Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Acha kuota, ANC imepoteza metro zote ,jimbo la western cape hawatawali!,wewe ni mmoja wa wapumbavu wa kile chama kwenye nchi X iliyojaa waoga wa kizuzu
Vijana mnadhani kutukana ndio hoja kama hamna hoja muwe munatulia tuu

Ila huna tusi jipya hili nishalizoea hili tafta tusi jengine

Nakuambia tena hakuna chama cha kuiondoa ANC

Pia nakuambia sina chama sio kenya wala tz ambapo kote huko naweza kua na uhalali wakupiga kura

Wanasiasa wote dunia nzima waongo hata kama baba angu angekua mwanasiasa nae angekua muongo kama wenzake

Kama wewe unasema eti unachama pole wewe unalisha watu hali yakua wewe unateseka

Kesho kutwa nasikia nauli inapanda tena hapo
 
Comrade umejielekeza vibaya,

Hamas is not a party to the case before ICJ. Mimi nazungumzia matendo na maneno ya HAMAS siku zote na baada ya matendo yao ya tarehe 7 Oktoba 2023. Hata marafiki zao Iran na proxies zao INTENT yao siku zote ni kuliangamiza taifa la Israel. Hiyo ndiyo ninayoiita GENOCIDAL INTENT.

What Israel is facing may be referred to as Urban Warfare Challenges. Katika mazingira ambayo HAMAS anatumia raia wa Palestina, nyumba za ibada, majengo ya kiraia na miundo mbinu ya kiraia kama HUMAN SHIELD dhidi ya military combat ya Israel ni ngumu sana kuhakikisha raia wasio na hatia hawadhuriki kwa kiwango tunachokiona kwa sasa. HAMAS inakadiriwa kuwa na militants wasiopungua 30,000 ndani ya Gaza. Sasa kwa mujibu wa HAMAS wenyewe watu waliouawa ni zaidi ya 23,000 bila kutaja ni wangapi ni HAMAS militants.

Pamoja na hoja yako kuwa HAMAS ilifanya ugaidi tarehe 7 Oktoba 2023 hiyo haiondoi ukweli kuwa GENOCIDE ni sehemu ya lengo lake kama nilivyoeleza. Kama Israel ingekuwa inataka kuangamiza PALESTINIAN RACE ipotee ulimwenguni isingejiondoa kule GAZA mwaka 2005 kuwaacha wapalestina wajitawale.
 
Malengo yanabadilika ukiangalia lengo na matamshi ya viongozi wa israel kwa sasa ni kwamba kama vita ikiisha wanaichukua gaza na hawataki two state solution
 
Malalamiko ya wananchi ni kawaida kwenye kila nchi ila heshima ya southafrica imekuwa kwa tukio la jana
wapo viongoz wa kiarab hawajapenda na wanaeza wakawapa zawad kdg ya bundle la ugaid ili wapate kuwapa ubusy kdg ,wanajiona wakubwa kwenye mambo ya watu , wenzao wanataka wapalestina wafutwe kabisa wao wanavuruga mipango
 
Wewe hapa ndo umeonesha ujinga wako hadharani.South Afrika wapo sahihi.
 
Ukraine alimchokoza Russia Kwa sababu urusi hawezi kwenda kumwaga damu yake ovyoovyo bila sababu.Alafu watu wenye akili wanajua kuwa hivyo vita havijaanza mwaka huu au leo.imeanza siku hao wazungu walipotoka ulaya na kwenda kunyang'anya ardhi ya wapalestina.mtu mwerevu anajua waisraeli ndo wachokozi.
 
Malengo yanabadilika ukiangalia lengo na matamshi ya viongozi wa israel kwa sasa ni kwamba kama vita ikiisha wanaichukua gaza na hawataki two state solution
Matamshi hayo umeyasikia peke yako? Mbona South Africa katika mawasilisho yao kwenye case yao hawajayataja? Ni vyema usome tena kwenye vyanzo vyako vya taarifa hii ujiridhishe na na madai yako.
 
Bado kasome vizuri historia, Mimi ni mkristo lakini ninafahamu kuwa wayahudi pale walikuwa wanaishi na wKkristo na waislamu wote wakitawaliwa na waingreza katika nchi inayoitwa parestina mpaka mwaka 1948 lilipotangazwa taifa jipya la Israel na umoja wa mataifa na waarabu wakakataa na hivyo ndivyo ugomvi wasasa ulikoanzia. Hapa sizungumzii dini Wala Uteule wa binadamu fulani, au sijui imeandikwa kwenye Nini hapo sitachangia. Kumbuka kuwa Uingereza ndio taifa la mwisho kuitawala parestina kama mkoloni, ingewa hapo nyuma walikuwapo wengine kama vile Warumi na Waturuki. (Ottoman Empire)
 
Matamshi hayo umeyasikia peke yako? Mbona South Africa katika mawasilisho yao kwenye case yao hawajayataja? Ni vyema usome tena kwenye vyanzo vyako vya taarifa hii ujiridhishe na na madai yako.
Wewe ndio unatakiwa usome hayo na ufuatilie kwa ukaribu

Na ili usipate taabu wala shida ya kutafuta ngoja nikurahisishie nenda kafatilie mahojiano ya balozi wa israhell pale Uingereza halaf urudi tena hapa


Aliyafanya ni week tatu ama mwezi mmoja nyuma kama unafika
 
We sema ispotokea tukufire kutembea ndo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…