Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Uko sahihi kabisa,, Kuna mtu mmoja alinieleza jambo hili enzi za malkia wa uingereza,,kuwa tuna lipia Arithi Kila mwananchi Kuna percent inaenda uingereza ..
 
IMG_3959.jpeg
 
Commonwealth akiwa na maana mojawapo ya Nchi zinazolipa ni Tanzania.Mleta mada alete ushahidi kama alivyofanya kwa Nchi za Francophne.Hiyo wala haikuwa siri kulikuwa na mkataba kabisa.
Ameendelea kudai anatayarisha watu wenye BP
Sasa haoni ni muda wa kuleta ushahidi au ilikuwa ni kuongeza tu chumvi ili habari ionekane inatuhusu?
 
Back
Top Bottom