Hakuna nchi ambayo Israel inaidharau kama Iran nafuu hata waarabu na Iran tayari baada ya kipigo iliishaanza kutumia zile mbinu pendwa za magaidi wa Hamas za kutumia raia kama ngao ya kujilinda.Werevu ni kufikiri unavyotaka wewe.
Marekani na Israel walifikiri Iran ni Iraq au Libya, sasa wamekutana na mziki tofauti. Pale waliuwa viongozi Dola ikaanguka.
Nyoka waliyekutana naye sasa ana vichwa saba. Kata kimoja vingine vinapumua. Pamoja na kuua viongozi wote hao umeona Iran ikilia Lia au ikiyumba?
Iran ina mfumo wa Mosaic administration, ua uuavyo wao wanasonga na viongozi wapo.
Israel kapigwa sana mno kupita kiasi. Hajawahi kutandikwa namna hii. Na kama sio Amerika basi myahudi hasimami na muajemi hata kidogo.
Ndivyo mnavyodanganyana hapo Masjid Mtoro na kina sheikh Kasim Mafuta ?We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN???
Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
USA Inawabeba!! kwahiyo ni sawa na useme North Korea haiguswi na US sio sababu ina nguvu sana ila sababu inalindwa na China.Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.
Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.View attachment 3577224
Iran ina raia million 100+ hao 200 ndio nini? Hao Israel ndio kitaifa kiduchu sana size ya kariakoo so wakifa hata watu 10 ni hasara kubwa sana.Ndivyo mnavyodanganyana hapo Masjid Mtoro na kina sheikh Kasim Mafuta ?
Unajua MOSAD wamewawahisha viongozi zaidi ya 200+ wa Iran kwenda kwa Allah kugombania Mabikira 72 na mito ya Heineken na Jack Daniels?
Inaidharau? Kwanini haiendi kung'oa IRGC kama walivyoahidi? Kwanini isije uso kwa uso kuliko kupigana huku ikimsogeza US mbele mbele?Hakuna nchi ambayo Israel inaidharau kama Iran nafuu hata waarabu na Iran tayari baada ya kipigo iliishaanza kutumia zile mbinu pendwa za magaidi wa Hamas za kutumia raia kama ngao ya kujilinda.
Safari ijayo vita vikianza tena raia wa Iran watakufa wengi sana kwa staili hiyo.
Hapo ingekuwa Europe na USA hawakuwasaidia hao taifa fake lisingekuwepo tokea zamani au wangepigwa kwa bakora tu na WarabuKwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.
Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.View attachment 3577224
Kiongozi ni Ayatollah na command ni ya kijeshi chini ya Ahmad Vahidi ndio sauti ya mwisho hao wanaopiga kelele kina arragarachi na Pezeshkian wanaweza ondolewa na Ayatollah nafasi zao ni za kisiasa sio permanent kama wale wa baraza la wataalamu ama Ayatollahs!!Mziki gani Marekani ilikutana nao huko Iran?
Kuuwawa kwa viongozi wa kijeshi na kiraia na kuharibiwa miundombinu ya nchi kwako wewe ndiyo Muziki?
Kuhusu kuanguka mpaka sasa hivi Iran kila mmoja ana ndevu kiia mmoja anatoa tamko na huwezi kujua sasa hivi Iran nani kiongozi!!
Mabikira 72 na mito ya Heineken na Jack Daniels?Ndivyo mnavyodanganyana hapo Masjid Mtoro na kina sheikh Kasim Mafuta ?
Unajua MOSAD wamewawahisha viongozi zaidi ya 200+ wa Iran kwenda kwa Allah kugombania Mabikira 72 na mito ya Heineken na Jack Daniels?
Brainwashed by the western media na staunch mnazi wa Western propaganda. Baki hivyo
Aprili 1979 ndio utawala wa Ayatollah Rahollah Khomen alipotangaza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia na miaka kumi baadaye yeye ndiye akafariki.Inaidharau? Kwanini haiendi kung'oa IRGC kama walivyoahidi? Kwanini isije uso kwa uso kuliko kupigana huku ikimsogeza US mbele mbele?
Israel ikipigana yenyewe kama yenyewe haina uwezo wa kuiteka Iran kwanza ina jeshi dogo sana na haina rasilimali za ku-sustain vita.
Nitajie vita moja tu Israel imewahi pigana bila msaada wa US? Taja moja tu
We hujitambui, hata Israel iliapa 1948 kuifuta Palestine pamoja na kumaliza waarabu wote hapo Israel. Vipi mbona mpaka leo bado wapo? Kasome kuhusu NAKBA ya 1948 naona watoto wa 2000 hamjui historia kabisa.Aprili 1979 ndio utawala wa Ayatollah Rahollah Khomen alipotangaza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia na miaka kumi baadaye yeye ndiye akafariki.
