Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Wasingezuia porn sites na jukwaa la wakubwa JF tungeshika top 3.
Lawama ziende kwa serikali na uongozi wa JF
Una hojaa, usikilizwee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cute Wife tuongeze speed tuipandishe TZ namba moja

Tafiti za kiwaki hizo
Hivi washatembelea usukumani waone moto wanaopeleka watani zangu?!! Kwanza wanawake 20 kwa mume mmoja, km King Mswati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hawajatutendea haki kabisa sijapentraaaaaaa

At least tungekuwa wa pili[emoji57] yaani sisi wa kushindwa na Uganda kweliii?!!!!!

Warudie teena research zao shenzy kabisaaa
 
Hizi ndio habari ambazo Watanzania wanapenda kuzisikia na kuzifuatilia. Lakini kupanga mipango madhubuti kuhusu maendeleo yao na ya nchi yao hawawezi badala yake matatizo yao waliyosababisha wao wenyewe wanawasukumia wazungu na waarabu ili kusudi yatafutiwe ufumbuzi.
Yaani Tz tuna jamii ya watu wa hovyo kabisa! Hovyo!
 
Mademu wao hawapigi vizinga maana wanajua mbususu sio kitu ya kumnyima mwanaume. Utabaanaa wee mwisho utaachia tuuu.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ,, kwahiyo unashauri nini kifanyike πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 

Yaani Kenya haipo kwenye top 10, acha masihara wew he!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…