Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #41
Hakukuwa na uhuru wa nchi inaitwa Palestine hata siiku moja.Palestina ilikuwepo ndiyo na hata sasa ipo na kabla ya uhuru ilikua inatawaliwa na Waingereza baadae ikawa partitioned kwa Egypt, Jordan na wayahudi wakajitangazia taifa lao ndani ya Palestine territory.
Kwa kuwa umesema walipata uhuru tuambie walipata uhuru kutoka kwa nani na nani alikuwa rais wao.
Tuambie pia Sarafu yao ilikuwa inaitwaje? Na mipaka yao walikuwa wanapakana na nchi zipi?
Hizo ni propaganda za Wafuga Midevu na Majini hakuna ukweli wowote tuwekee video tusikie akiongea hayo uliyomuwekea maneno mdomoni!!Israel ilisema kupitia waziri mkuu wao wa kwanza na Baba wa taifa David Ben Gurion kuwa itahakikisha inawafuta waarabu wote hapo Palestine na kuchukua ardhi yote. Msome humu quotes zake zote kutoka reputable source:
Ujinga huo never officially confirmed ni Propaganda tu za kijiweni.Na sio tu Israel waliapa kuwafuta waarabu ila wameapa kufuta mataifa yote makubwa pale ambapo watakuta na existential threat kama kuvamiwa au kushindwa vita. Inaitwa SAMSON OPTION
https://blogs.timesofisrael.com/the...-temple-columns-soon-fall-on-israels-enemies/
Iran ina Nuke haijawahi kutishia yeyote au nchi yoyote pamoja na kwamba wana uwezo wa kufanya hivyo.
Ulivyo mjinga unaunga-unga habari ili kuhalalisha uongo wako huo!!