Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.

Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.
IMG_20260422_083531_737.jpg
 
Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
Ahahah eti iran anamtandika israel kisawa sawa!

Bro, nunua redio nyingine, hio yenye tbc fm unapigwa mambo mengi.

Umasikini ni fumbo aisee, yani mtu anajiamulia tu asubuhi eti israel anapigwa😁😁
 
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
 
Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.

Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.View attachment 3577224
Ulitaka wapigweje!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20260309-171007_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171007_Instagram Lite.jpg
    87.3 KB · Views: 22
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Iran kuna vyombo gani vya kimagharibi vinavyoruhusiwa kuripoti na je Iran kwa nini walizima Internet - sidhani kama utaweza kutoa majibu ya maswali hayo.

Hizo zilikuwa fikra za zamani.

Kwa sasa Israel ni nchi rafiki wa baadhi ya mataifa ya kiarabu.
Israel ndiyo taifa pekee tegemeo kwa mataifa ya kiarabu katika kupambana na uharamia wa Iran na makundi yake ya kigaidi.

Ufahamu kuwa tangu kuingia kwa Ayatollah, Iran iligeuka na kuwa nchi hatari kwa Serikali zote za wasuni katika mataifa ya kiarabu.

Ayatollah alitangaza kuwa Serikali zote zinazoongozwa na waislam wasunni ni haramu, waislam washia wanatakiwa kuziondoa. Ayatollah akatangaza pia Duniani hakutakiwi kuwa na Taifa la Israel, linatakiwa kuangamizwa. Katika kutimiza adhma yake, Ayatollah alianzisha makundi ya kigaidi ili kuziondoa Serikali za wasunni. Yemen, Houthia wakamwua Rais wa nchi, Lebanon wakamwua Waziri Mkuu, Palestine wakateka eneo la Gaza.

Msimamo huo wa Ayatollah uliyafanya baadhi ya mataifa ya kiarabu, na taifa la Israel, wote kujiona wahanga wa uharamia wa Iran. Na hivyo kujenga mshikimano wa pamoja, huku mataifa ya kiarabu yakiitegemea Israel kuidhibiti Iran. Saudi Arabia iliamua kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Iran. Lebanon inaitegemea Israel kupambana na Hezbollah walioteka nguvu zote za Serikali na za kijeshi. UAE inaitegemea Israel kwa silaha za kujilinda dhidi ya hatari ya Iran. Israel inafanikiwa sana katika kuyashambulia makundi ya kigaidi ya Iran, na hata kuwaua viongozi wa Iran wakienda tu kwenye mataifa kama Lebanon kutokana na taarifa wanazozipata kutoka kwenye serikali za mataifa hayo ambazo zimenyong'onyeshwa sana na makundi ya kigaidi ya Iran.

Ndiyo maana nchi za kiarabu, hata siku moja huwezi kusikia sauti zao dhidi ya Israel inaposhambulia makundi ya kigaidi ya Iran, kelele zao ni pale inapotokea mashambulizi ya Israel yamewaua raia wa kawaida.
 
Ukijua historia ya Middle East ndio utaelewa

Jambo kubwa ambalo USA na Israel wameliweza, ni kuhakikisha wanawagawa Waarabu, na kuhakiksha viongozi wote wanabaki madarakani kwa nguvu ya USA
 
Iran kuna vyombo gani vya kimagharibi vinavyoruhusiwa kuripoti na je Iran kwa nini walizima Internet - sidhani kama utaweza kutoa majibu ya maswali hayo.

CNN waliruhusiwa kuripoti from inside Iran. Just Google it
 
Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
Ni ujinga uliopitiliza kusema au kufikiri Iran inaitandika sawasawa.

Iran sasa hivi imepoteza viongozi wake wakiwemo wa kijeshi ni ujinga kufikiri kuwa Iran inashinda!!
 
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???

Lazima uwe huna uelewa kabisa, kuweza kuamini kuwa Israel imemalizwa. Israel haifichi taarifa zake hata siku moja. Tena wao, hata ikitokea askari wake wameuawa, siyo tu wanatangaza idadi, bali wanataja mpaka majina na vyeo vyao hao waliouawa,. Halikadhalika kwenye majengo.
Kuna watu waongo wasio na akili, ambao huongozwa na hisia za matakwa yao na siyo ukweli, waliwahi kusema PM wa Israel ameuawa, wakati ukweli ni kuwa hakuna kiongozi hata mmoja wa Israel aliyewahikuuawa. Watu hao hao waongo wakadai kuwa mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Israel imeteketezwa, wakati mpaka mwisho mifambo yao ya ulinzi wa anga imeendelea kudungua mabomu, japo yapo yanayopenya. Na taarifa yao wanasema mifumo yao ya anga, perfection yao imekuwa 95%, lakini ujue hata hiyo 5% ya mabomu yanayopenya, ina madhara.

Kama Iran ingekuwa na uwezo wa kuipiga vibaya Israel, baada ya kupata hasara kubwa kwenye kila vita dhidi ya Israel, isingekuwa inakubali kiurahisi kusimamisha vita. Fikiria kila vita, ni Israel ndiyo inayoanza kuishambulia Iran. Hiyo yote inatokana na kujiamini. Taarifa ya Iran yenyewe inasema kuwa nchi imepata hasara ya dollar billion 700, na majengo yaliyovunjwa ni zaidi ya 10,000. Watu waliouawa ni zaidi ya 3,000. Na hiyo ni kwa sababu Israel na USA haikuwa inapiga ovyo kama inavyofanya Iran, walikuwa hawataki kuwaua raia, wakitegemea raia wawaunge mkono ili wanyanyuke dhidi ya utawala wa Ayatollah, japo hilo halikutokea kutokana na vitisho vya Serikali. Walioonekana kuunga mkono mashambulizi, zaidi ya wairan 6,000 wamenyongwa.

