leo niko doria kwa watu kama nyie. Alichosema kibaya hadi utoe hilo tusi ni kipi. Acha ufala utoto peleka kule na kama huna hoja kaa kimya na hutapungukiwa na chochote. Kuwa na gari ni sifa. Acha ukiritimba punda mzee wewe. Hayo matusi yako katakata weka nyanya na chumvi ule. Ngedere tasa wewe. Yaani kwa umri wako unakosa hoja ya maana unakuja na tusi ni kama jf ni yako peke yako. Tumia akili usitumie mavi kufikiria. Jirekebishe or else hiyo simu yako naipa 7days iwe imeharibika uliza mtu kwa jina la
mbwa kilema alichokutana nacho na mitusi yake hiyo.