Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Si watafutika wao? Maana kila sec wanakufa maisreal
Hizo zako ni propaganda. Takwimu za media yenu Aljazeera Waisraeli walifariki toka October, 7 ni 1,300, Wapalestina waliofariki ni 22,000 sasa nani anayefutika hapo? 🤔
 
South Africa is a failed state.
Hii nchi hata vitu vya msingi kama maji na umeme imeshindwa kuwapatia raia wake. Halafu inajitia kimbelembele kwenda kushadadia mambo ya Waarabu na Wayahudi.

Miundombinu aliyoacha mkoloni inachakaa, usalama nchini kwao hakuna mauaji mitaani kama movie vile. Hayo ndiyo mambo ilipaswa kushughulika nayo hayo mengine waachie wenyewe Waarabu na Wayahudi
Ww masikini kutoka kwenye liinchi la hovyo mbona kila siku unashinda humu kuandika coment za kuwasifu na kuwatetea wayahudi badala ya kujadili rundo la matatizo yaliyo jazana ndani ya nchi yako?
 
Hizo zako ni propaganda. Takwimu za media yenu Aljazeera Waisraeli walifariki toka October, 7 ni 1,300, Wapalestina waliofariki ni 22,000 sasa nani anayefutika hapo? 🤔
Hapa tunasema majeshi ya Israel vs Majeshi wa Hamas. Hatusemi watoto wa wachanga , madaktari na waandishi wa habari wanaowaua Isreal. Majeshi ya Hamas hayajaguswa
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
"But we know too well that our freedom is incomplete without the freedom of the Palestinians".

This quote from Nelson Mandela comes from a speech he made during the International Day of Solidarity with the Palestinian People, Pretoria, South Africa, on 4th December 1997.
 
Africa ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
Niko na jamaa yangu hapa ukitaka kugombana nae, mwambie wewe si uliipigia kura ANC. Usikilize majibu yake ANC na CCM hawana tofauti wote huwa kama wanatumia propaganda hizo hizo ( umeme bongo V's umeme SA )
 
"Double Standard"
SA kama inaheshimu mahakama ya kimataifa ingeanza na kumkamata Putin kwanza ambaye anatafutwa na hiyo mahakama. Israel hawana mpango wa kusitisha vita Mpaka Hamas Ifutike kabisa!
Hakika
 
"But we know too well that our freedom is incomplete without the freedom of the Palestinians".

This quote from Nelson Mandela comes from a speech he made during the International Day of Solidarity with the Palestinian People, Pretoria, South Africa, on 4th December 1997.
Wanafiki tu hao,mbona Sahara inahangaikia uhuru mpaka Leo hawapati kwanini hawawaungi mkono?
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom