hiyo tenda ili aendelee na uagizaji wa mafuta kutoka nje? Samahani kama nitakuwa nimewagusa GAVO.
 
Hiyo serikali Yako ya kufanya hivyo Iko wapi !? Hao wazee wako wa 10% !?
 
Mkuu, kila siku serikali inahaha kutafuta wawekezaji katika sekta zote hapa nchini, inawezekana vipi amepatikana mwekezaji tena toka hapa hapa Afrika tena kwenye sekta muhimu ya nishati aonekane hana thamani? huoni kwamba kuna mianya ya rushwa na ushawishi ndani ya GAVO? huoni kuwa kuna ombwe la uongozi ndani ya GAVO? au huoni kuwa kuna mkubwa ndani ya GAVO ambaye amepiga chini hiyo tenda ili aendelee na uagizaji wa mafuta kutoka nje? Samahani kama nitakuwa nimewagusa GAVO.
Hoja yangu ni kwamba Uwekezaji ulitangazwa kufanywa Tanga ghafla gear imebadilishwa angani tunasikia wanataka waupeleke Mombasa hapo wanakuwa wetukosea sana wa Tanzania ni sawa na kumpokonya mtu pipi mdomoni wakati alishaanza kuonja utamu, mbona Tanga na Bandari yake ina sifa zote
 
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga

Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya viongozi wa Afrika mashariki ya kujenga kiwanda Tanga hapo anakuwa katudharau sisi wa Tanzania
Ni ukubwa, wa wa eneo tu! Hata kwa eneo sie sio wakubwa kiiihivyo,
Ukubwa, unaitakiwa ni ukubwa, wa mawazo,maono, vision, na ukubwa huo unakuja kwa kuweka "the best and abled people on decision positions"
Sasa, njoo bongo, waziri wa kazi, kilaza,kasoma online elimu wala hazieleweki, Unampa uwaziri mtu kama makonda aliyefoji vyeti unategemea ndio asimamie tasnia ya habari, kilichojaa kwenye utawala wa ccm, ni sycophants, uchawa,
Nchi zinakuzwa na "meritocracy" Watu wapate vyeo kwa mujibu wa uwezo wao kitaaluma, elimu, uwezo, sio, kwa, vile ni mkwe, kasome history ya nchi ya Malaysia, Turkey, nk, sie ni makende tu, fikkria organ zote za nchi, TIISS, jwatz,polisi,wanahenyeshwa na mtu mmoja Lisu,tena yupo Gerezani!
 
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga

Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya viongozi wa Afrika mashariki ya kujenga kiwanda Tanga hapo anakuwa katudharau sisi wa Tanzania
Samia alionesha wazi kuwa hakupenda wazo la kiwanda kujengwa Tanga. Hata mimi ningekuwa mwekezaji ningefanya kama Dangote. Mlaumu mama yako Samia sio Dangote
 
Hoja yangu ni kwamba Uwekezaji ulitangazwa kufanywa Tanga ghafla gear imebadilishwa angani tunasikia wanataka waupeleke Mombasa hapo wanakuwa wetukosea sana wa Tanzania ni sawa na kumpokonya mtu pipi mdomoni wakati alishaanza kuonja utamu, mbona Tanga na Bandari yake ina sifa zote
ndio maana nimekwambia GAVO ndio imefanya haya hote yatokee. walitaka upigaji ndani yake,au kuna mkubwa kakwamisha deal ili aendelee na deals zake za uagizaji wa mafuta toka inje.
 
Back
Top Bottom