Ahahah eti iran anamtandika israel kisawa sawa!Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???Ahahah eti iran anamtandika israel kisawa sawa!
Bro, nunua redio nyingine, hio yenye tbc fm unapigwa mambo mengi.
Umasikini ni fumbo aisee, yani mtu anajiamulia tu asubuhi eti israel anapigwa😁😁
Ulitaka wapigweje!!!Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.
Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.View attachment 3577224
Iran kuna vyombo gani vya kimagharibi vinavyoruhusiwa kuripoti na je Iran kwa nini walizima Internet - sidhani kama utaweza kutoa majibu ya maswali hayo.We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
CNN waliruhusiwa kuripoti from inside Iran. Just Google itIran kuna vyombo gani vya kimagharibi vinavyoruhusiwa kuripoti na je Iran kwa nini walizima Internet - sidhani kama utaweza kutoa majibu ya maswali hayo.
War in Iran: journalism in crisis as access to information restricted and reporters work amid bombs
Since the start of the U.S.-Israeli offensive on Iran, journalists in the country have been working amid the hostile air strikes while also facing repression from the Iranian regime. Internet access in the country remains limited and information is scarce. As war spreads across the region...rsf.org
Ni ujinga uliopitiliza kusema au kufikiri Iran inaitandika sawasawa.Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Werevu ni kufikiri unavyotaka wewe.Ni ujinga uliopitiliza kusema au kufikiri Iran inaitandika sawasawa.
Iran sasa hivi imepoteza viongozi wake wakiwemo wa kijeshi ni ujinga kufikiri kuwa Iran inashinda!!
Tangu lini anayepigika akawa anawauwa majenerali wa anayempiga?We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Brainwashed by the western media na staunch mnazi wa Western propaganda. Baki hivyoLazima uwe huna uelewa kabisa, kuweza kuamini kuwa Israel imemalizwa. Israel haifichi taarifa zake hata siku moja. Tena wao, hata ikitokea askari wake wameuawa, siyo tu wanatangaza idadi, bali wanataja mpaka majina na vyeo vyao hao waliouawa,. Halikadhalika kwenye majengo.
Kuna watu waongo wasio na akili, ambao huongozwa na hisia za matakwa yao na siyo ukweli, waliwahi kusema PM wa Israel ameuawa, wakati ukweli ni kuwa hakuna kiongozi hata mmoja wa Israel aliyewahikuuawa. Watu hao hao waongo wakadai kuwa mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Israel imeteketezwa, wakati mpaka mwisho mifambo yao ya ulinzi wa anga imeendelea kudungua mabomu, japo yapo yanayopenya. Na taarifa yao wanasema mifumo yao ya anga, perfection yao imekuwa 95%, lakini ujue hata hiyo 5% ya mabomu yanayopenya, ina madhara.
Kama Iran ingekuwa na uwezo wa kuipiga vibaya Israel, baada ya kupata hasara kubwa kwenye kila vita dhidi ya Israel, isingekuwa inakubali kiurahisi kusimamisha vita. Fikiria kila vita, ni Israel ndiyo inayoanza kuishambulia Iran. Hiyo yote inatokana na kujiamini. Taarifa ya Iran yenyewe inasema kuwa nchi imepata hasara ya dollar billion 700, na majengo yaliyovunjwa ni zaidi ya 10,000. Watu waliouawa ni zaidi ya 3,000. Na hiyo ni kwa sababu Israel na USA haikuwa inapiga ovyo kama inavyofanya Iran, walikuwa hawataki kuwaua raia, wakitegemea raia wawaunge mkono ili wanyanyuke dhidi ya utawala wa Ayatollah, japo hilo halikutokea kutokana na vitisho vya Serikali. Walioonekana kuunga mkono mashambulizi, zaidi ya wairan 6,000 wamenyongwa.
Israel ilizuia vyombo vya habari kama Aljeezera, baada ya kuthibitika walikuwa ni members wa Hamas. Hivyo walitumia nafasi zao kama wanahabari, kupata taarifa za intelijensia. Walikuwa wakipiga picha ya baadhi ya taasisi za IDF na Mossad na kuzipeleka kwa wapiganaji wa makundi yao.
Huyo ni follower wa trump huko truth so anataarifa kutoka mtandao wa trump.We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
Waarabu gani waungane ? Hawa mashia ma masuni wanaotwangana wao kwa wao kila jua linapochomoza au kuna wengine ? Pia Iran sio waarabu ni Wapersia/Waajemi. Hakua muaarabu mwenye akili infact katika race za watu wajinga ni waafrika na waarabuMakosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
Mziki gani Marekani ilikutana nao huko Iran?Marekani na Israel walifikiri Iran ni Iraq au Libya, sasa wamekutana na mziki tofauti. Pale waliuwa viongozi Dola ikaanguka.