Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kamkamateni Ramaphosa kama mmeumia kukamnyongeAfrica kusini wanafiki sana urusi anarusha makombara hovyo hovyo Ukraine na waukraine wanauawa kila kukicha huoni Africa kusini akiilaani urusi yupo kimya na uvamizi wa urusi Africa kusini alisema hayupo upande wowote kwa Palestine anawashwa nini