Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika Common Wealthy Unishtue MkuuWB na IMF tunaomba mtusamehe hili deni, please.
Hailipwi cash mdau Mali wanazochota zinafikia thamani iyoJamaa liongo hili! Sijui kama linakuwa hesabu liliyoiweka hapo kwa hela ya madafu inaitwa quadrillion. Ambazo ni sawa na trillion 1000!
Hajaijua thamani ya Uranium ambayo Ufaransa anachota bure huko Niger kupitia mkataba huuHailipwi cash mdau Mali wanazochota zinafikia thamani iyo
Vita kuu ya pili tena!Kwa hiyo na sisi serikali yetu ya nchi ya Tanganyika inamlipa Mwingereza aliyetutwala kwa dhamana baada ya vita kuu ya 2?