Ni ukubwa, wa wa eneo tu! Hata kwa eneo sie sio wakubwa kiiihivyo,
Ukubwa, unaitakiwa ni ukubwa, wa mawazo,maono, vision, na ukubwa huo unakuja kwa kuweka "the best and abled people on decision positions"
Sasa, njoo bongo, waziri wa kazi, kilaza,kasoma online elimu wala hazieleweki, Unampa uwaziri mtu kama makonda aliyefoji vyeti unategemea ndio asimamie tasnia ya habari, kilichojaa kwenye utawala wa ccm, ni sycophants, uchawa,
Nchi zinakuzwa na "meritocracy" Watu wapate vyeo kwa mujibu wa uwezo wao kitaaluma, elimu, uwezo, sio, kwa, vile ni mkwe, kasome history ya nchi ya Malaysia, Turkey, nk, sie ni makende tu, fikkria organ zote za nchi, TIISS, jwatz,polisi,wanahenyeshwa na mtu mmoja Lisu,tena yupo Gerezani!