Viongozi wetu hizo sio mambo zao, ndio maana utaona kenya wametupita gape kwenye mambo mengi tu ukiachana na hili, wanajuq fitnaBado uwezekano wa kujenga Tanga upo kikubwa wenye dhamana ya uongozi waendelee tu kumshawishi maana viongozi wakubwa wa nchi wote wamependekeza refinery ijengwe Tanga
Hilo ni Tatizo kwa nchi yetu , Kenya watakuwa wanatupiga bao kila kukichaViongozi wetu hizo sio mambo zao, ndio maana utaona kenya wametupita gape kwenye mambo mengi tu ukiachana na hili, wanajuq fitna
Hayo ni maoni yako hayawezi kunifanya nijione hivyo maana na mimi nakuona uwezo wako wa kuelewa ni mdogo kama punje ya haradaali nahisi waalimu wako walipata shida sana shuleniNijibu namaana njema kukuuliza hivyo,uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
Inahitaji kubadirika kama taifa kwenye eneo hilo, tofauti na hapo tutakuja shtuka mda umetuacha sanaa, wenzetu wanacheza sana fursaHilo ni Tatizo kwa nchi yetu , Kenya watakuwa wanatupiga bao kila kukicha
Tutafika tu kaka watu kama nyie mnatakiwa mkachukue fomu za kugombea tusiishie tu jamii forumInahitaji kubadirika kama taifa kwenye eneo hilo, tofauti na hapo tutakuja shtuka mda umetuacha sanaa, wenzetu wanacheza sana fursa
😁😁 Tunakutana na hao wa kwenye hizo nafasi, ila unaona kabisa hapa hakuna kutoboa, inabaki unaishi kivyako maisha yaende mkono uende kinywaniTutafika tu kaka watu kama nyie mnatakiwa mkachukue fomu za kugombea tusiishie tu jamii forum
Wajumbe wanaangalia sasampa tu 😀😀 Kama hauna noti jina lako linakatwa mapema . Bongo nyoso wanasema wahuni😁😁 Tunakutana na hao wa kwenye hizo nafasi, ila unaona kabisa hapa hakuna kutoboa, inabaki unaishi kivyako maisha yaende mkono uende kinywani
Jana kuna member mmoja aliongea kwa uchungu sana, kuhusu haya mambo. Nchi ilipofikia pambania familia yako, watu walio kwenye nafasi wametusahahu na wamesahahu wanatakiwa wafanye nini zaidi na wao wanaangalia familia zao na matumbo yao na account zao za bank zinoneWajumbe wanaangalia sasampa tu 😀😀 Kama hauna noti jina lako linakatwa mapema . Bongo nyoso wanasema wahuni
Kila lenye mwanzo halikosi mwishoJana kuna member mmoja aliongea kwa uchungu sana, kuhusu haya mambo. Nchi ilipofikia pambania familia yako, watu walio kwenye nafasi wametusahahu na wamesahahu wanatakiwa wafanye nini zaidi na wao wanaangalia familia zao na matumbo yao na account zao za bank zinone
Trust me kk , kuna vitu tunavyo hupati kokote Tanzanite unapata wapi , haya kwa mtu anayetaka kuzifikia nchi za Zambia , Malawi, Burundi , Congo , kupitia bandari si atalazimika kuja Bongo , kwahiyo wawekezaji sio wakuwalegezea sana maana wanachuma kwenye nchi yetu wanaenda kutajirisha kwao hawaji kuwekeza sio kwamba wanatupenda ila ni fursa zimewavutaNdugu akuna anae angaika na ukumbwa wa nchi yako, muwekezaji ameweka pesa hana haja na ukubwa wa nchi yako
Lakin pia unatakiwa ujue akuna kitu special ulichonacho ambacho muwekezaji hawezi pata kwingne
leo niko doria kwa watu kama nyie. Alichosema kibaya hadi utoe hilo tusi ni kipi. Acha ufala utoto peleka kule na kama huna hoja kaa kimya na hutapungukiwa na chochote. Kuwa na gari ni sifa. Acha ukiritimba punda mzee wewe. Hayo matusi yako katakata weka nyanya na chumvi ule. Ngedere tasa wewe. Yaani kwa umri wako unakosa hoja ya maana unakuja na tusi ni kama jf ni yako peke yako. Tumia akili usitumie mavi kufikiria. Jirekebishe or else hiyo simu yako naipa 7days iwe imeharibika uliza mtu kwa jina la mbwa kilema alichokutana nacho na mitusi yake hiyo.kmamake, Usikute hata gari huna ndo maana unazanu unaweza ukasusia mafuta
Yaani hizo akili zenu za Kabudi na Bashite muwaze kumwekea sanctions tajiri namba 1 Africa 🤣Kuna muda Sanctions zinazaa matunda
Nyoosha mbwa koko huyoleo niko doria kwa watu kama nyie. Alichosema kibaya hadi utoe hilo tusi ni kipi. Acha ufala utoto peleka kule na kama huna hoja kaa kimya na hutapungukiwa na chochote. Kuwa na gari ni sifa. Acha ukiritimba punda mzee wewe. Hayo matusi yako katakata weka nyanya na chumvi ule. Ngedere tasa wewe. Yaani kwa umri wako unakosa hoja ya maana unakuja na tusi ni kama jf ni yako peke yako. Tumia akili usitumie mavi kufikiria. Jirekebishe or else hiyo simu yako naipa 7days iwe imeharibika uliza mtu kwa jina la mbwa kilema alichokutana nacho na mitusi yake hiyo.
Tutamuwekea kwenye Zone yetu huku ila kwao muache atambeYaani hizo akili zenu za Kabudi na Bashite muwaze kumwekea sanctions tajiri namba 1 Africa 🤣
Kwani utajiri wake kaupata hapa TANZANIA?
Dangote anaitwa kote Duniani aweke pesa zake awekeze
hebu soma heading ya uzi wako kwanza. Je ulileta taarifa au ulikuwa unauliza?Hoja yangu mimi ninalaumu humu kwanini uwekezaji uhamishiwe Mombasa , wewe umezungumzia kuhusu kuna watu wamehujumu mchakato ambao ni wazawa wa humu ndani kitu ambacho mimi sikifahamu
Acha ubwege hamna cha kumfanya tajiri namba 1 AfricaTutamuwekea kwenye Zone yetu huku ila kwao muache atambe
Yes bado naamini hivyo nchi haiwezi ikawa ndogo kwa mwekezaji yeyote yule hata aje Elon musk , Tanzania ni kubwa sana kuliko muwekezaji, hatuwezi tukampigia muwekezaji magoti hatakama tunamuhitaji atapata advantage yakujipangia sheriahebu soma heading ya uzi wako kwanza. Je ulileta taarifa au ulikuwa unauliza?
Acha uzwazwa kwahiyo unafikiri Duniani muwekezaji ni Dangote pekeyake au unafikiri Serikali ikiamua inashindwa kujenga hiyo refinary au kutafuta muwekezaji mwengineAcha ubwege hamna cha kumfanya tajiri namba 1 Africa
Ataenda Kenya Afanye biashara na Uganda, Rwanda, DRC na mataifa mengine.
Na nyie mtaenda hapo Mombasa kununua mafuta
Mwekezaji gani alete mtaji wake kuwekeza sehemu isiyo na utulivu wa KisiasaAcha uzwazwa kwahiyo unafikiri Duniani muwekezaji ni Dangote pekeyake au unafikiri Serikali ikiamua inashindwa kujenga hiyo refinary au kutafuta muwekezaji mwengine