Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Africa kusini wanafiki sana urusi anarusha makombara hovyo hovyo Ukraine na waukraine wanauawa kila kukicha huoni Africa kusini akiilaani urusi yupo kimya na uvamizi wa urusi Africa kusini alisema hayupo upande wowote kwa Palestine anawashwa nini
Kamkamateni Ramaphosa kama mmeumia kukamnyonge
 
nliwai mpima kaburu mmoja kituo x cha afya anasema chama tawala tangu kimechukua mamlaka mwaka 1994 wao badala ya kujenga nchi wanabomoa nchi sasa hv wazungu wengi makaburu wanahamisha technology kwenda mataifa mbali mbali mf ni hao akina Elon Munsk hata yeye kaja tz yupo mgodi x , ANC wawe makin sana
 
Africa kusini wanafiki sana urusi anarusha makombara hovyo hovyo Ukraine na waukraine wanauawa kila kukicha huoni Africa kusini akiilaani urusi yupo kimya na uvamizi wa urusi Africa kusini alisema hayupo upande wowote kwa Palestine anawashwa nini
hahahaa anawashwa kumbe hahahaa
 
Kwani putin hajashtakiwa katika kipindi hicho cha vita na ukraine??



Any way acha tujionee comments za wazayuni wa buza kwa mpalange
South Afrika alipinga mashitaka na kutoyatambua hadharani , hii ilionesha wasouth kuuunga mkono mauaji ya Putin
 
Umesikia Russia kazuia misaada ya kibinadamu?
Russia anaua watoto hovyo?

Russia anaporomosha majengo hovyo?

Russia lahamisha waUkraine?
ebu fuatilia , Russia alizuia hakuna Ke wala Me kuonekana mtaani na wanajeshi wa russia wakaanza kuvamia masuper markets na kuiba vyakula je hii inaruhusiwa wap ? ipo video walipanda juu ya gari ya kizee kimoja na kizee na gar yake wakafa , kiufup Russia kafanya majanga ya Israel yakasome , ukibisha ni ushabiki , yaan miji yenye ukubwa ya Gaza na nusu ya Israel Russia kaifanya vifusi jiulize wangap walifia humo ? je walikuwa wanajeshi hao ? Russia kafanya genocide huko Ukraine sio mara ya kwanza kaanza haya tangu mwaka 1945
 
Kama mauaji mitaani hata Americant kule yamejaa na wanashindwa kuyazuia

Kawaambie kwanza Americant waache kuuana halaf utakua na hoja kwa sauz
 
kwan sio wapalestina walioanzisha mashambuliz dhid ya waisrael ? au umezaliwa trh 8 oct 2023 ?
 
Waarabu wapo kimya kabisa,yeye kiherehere kaenda kushtaki,anataka sifa labda
Taifa teule likiguswa walokole lalizima watoke mapangoni. Mbona Mimi sijaona shida hapo kwasababu Afrika kiusini wanatoa haki ya waparestina. Kitu ambacho tunakifumbia macho walokole wanaokufa pia wapo wakristo, makanisa yamebomolewa lakini bado mlokole mmeshupaza shingo tu hamuoni?
 
Sio kweli
Hivi hili swali umeuliza ukiwa timamu au unajitoa ufahamu mbona majibu yako wazi Russia aliyoyafanya Ukraine ni zaidi ya Israel kule Gaza kwanza Russia hakuchokozwa alivamia kwa visingizio vya uwongo ila Israel alichokozwa October 7
Huijui historia ya chanzo Cha machafuko, hayajaanza juzi ni wazunguwayahudi kuchukua Kwa nguvu ardhi ya waparestina
 
Israel inajilinda dhidi magaidi,walibipu wakapigiwa, kiherehere cha afrika kusini mbio kushtaki alitala hayo magaidi yaimbiwe nyimbo?
 
Sio kweli

Huijui historia ya chanzo Cha machafuko, hayajaanza juzi ni wazunguwayahudi kuchukua Kwa nguvu ardhi ya waparestina
Tangu lini ile ikawa ardhi ya wapalestina?
Nitajie mfalme mmoja tu wapaletina,wapalestina ndio wavamizi kutoka uarabuni.
 
Hiki kizungu ndio unaona umeongea points kumbe uhovyo

Israhell iliwaambia raia wakimbilie kusini kule ndio salama ikawatwanga huko huko halaf mnawasingizia hamas
 
Walokole wamechukizwa Sana . Mpaka najiuliza mkatoliki mie hao wazungu wakujiita wayahahudi wanawaapa Nini walokole. Iwapo wao hawana habari na ukristo wanalipua makanisa wanawaua wakristo wenzetu. Nyinyi mnafumbia macho uhuni na mauaji wanayofanya kweli ndivyo Mungu wetu anavyotaka?
 
Yes mkuu but it's too late for ANC,meli inazama, kila dakika 3 bunduki inalia, na ikilia kuna fatal one au mahututi, what's wrong with black peoples?
 
ANC kupigwa na chini pale south usahau tena usahau kabisaaa

Labda miaka 20 ijayo huko
Acha kuota, ANC imepoteza metro zote ,jimbo la western cape hawatawali!,wewe ni mmoja wa wapumbavu wa kile chama kwenye nchi X iliyojaa waoga wa kizuzu
 
Upo sahihi mkuu, usipoteze muds wako na vihiyo vinavyo ogopa vivuli vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…