gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Nani alileta mambo ya ceasefire na negotiations? Anaetaka negotiations ndio kachapika maana awali negotiations zilikuwepo kilichowafanya wakimbilie vita ni nini? Sasa wanamlaumu muajemi kufunga bahari wakati kabla aliwaambia kabisa mlango utafungwa.