Wakaendeleza hiyo sera hadi leo Israel ipo tu na matokeo yake hao viongozi wenyewe ndio wanakufa wanaisha lakini Israel ipo tu.
Wewe endelea tu kubwabwa Iran sasa hivi haiko stable wanapigwaCNN report live from Tehran,March 2026
Bado kuna wale wapumbavu wa Israel Taifa Teule hakuna hata jiwe litalopenya👊😄😀😀,in 40 days Iran anapiga nchi 9,anawabonda Israel na U.S,imagine kambi za U.S zipo middle east in 50 yrs Iran kachukua wiki 1 tu kuzisambaratisha,.........Iron dome,kwa kumbola za Iran Inakua chujio
Ni kweli waarabu ni wapumbavu,ila sio waajemi
Acha ujinga toka lini Palestina ilikuwa nchi?We hujitambui, hata Israel iliapa 1948 kuifuta Palestine pamoja na kumaliza waarabu wote hapo Israel. Vipi mbona mpaka leo bado wapo? Kasome kuhusu NAKBA ya 1948 naona watoto wa 2000 hamjui historia kabisa.
Wote waliodiriki kusema Israel ifutwe keenye Ramani ya dunio wao ndiyo wamekuwa wa kwanza kufutwa kwenye ulimwengu huu.Kingine unadai Israel bado ipo ila viongozi wa Iran wanakufa. Labda nikwambie tu tokea 1979 Iran imekua na supreme leaders wawili tu waliokufa ila Israel hao mawaziri wakuu zaidi ya 5 wameshakufa tokea 1979. Kwahiyo kama kifo ndio kipimo then israel imepoteza zaidi
Wewe naona huna hoja kubishana na wewe ni kupoteza tu muda kwa sababu unaweka imani ya kidini mbele jambo linaloua kabisa mantiki ya hoja.We hujitambui, hata Israel iliapa 1948 kuifuta Palestine pamoja na kumaliza waarabu wote hapo Israel. Vipi mbona mpaka leo bado wapo? Kasome kuhusu NAKBA ya 1948 naona watoto wa 2000 hamjui historia kabisa.
Kingine unadai Israel bado ipo ila viongozi wa Iran wanakufa. Labda nikwambie tu tokea 1979 Iran imekua na supreme leaders wawili tu waliokufa ila Israel hao mawaziri wakuu zaidi ya 5 wameshakufa tokea 1979. Kwahiyo kama kifo ndio kipimo then israel imepoteza zaidi.
Yuko Kwa Allah anagida mabikra 72Kiongozi ni Ayatollah na command ni ya kijeshi chini ya Ahmad Vahidi ndio sauti ya mwisho hao wanaopiga kelele kina arragarachi na Pezeshkian wanaweza ondolewa na Ayatollah nafasi zao ni za kisiasa sio permanent kama wale wa baraza la wataalamu ama Ayatollahs!!
Palestina ilikuwepo ndiyo na hata sasa ipo na kabla ya uhuru ilikua inatawaliwa na Waingereza baadae ikawa partitioned kwa Egypt, Jordan na wayahudi wakajitangazia taifa lao ndani ya Palestine territory.Acha ujinga toka lini Palestina ilikuwa nchi?
Wapi Israel ilisema itawamaliza waarabu wote?
We mpuuzi kweli ulisema waliotishia kuifuta Israel wamekufa ndio nmekujibu kuwa Israel imeshapoteza mawaziri wakuu 5 tokea Khomeini awe kiongozi mkuu wa Iran. Specifically khomeini unayedai alitoa kauli ya kuifuta Israel alikufa kifo cha asili tu hakuuwawa.Wote waliodiriki kusema Israel ifutwe keenye Ramani ya dunio wao ndiyo wamekuwa wa kwanza kufutwa kwenye ulimwengu huu.
Viongozi wengi wa kiraia na kijeshi wa Iran wameuliwa na majeshi hodari ya Israel!!! Na hakuna kiongozi yeyote wa Israel kauliwa na magaidi ya Iran tatizo lako wewe huna akili na unaongozwa na Mihemko ya kidini tu.
Usikimbie, kama umezidiwa hoja sema tu.Wewe naona huna hoja kubishana na wewe ni kupoteza tu muda kwa sababu unaweka imani ya kidini mbele jambo linaloua kabisa mantiki ya hoja.
Allah anaingiaje hapa? Kwani wapi nimeongelea uislam hapo?. Mimi ni mkristo kabisa kama alivyo Nyerere ambaye amependekezwa kuitwa mtakatifu ila aliipinga Israel wazi wazi. Sielewi kwanini mnaamini kila anayepinga ujinga wa Netanyahu ni muislamu.Yuko Kwa Allah anagida mabikra 72