Israel ilizuia vyombo vya habari kama Aljeezera, baada ya kuthibitika walikuwa ni members wa Hamas. Hivyo walitumia nafasi zao kama wanahabari, kupata taarifa za intelijensia. Walikuwa wakipiga picha ya baadhi ya taasisi za IDF na Mossad na kuzipeleka kwa wapiganaji wa makundi yao.
 
Werevu ni kufikiri unavyotaka wewe.

Marekani na Israel walifikiri Iran ni Iraq au Libya, sasa wamekutana na mziki tofauti. Pale waliuwa viongozi Dola ikaanguka.

Nyoka waliyekutana naye sasa ana vichwa saba. Kata kimoja vingine vinapumua. Pamoja na kuua viongozi wote hao umeona Iran ikilia Lia au ikiyumba?

Iran ina mfumo wa Mosaic administration, ua uuavyo wao wanasonga na viongozi wapo.

Israel kapigwa sana mno kupita kiasi. Hajawahi kutandikwa namna hii. Na kama sio Amerika basi myahudi hasimami na muajemi hata kidogo.
 
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Tangu lini anayepigika akawa anawauwa majenerali wa anayempiga?

Israel imefyeka uongozi mzima wa Hezbollah ambao ni mkono wa Iran, na majenerali wa IRGC kule Damascus.

Iran imewahi kumuua hata mwanajeshi mmoja wa ngazi ya juu wa Israel ndani ya miaka hii miwili?
 
Lazima uwe huna uelewa kabisa, kuweza kuamini kuwa Israel imemalizwa. Israel haifichi taarifa zake hata siku moja. Tena wao, hata ikitokea askari wake wameuawa, siyo tu wanatangaza idadi, bali wanataja mpaka majina na vyeo vyao hao waliouawa,. Halikadhalika kwenye majengo.
Kuna watu waongo wasio na akili, ambao huongozwa na hisia za matakwa yao na siyo ukweli, waliwahi kusema PM wa Israel ameuawa, wakati ukweli ni kuwa hakuna kiongozi hata mmoja wa Israel aliyewahikuuawa. Watu hao hao waongo wakadai kuwa mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Israel imeteketezwa, wakati mpaka mwisho mifambo yao ya ulinzi wa anga imeendelea kudungua mabomu, japo yapo yanayopenya. Na taarifa yao wanasema mifumo yao ya anga, perfection yao imekuwa 95%, lakini ujue hata hiyo 5% ya mabomu yanayopenya, ina madhara.

Kama Iran ingekuwa na uwezo wa kuipiga vibaya Israel, baada ya kupata hasara kubwa kwenye kila vita dhidi ya Israel, isingekuwa inakubali kiurahisi kusimamisha vita. Fikiria kila vita, ni Israel ndiyo inayoanza kuishambulia Iran. Hiyo yote inatokana na kujiamini. Taarifa ya Iran yenyewe inasema kuwa nchi imepata hasara ya dollar billion 700, na majengo yaliyovunjwa ni zaidi ya 10,000. Watu waliouawa ni zaidi ya 3,000. Na hiyo ni kwa sababu Israel na USA haikuwa inapiga ovyo kama inavyofanya Iran, walikuwa hawataki kuwaua raia, wakitegemea raia wawaunge mkono ili wanyanyuke dhidi ya utawala wa Ayatollah, japo hilo halikutokea kutokana na vitisho vya Serikali. Walioonekana kuunga mkono mashambulizi, zaidi ya wairan 6,000 wamenyongwa.

Israel ilizuia vyombo vya habari kama Aljeezera, baada ya kuthibitika walikuwa ni members wa Hamas. Hivyo walitumia nafasi zao kama wanahabari, kupata taarifa za intelijensia. Walikuwa wakipiga picha ya baadhi ya taasisi za IDF na Mossad na kuzipeleka kwa wapiganaji wa makundi yao.
Brainwashed by the western media na staunch mnazi wa Western propaganda. Baki hivyo
 
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Huyo ni follower wa trump huko truth so anataarifa kutoka mtandao wa trump.
 
Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
Waarabu gani waungane ? Hawa mashia ma masuni wanaotwangana wao kwa wao kila jua linapochomoza au kuna wengine ? Pia Iran sio waarabu ni Wapersia/Waajemi. Hakua muaarabu mwenye akili infact katika race za watu wajinga ni waafrika na waarabu

Ndio maana Israel inajipigia hayo makobazi inavyotaka
 
Marekani na Israel walifikiri Iran ni Iraq au Libya, sasa wamekutana na mziki tofauti. Pale waliuwa viongozi Dola ikaanguka.
Mziki gani Marekani ilikutana nao huko Iran?

Kuuwawa kwa viongozi wa kijeshi na kiraia na kuharibiwa miundombinu ya nchi kwako wewe ndiyo Muziki?

Kuhusu kuanguka mpaka sasa hivi Iran kila mmoja ana ndevu kiia mmoja anatoa tamko na huwezi kujua sasa hivi Iran nani kiongozi!!
 
CNN report live from Tehran,March 2026
Bado kuna wale wapumbavu wa Israel Taifa Teule hakuna hata jiwe litalopenya👊😄😀😀,in 40 days Iran anapiga nchi 9,anawabonda Israel na U.S,imagine kambi za U.S zipo middle east in 50 yrs Iran kachukua wiki 1 tu kuzisambaratisha,.........Iron dome,kwa kumbola za Iran Inakua chujio
Ni kweli waarabu ni wapumbavu,ila sio waajemi
 
Back
Top Bottom