Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Upumbavu ukizidi haya ndio majibu yake,angalia uchumi wa Israel vs South Africa, na pia angali biashara kati yao,nani anauza zaidi na kununua zaidi ya mwenzake, nadhani umeelimika zaidi
Kwahiyo mtu akikuzidi uchumi ndio ukubali upumbavu wake wowote? Ndio maana kwa akili hizo za kitumwa papa anawafanya anavyotaka
 
Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ww kilaza na rofa usiye kuwa na mbele wala nyuma ni nani mpaka uipangie serikali ya S. Africa ifuate sera gani ya mambo ya nje?
Kila nchi inafuata sera yenye masilahi kwake.
Ndio maana Marekani anaye jiita kiongozi wa haki za binadamu ndo mtetezi mkubwa wa Israel anaye vunja haki za binadamu waziwazi, ndio maana alicho kikataa nchini Ukraine ndo anacho saport nchini Israel.
Kipindi S.afrika iko chini ya makaburu wapalestina walikuwa wanawasaidia A.kusini kupigana na makaburu wakati Israel ilikuwa inawasaidia makaburu walio kuwa wanawaona waafrika kama mavi, kwa hiyo ww ulitaka iwaache kuwaunga mkono walio watetea kipindi wapo kwenye dhiki ila mkono walio shiriliki kuwatesa kipindi wapo kinye dhiki?
 
Upumbavu ukizidi haya ndio majibu yake,angalia uchumi wa Israel vs South Africa, na pia angali biashara kati yao,nani anauza zaidi na kununua zaidi ya mwenzake, nadhani umeelimika zaidi
Ndio maana umeulizwa kwa hiyo ww unaijua s.africa kuliko serikali yake?
 
Ww ndo umejidhalilisha South Africa wanajua madhara walioyapitia ya mfumo wa kibaguzi ..uliyopo Israel ambao hata ww ukienda wanakushangaa na ukiristu wako ..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kumbe kisasi!

Watu wenye maumivu ni hatari sana.

Sasa yale maridhiano yao yalikuwa ya nini.

Sometimes miafrika bhana.
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
Acha kupangia Nchi za Watu majukumu we Kibaraka
 
haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
Swali zuri sana.

Hili jambo lina 'siasa' ndani yake, Kumbuka ANC ni washirika wakubwa wa Urusi kihistoria toka enzi za mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, hivyo hawawezi kuwashitaki wala kumkamata Putin (japo hati ipo) sababu ya mahusiano mazuri baina yao.

PLO ya Yaseer Arafat (Rip) ilikuwa na mahusiano mazuri sana na ANC huku Israel ikiwa mshirika wa utawala wa kikaburu, hivyo suala la Uhuru wa Wapalestina limebebwa pia na ANC.

Hatua iliyochukuliwa na S.Africa ni sahihi kabisa inapaswa kuungwa mkono.
 
Exactly mkuu,ANC safari imewadia mwakani wapo nje ya wigo, kinyume chake wafunge ndoa ya mkeka na EFF
Weee kwa malema naona ANC wako radhi wakose uraisi kuliko wafunge ndoa na malema, ni sawa na CCM wafunge ndoa na lisu, wengi watasema ni kheri chama life kuliko ku partner na huyo jamaa
 
Noooo mkuu, thr ndoa hii ya ANC na EFF, metro za joberg, durban, ekhululeni, wameweza kuzitawaa na kuziongoza, in politics everything its possible
 
Ww ndo umejidhalilisha South Africa wanajua madhara walioyapitia ya mfumo wa kibaguzi ..uliyopo Israel ambao hata ww ukienda wanakushangaa na ukiristu wako ..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa hoja hii kuihisisha na ukristu ndiyo umeona umechangia kwenye hoja kweli? Jaribu kujielimisha wala hujachelewa. SA does not have moral authority to argue this case at ICJ. Safe corridors and zones were created to civilians to leave the would be war zone prior to the start of actual combat but HAMAS prevent most civilians from leaving so that they could use them as HUMAN SHIELDS. Isn't that an act of GENOCIDE or GENOCIDAL INTENT? Genocide does not mean conduct only even INTENT constitutes GENOCIDE.

Haya sema ukristu una shida gani kwako.
 
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa imewauma sana kuliko Ukraine.
Afrika ina watu wa ajabu sana na wanafiki waliokubuhu.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ikidai kuwa Israel inajihusisha na "vitendo vya mauaji ya halaiki" huko Gaza.

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ilithibitisha shauri hilo kuhusu madai ya ukiukaji wa majukumu ya Israel chini ya Mkataba wa Mauaji ya Kimbari.

Israel imekanusha vikali madai hayo, na kuyataja kuwa hayana msingi. "Israel inakataa kwa kuchukizwa na kashfa ya damu inayoenezwa na Afrika Kusini", wizara ya mambo ya nje ilisema.

Mahakama ya ICJ, ambayo iko mjini Hague nchini Uholanzi, ndiyo chombo kikuu cha sheria cha Umoja wa Mataifa.

Inasuluhisha mizozo kati ya mataifa na kutoa ushauri juu ya maswala ya kimataifa ya kisheria.

Kufuatia maombi yake kwa ICJ, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema katika taarifa kwamba nchi hiyo inalazimika "kuzuia mauaji ya halaiki kutokea".

"Afrika Kusini inasikitishwa sana na hali mbaya ya raia walionaswa katika mashambulizi ya sasa ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na matumizi ya nguvu kiholela na kuwahamisha watu kwenye makazi yao kwa nguvu," ilisema.

"Aidha, kuna ripoti zinazoendelea za uhalifu wa kimataifa, kama vile uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita, unaofanywa pamoja na ripoti kwamba vitendo vinavyokidhi kizingiti cha mauaji ya kimbari au uhalifu unaohusiana ... vimefanywa na bado vinaweza kufanywa katika muktadha wa mauaji yanayoendelea Gaza."

Waraka huo wa kurasa 84 unasema kuwa "vitendo vinavyofanywa na Israel" ni " mauaji ya halaiki kwa sababu vinakusudiwa kuleta uharibifu wa sehemu kubwa ya kundi la taifa, rangi na kabila la Palestina".

Ombi hilo linaitaka ICJ kusikiliza kesi hiyo wiki ijayo na kuomba idadi ya "hatua za muda" zitolewe na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na Israel kusitisha shughuli zote za kijeshi huko Gaza.
BBC swahili
afrika kusin ililuwa wap kipind Al Bashir anawaua wasudan weusi kule darful? ifike muda waafrika tupendane lasivyo tutazid kuonekana mbwa mbele ya hawa watu wenye rangi nyeupe na brown
 
Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
Ukraine anapelekewa misaada ya kijeshi ya kujilinda na Russia unataka nani alaani

Hata hamas napo wakipelekewa misaada yakujilinda tutakua hatulaani

Basi kama umeumia ngoja tuilaani na Russia uridhike

Tunailaani Russia kwanguvu zote
 
Ww ndo umejidhalilisha South Africa wanajua madhara walioyapitia ya mfumo wa kibaguzi ..uliyopo Israel ambao hata ww ukienda wanakushangaa na ukiristu wako ..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
wale waafrika wa darful waliouliwa na waarab hawana thaman ? kama inaweza washitak waisrael kwann walikalia kimya mauaji ya watu weusi huko Darful , mtaitwa nyanyyy mpk siku mkijitambua
 
Africa ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
ANC kupigwa na chini pale south usahau tena usahau kabisaaa

Labda miaka 20 ijayo huko
 
Back
Top Bottom