Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
Mbona na ww ni wale wale wanafiki,unaye jifanya unaumizwa na mauaji ya waukiraine alafu wakati huo unashabikia na kushangilia mauaji ya wapalestina?
Kila nchi inafanya mambo kwa kufuata masilahi yake , mbona huongelei nchi za Magharibi ambazo zinairaani Urusi kuivamia Ukraine alafu wakati huo inaiunga mkono uvamizi wa Israel.
 
Umesikia Russia kazuia misaada ya kibinadamu?
Russia anaua watoto hovyo?

Russia anaporomosha majengo hovyo?

Russia lahamisha waUkraine?
Russia anaporusha makombora unataka kusema watu hawafi,majengo ya Ukraine hayabomolewi hivi uharibu uliofanywa kule Bakmut hukuona mauaji yahalaiki kule Bucha hukuona?
 
Umesikia Russia kazuia misaada ya kibinadamu?
Russia anaua watoto hovyo?

Russia anaporomosha majengo hovyo?

Russia lahamisha waUkraine?
Hivi hili swali umeuliza ukiwa timamu au unajitoa ufahamu mbona majibu yako wazi Russia aliyoyafanya Ukraine ni zaidi ya Israel kule Gaza kwanza Russia hakuchokozwa alivamia kwa visingizio vya uwongo ila Israel alichokozwa October 7
 
Mbona na ww ni wale wale wanafiki,unaye jifanya unaumizwa na mauaji ya waukiraine alafu wakati huo unashabikia na kushangilia mauaji ya wapalestina?
Kila nchi inafanya mambo kwa kufuata masilahi yake , mbona huongelei nchi za Magharibi ambazo zinairaani Urusi kuivamia Ukraine alafu wakati huo inaiunga mkono uvamizi wa Israel.
Mauaji ya Ukraine yanauma kwasababu Ukraine haikuchokoza Russia bali alivamiwa ila Hamas waliichokoza Israel October 7 na zaidi wakawachukua mateka raia wa kiyahudi hivi raia wa Africa kusini wangechukuliwa mateka na magaidi wa taifa lingine wangefanyaje?
 
Mkuu safi sana umemaliza kabisa,sina nyongeza.
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
Mwehu wewe. UNO kwa sababu wnauliwa watoto wa kiislam wapo kimya lkn Ukrain wanauliwa watoto wa kikiristo vikao havishi
 
Mauaji ya Ukraine yanauma kwasababu Ukraine haikuchokoza Russia bali alivamiwa ila Hamas waliichokoza Israel October 7 na zaidi wakawachukua mateka raia wa kiyahudi hivi raia wa Africa kusini wangechukuliwa mateka na magaidi wa taifa lingine wangefanyaje?

Usidanganye watu hapa. Kwa sababu Ukraine ni wakiristo. Watoto wa kipalestina ndio waliovamia October 7? Ingalikuwa Palestina ni wakiristo ungaliwaikia ICC na UNO
 
Mbona na ww ni wale wale wanafiki,unaye jifanya unaumizwa na mauaji ya waukiraine alafu wakati huo unashabikia na kushangilia mauaji ya wapalestina?
Kila nchi inafanya mambo kwa kufuata masilahi yake , mbona huongelei nchi za Magharibi ambazo zinairaani Urusi kuivamia Ukraine alafu wakati huo inaiunga mkono uvamizi wa Israel.
Swadakta, jibu maridhawa kabisa.
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
umeandika ki nazi...
 
Mauaji ya Ukraine yanauma kwasababu Ukraine haikuchokoza Russia bali alivamiwa ila Hamas waliichokoza Israel October 7 na zaidi wakawachukua mateka raia wa kiyahudi hivi raia wa Africa kusini wangechukuliwa mateka na magaidi wa taifa lingine wangefanyaje?
Ww ni mpumbavu kwa hiyo hao watoto wanao uawa ndo walienda kuteka watu?
Kwanza unaujua undani wa mgogoro kati ya Urusi na Ukraine mapaka useme eti hakuchokozwa?
Kama ww unavyo furahia mauaji ya wapalestina pia kuna watu wanachukizwa na mauaji ya wapalestina ,pia kama unavyo chukizwa mauaji ya waukiraine pia kuna wanao yafurahia mauaji hayo kwa hiyo kila mtu afanye kile kinacho mpa faraja moyoni msipangie watu cha kufanya.
 
South Africa is a failed state.
Hii nchi hata vitu vya msingi kama maji na umeme imeshindwa kuwapatia raia wake. Halafu inajitia kimbelembele kwenda kushadadia mambo ya Waarabu na Wayahudi.

Miundombinu aliyoacha mkoloni inachakaa, usalama nchini kwao hakuna mauaji mitaani kama movie vile. Hayo ndiyo mambo ilipaswa kushughulika nayo hayo mengine waachie wenyewe Waarabu na Wayahudi
 
Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
"Double Standard"
SA kama inaheshimu mahakama ya kimataifa ingeanza na kumkamata Putin kwanza ambaye anatafutwa na hiyo mahakama. Israel hawana mpango wa kusitisha vita Mpaka Hamas Ifutike kabisa!
 
Back
Top Bottom