Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Si watafutika wao? Maana kila sec wanakufa maisreal
Hizo zako ni propaganda. Takwimu za media yenu Aljazeera Waisraeli walifariki toka October, 7 ni 1,300, Wapalestina waliofariki ni 22,000 sasa nani anayefutika hapo? 🤔
 
Ww masikini kutoka kwenye liinchi la hovyo mbona kila siku unashinda humu kuandika coment za kuwasifu na kuwatetea wayahudi badala ya kujadili rundo la matatizo yaliyo jazana ndani ya nchi yako?
 
Hizo zako ni propaganda. Takwimu za media yenu Aljazeera Waisraeli walifariki toka October, 7 ni 1,300, Wapalestina waliofariki ni 22,000 sasa nani anayefutika hapo? 🤔
Hapa tunasema majeshi ya Israel vs Majeshi wa Hamas. Hatusemi watoto wa wachanga , madaktari na waandishi wa habari wanaowaua Isreal. Majeshi ya Hamas hayajaguswa
 
"But we know too well that our freedom is incomplete without the freedom of the Palestinians".

This quote from Nelson Mandela comes from a speech he made during the International Day of Solidarity with the Palestinian People, Pretoria, South Africa, on 4th December 1997.
 
Mwehu wewe. UNO kwa sababu wnauliwa watoto wa kiislam wapo kimya lkn Ukrain wanauliwa watoto wa kikiristo vikao havishi
Hujasikia vikao vikihusu Gaza na maadhimio kibao,au mwenzetu huwa husikilizi?
 
Niko na jamaa yangu hapa ukitaka kugombana nae, mwambie wewe si uliipigia kura ANC. Usikilize majibu yake ANC na CCM hawana tofauti wote huwa kama wanatumia propaganda hizo hizo ( umeme bongo V's umeme SA )
 
"Double Standard"
SA kama inaheshimu mahakama ya kimataifa ingeanza na kumkamata Putin kwanza ambaye anatafutwa na hiyo mahakama. Israel hawana mpango wa kusitisha vita Mpaka Hamas Ifutike kabisa!
Hakika
 
Wanafiki tu hao,mbona Sahara inahangaikia uhuru mpaka Leo hawapati kwanini hawawaungi mkono?
 
Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…