Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
We fala naiongelea nchi , sijilingamishi mimi na Dangote pumbavu zako na uelewa wako mfinyu kama pumbu za mtoto mchangakmamake, Usikute hata gari huna ndo maana unazanu unaweza ukasusia mafuta
Hajui ushawishi alio nao Dangote, ndio maana anajizungumzia, hawa watu ndio walitakiwa wakatwe kichwa na sio kijana wa watu 😅😅kmamake, Usikute hata gari huna ndo maana unazanu unaweza ukasusia mafuta
Nyie mnaongea kwa mihemko , hatuwezi tukaruhusu wawekezaji watupelekeshe hio itakuwa sio nchi , lazma tuwe tough negotiators sasa kama Dangote mwanzoni tu akitupelekesha si akijenga kiwanda atakuwa anajipangia sheriaHajui ushawishi alio nao Dangote, ndio maana anajizungumzia, hawa watu ndio walitakiwa wakatwe kichwa na sio kijana wa watu 😅😅
Sasa hela ni zenu au za Dangote ?Nyie mnaongea kwa mihemko , hatuwezi tukaruhusu wawekezaji watupelekeshe hio itakuwa sio nchi , lazma tuwe tough negotiators sasa kama Dangote mwanzoni tu akitupelekesha si akijenga kiwanda atakuwa anajipangia sheria
Kmmk nimecheka Sana 🤣kmamake, Usikute hata gari huna ndo maana unazanu unaweza ukasusia mafuta
Dahh kmmk 🤣🙌Hajui ushawishi alio nao Dangote, ndio maana anajizungumzia, hawa watu ndio walitakiwa wakatwe kichwa na sio kijana wa watu 😅😅
Hiyo serikali Yako ya kufanya hivyo Iko wapi !? Hao wazee wako wa 10% !?Nyie mnaongea kwa mihemko , hatuwezi tukaruhusu wawekezaji watupelekeshe hio itakuwa sio nchi , lazma tuwe tough negotiators sasa kama Dangote mwanzoni tu akitupelekesha si akijenga kiwanda atakuwa anajipangia sheria
Rais wa Kenya tumempa heshima ya kuhutubia Bunge letu kwaajili ya kuutangaza huo mradi halafu inakuwaje gear ibadilishiwe angani ghafla uwekezaji upelekwe Kenya hio sio sawa ni kama kumpokonya mtoto pipi mdomoniSasa hela ni zenu au za Dangote ?
Mnataka hadi Dangote kumpangia mnachotaka ?
Hoja yangu ni kwamba Uwekezaji ulitangazwa kufanywa Tanga ghafla gear imebadilishwa angani tunasikia wanataka waupeleke Mombasa hapo wanakuwa wetukosea sana wa Tanzania ni sawa na kumpokonya mtu pipi mdomoni wakati alishaanza kuonja utamu, mbona Tanga na Bandari yake ina sifa zoteMkuu, kila siku serikali inahaha kutafuta wawekezaji katika sekta zote hapa nchini, inawezekana vipi amepatikana mwekezaji tena toka hapa hapa Afrika tena kwenye sekta muhimu ya nishati aonekane hana thamani? huoni kwamba kuna mianya ya rushwa na ushawishi ndani ya GAVO? huoni kuwa kuna ombwe la uongozi ndani ya GAVO? au huoni kuwa kuna mkubwa ndani ya GAVO ambaye amepiga chini hiyo tenda ili aendelee na uagizaji wa mafuta kutoka nje? Samahani kama nitakuwa nimewagusa GAVO.
Ukipelekwa mahakamani uwataje hao watu wa 10 % unao uthibitisho ? Hhhh mi simoHiyo serikali Yako ya kufanya hivyo Iko wapi !? Hao wazee wako wa 10% !?
Rudi Facebook huku sio Mahala pakoUkipelekwa mahakamani uwataje hao watu wa 10 % unao uthibitisho ? Hhhh mi simo
Nipe nauli ya kwenda Facebook sina ticketRudi Facebook huku sio Mahala pako
Sikatai ana pesa ni tajiri mkubwa lakini linapokuja jambo ambalo ni la maslahi ya nchi lazma tujiteteeeDangote au sio....
Maelekezo tususie
Ni ukubwa, wa wa eneo tu! Hata kwa eneo sie sio wakubwa kiiihivyo,Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga
Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya viongozi wa Afrika mashariki ya kujenga kiwanda Tanga hapo anakuwa katudharau sisi wa Tanzania
Samia alionesha wazi kuwa hakupenda wazo la kiwanda kujengwa Tanga. Hata mimi ningekuwa mwekezaji ningefanya kama Dangote. Mlaumu mama yako Samia sio DangoteNchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga
Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya viongozi wa Afrika mashariki ya kujenga kiwanda Tanga hapo anakuwa katudharau sisi wa Tanzania
ndio maana nimekwambia GAVO ndio imefanya haya hote yatokee. walitaka upigaji ndani yake,au kuna mkubwa kakwamisha deal ili aendelee na deals zake za uagizaji wa mafuta toka inje.Hoja yangu ni kwamba Uwekezaji ulitangazwa kufanywa Tanga ghafla gear imebadilishwa angani tunasikia wanataka waupeleke Mombasa hapo wanakuwa wetukosea sana wa Tanzania ni sawa na kumpokonya mtu pipi mdomoni wakati alishaanza kuonja utamu, mbona Tanga na Bandari yake ina sifa zote