Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #21
Ni ukubwa, wa wa eneo tu! Hata kwa eneo sie sio wakubwa kiiihivyo,
Ukubwa, unaitakiwa ni ukubwa, wa mawazo,maono, vision, na ukubwa huo unakuja kwa kuweka "the best and abled people on decision positions"
Sasa, njoo bongo, waziri wa kazi, kilaza,kasoma online elimu wala hazieleweki, Unampa uwaziri mtu kama makonda aliyefoji vyeti unategemea ndio asimamie tasnia ya habari, kilichojaa kwenye utawala wa ccm, ni sycophants, uchawa,
Nchi zinakuzwa na "meritocracy" Watu wapate vyeo kwa mujibu wa uwezo wao kitaaluma, elimu, uwezo, sio, kwa, vile ni mkwe, kasome history ya nchi ya Malaysia, Turkey, nk, sie ni makende tu, fikkria organ zote za nchi, TIISS, jwatz,polisi,wanahenyeshwa na mtu mmoja Lisu,tena yupo Gerezani!
Kama ni kweli usemayo basi huyo mtu ni adui wa Taifa letu katupotezea fursandio maana nimekwambia GAVO ndio imefanya haya hote yatokee. walitaka upigaji ndani yake,au kuna mkubwa kakwamisha deal ili aendelee na deals zake za uagizaji wa mafuta toka inje.
AiseeeSamia alionesha wazi kuwa hakupenda wazo la kiwanda kujengwa Tanga. Hata mimi ningekuwa mwekezaji ningefanya kama Dangote. Mlaumu mama yako Samia sio Dangote
Kwenye teuzi za mawaziri ingependeza zaidi teuzi ziendane na taaluma aliyosomea mtuNi ukubwa, wa wa eneo tu! Hata kwa eneo sie sio wakubwa kiiihivyo,
Ukubwa, unaitakiwa ni ukubwa, wa mawazo,maono, vision, na ukubwa huo unakuja kwa kuweka "the best and abled people on decision positions"
Sasa, njoo bongo, waziri wa kazi, kilaza,kasoma online elimu wala hazieleweki, Unampa uwaziri mtu kama makonda aliyefoji vyeti unategemea ndio asimamie tasnia ya habari, kilichojaa kwenye utawala wa ccm, ni sycophants, uchawa,
Nchi zinakuzwa na "meritocracy" Watu wapate vyeo kwa mujibu wa uwezo wao kitaaluma, elimu, uwezo, sio, kwa, vile ni mkwe, kasome history ya nchi ya Malaysia, Turkey, nk, sie ni makende tu, fikkria organ zote za nchi, TIISS, jwatz,polisi,wanahenyeshwa na mtu mmoja Lisu,tena yupo Gerezani!
Tatizo tumejaribu kumchekea bado anapeleka kiwanda Mombosa kwahiyo bora tujaribu mbinu za sanctions tu labda zitazaa matundaTajuri hanuniwi
sasa mbona umeleta mada ambayo haukuwa na uhakika nayo?Kama ni kweli usemayo basi huyo mtu ni adui wa Taifa letu katupotezea fursa
Wanatema shombo tu hadi unauliza kichwa cha huyo mtu kina kazi ganiDahh kmmk 🤣🙌
Ndio muone msivyo na brain kichwani, bali makamasiRais wa Kenya tumempa heshima ya kuhutubia Bunge letu kwaajili ya kuutangaza huo mradi halafu inakuwaje gear ibadilishiwe angani ghafla uwekezaji upelekwe Kenya hio sio sawa ni kama kumpokonya mtoto pipi mdomoni
Hoja yangu mimi ninalaumu humu kwanini uwekezaji uhamishiwe Mombasa , wewe umezungumzia kuhusu kuna watu wamehujumu mchakato ambao ni wazawa wa humu ndani kitu ambacho mimi sikifahamusasa mbona umeleta mada ambayo haukuwa na uhakika nayo?
Brz una feli sana ukisoma na ukinielewa utagundua point yangu napigania kiwanda kijengwe Tanga sasa hapo kuna ubaya gani maana hili suala lina manufaa makubwa , punguzeni maksiriko na mihemko wakati wa kujibu hojaWanatema shombo tu hadi unauliza kichwa cha huyo mtu kina kazi gani
Kuna muda Sanctions zinazaa matundaMwekezaji hasusiwi anabembelezwa
Na mimi nakuona hivo hivo tena nafuta jinga naweka zobaNi kubwa jinga.
Kazi ni kipimo cha utu
Unaelimu gani mkuu???,je umesoma na kidato cha sita?Na mimi nakuona hivo hivo tena nafuta jinga naweka zoba
Nina elimu kubwa sana , sio tu ya kukalili ya kupata vyeti mimi nimsomi wa vitabu , na pia ninaupeo mkubwa . Haya niambieUnaelimu gani mkuu???,je umesoma na kidato cha sita?
Ulitaka niseme wawekezaji ni wakubwa kuliko nchi yetuUnaelimu gani mkuu???,je umesoma na kidato cha sita?
Tajiri Dangote ndio kahamisha magoli, na hatuwezi msusia. Tujilaumu wenyewe kwa kuwa hatupo makini kucheza na fursaBrz una feli sana ukisoma na ukinielewa utagundua point yangu napigania kiwanda kijengwe Tanga sasa hapo kuna ubaya gani maana hili suala lina manufaa makubwa , punguzeni maksiriko na mihemko wakati wa kujibu hoja
Bado uwezekano wa kujenga Tanga upo kikubwa wenye dhamana ya uongozi waendelee tu kumshawishi maana viongozi wakubwa wa nchi wote wamependekeza refinery ijengwe TangaTajiri Dangote ndio kahamisha magoli, na hatuwezi msusia. Tujilaumu wenyewe kwa kuwa hatupo makini kucheza na fursa
Nijibu namaana njema kukuuliza hivyo,uwezo wako wa kufikiri ni mdogoUlitaka niseme wawekezaji ni wakubwa kuliko nchi yetu