Hakukuwa na uhuru wa nchi inaitwa Palestine hata siiku moja.Palestina ilikuwepo ndiyo na hata sasa ipo na kabla ya uhuru ilikua inatawaliwa na Waingereza baadae ikawa partitioned kwa Egypt, Jordan na wayahudi wakajitangazia taifa lao ndani ya Palestine territory.
Hizo ni propaganda za Wafuga Midevu na Majini hakuna ukweli wowote tuwekee video tusikie akiongea hayo uliyomuwekea maneno mdomoni!!Israel ilisema kupitia waziri mkuu wao wa kwanza na Baba wa taifa David Ben Gurion kuwa itahakikisha inawafuta waarabu wote hapo Palestine na kuchukua ardhi yote. Msome humu quotes zake zote kutoka reputable source:
Ujinga huo never officially confirmed ni Propaganda tu za kijiweni.Na sio tu Israel waliapa kuwafuta waarabu ila wameapa kufuta mataifa yote makubwa pale ambapo watakuta na existential threat kama kuvamiwa au kushindwa vita. Inaitwa SAMSON OPTION
https://blogs.timesofisrael.com/the...-temple-columns-soon-fall-on-israels-enemies/
1. Elewa kwanza, uhuru wa palestina au israel upo tofauti ni uhuru huo kutambuliwa na taifa gani. Mfano palestina inatambuliwa kuwa huru na mataifa kadhaa na mengine hayaitambui same to Israel kuna mataifa yanaitambua na mengine pia hayaitambui mfano Pakistan haitambui uhuru wa israel ndio maana ilikataa wasiwepo kwenye mazungumzo.Hakukuwa na uhuru wa nchi inaitwa Palestine hata siiku moja.
Kwa kuwa umesema walipata uhuru tuambie walipata uhuru kutoka kwa nani na nani alikuwa rais wao.
Hiyo ni website ya media ya waisrael au hujui kusoma? Huyo speech za Ben Gurion zilikua sio za kiingereza so hata nikiweka hapa bado utasema analishwa maneno na watafsiri.Hizo ni propaganda za Wafuga Midevu na Majini hakuna ukweli wowote tuwekee video tusikie akiongea hayo uliyomuwekea maneno mdomoni!!
Acha ujinga nimekuuliza walipata uhuru mwaka gani na kutoka kwa nani?. Elewa kwanza, uhuru wa palestina au israel upo tofauti ni uhuru huo kutambuliwa na taifa gani. Mfano palestina inatambuliwa kuwa huru na mataifa kadhaa na mengine hayaitambui same to Israel kuna mataifa yanaitambua na mengine pia hayaitambui mfano Pakistan haitambui uhuru wa israel ndio maana ilikataa wasiwepo kwenye mazungumzo.
Acha siasa Palestina haijawahi kuwa nchi hata siku moja!!. Tunaposema kabla ya uhuru wa palestina tunaongelea eneo lote la British mandate of Palestine. Inayojumuisha Jordan, Israel, na Palestine (gaza na westbank). Hayo yote hayakua mataifa huru kabla ya 1948.
Acha ujinga kama walikataa lini sasa walikuwa nchi? Kawadanganye Wafuga midevu na majini tu3. Uingereza ilipotaka kutoa uhuru iliwapa Jordan eneo lao mashariki mwa mto Jordan. Na kupitia UN resolution ikakubaliana itoe 55% kwa Israel na 45%. Wayahudi (waliokimbia ulaya) walikubali ila Palestine arabs walikataa.
Palestina haijawahi kuwa na nchi kijana. Uingereza ilijiondoa rasmi usiku wa May 14 1948, na usiku huo huo israel ikajitangazia uhuru na siku iliyofuata yaani May 15 vita ikaanza so maeneo yaliyotengwa na UN kwa taifa huru la palestina yakaporwa na Israel.
Rudi darasani Gaza na Judea & Samaria hayo ni maeneo ya Wayahudi miaka nenda rudi!!. Palestina ikawa imebakia Gaza na Westbank ambayo nayo yalikua chini ya usimamizi wa Jordan na Egypt. Na maeneo haya mpaka leo yanatengeneza taifa la palestina ambalo linatambuliwa na nchi 157 kati ya 197 zenye uanachama wa UN.
Acha ujinga Mahmod Abbas ni Rais wa Mamlaka ya palestina (President of the Palestinian National Authority)6. Kwa sasa Rais ni Mahmoud
Bottom
Abbas lakini kiongozi wa kwanza wa Palestina alikua anaitwa Amin Al Hussein ingawa anayetambulika kama Rais wa kwanza ni Yasser Arafat.Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi.
Bado tuko hapa. Imeimarika zaidi, ina nguvu zaidi, na waache kudanganyana kuwa kuna siku Israel itatoka hapo!! Israel haiendi popote.
- Echolima1
- israel nchi za kiarabu
- Replies: 54
- Forum: International Forum
Wewe usifikiri mimi ni mjinga mwenzako nimekuuliza kama Palestina ilikuwa nchi walikuwa wanatumia Sarafu gani na ilikuwa inaitwaje? Dinari,Dollar,Pound au nini?7. Kuhusu sarafu na mambo mengine ya kiuchumi Israel inayapinga maana inahofia uchumi ukikua watapata nguvu ya kupambana nao.
I hope historia umeielewa vizuri
Wakati mwingine tumia akili zako vizuri, hii hapo chini hiyo video.Hata wewe unayedai Iran ilisema itaifuta Israel hakuna Hata video moja au kitabu kimeandika ila mnajazana ujinga tu humu kuwa Iran ilisema sijui Ayatollah alisema ila hakuna ushahidi mpaka leo. Wewe unawekewa media ya wayahudi iliyo compile maandiko yake unaanza kubishana na wayahudi wenyewe una akili kweli?
Mnayoshabikia Israel na USA hamna hoja zaidi ya kupumbazwa na ujinga uliolishwa eti taifa teule na kibaya zaidi hata Ukristo hamuufamu,Waarabu wote ni wanawake tu we uoni wanavaa magauni meupe
Mnayoshabikia Israel na USA hamna hoja zaidi ya kupumbazwa na ujinga uliolishwa eti taifa teule na kibaya zaidi hata Ukristo hamuufamu,
1. Kama kuvaa gauni ni uanamke hata Mungu wako ni mwanamke mana Yesu lilikuwa vazi lake.
2. Msichokijua hawa wayahudi ndio walio muua Mungu wako π
3. Hiyo vita si yakidini acheni chuki.
4. Israel na USA wamepigwa sana yani hadi wamepoteana kila siku wanatimuana tu huko na ndio msichopenda kusikia lakini ndio ukweli ππ
Mbona ndugu yangu zitto junior anafafanua vizuri tu.
Tumieni akili zenu wekani pembeni propaganda mlizolishwa vijana.
π
Muarabu kuvaa gauni anakuhusu wewe mnyaturu?Wewe ni stupid. Mimi sishabikii ujinga huu ulioandika, haya ni mambo yenu watu wenye akili ndogo kama zako. Kuhusu fairytale stories kabishane na wapuuzi wenzio. Wapi nimesema nashabikia Israel au Marekani?
Amemtandika sawasawa kwa kipimo gani,hivi Kuna loss kubwa Kam kupoteza rais wa nchi kwenye ardhi yako na viongozi waandamizi wote wa jeshi hawapo mpaka sasa utasemaje Israeli ametandikwa sawasawa hakuna hata mkuu wa kikosi wa jeshi aliyeuawa tangu vita uanze!Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
Muarabu kuvaa gauni anakuhusu wewe mnyaturu?
Unadhihirisha jinsi akili zako zilivyo ndogo etu stupid ili uonekane msomi ππ
Umepatia hisia zako nikweli ninakanyagwa hasa , enhe what next ?Nafikiri we unakaa Nyagwa
Umepatia hisia zako nikweli ninakanyagwa hasa , enhe what next ?
1. Ndio imeondoa ukweli kuwa Iran wameteka meli za USA?
2. Ndio inaondoa ukweli kuwa jeshi la USA wanatimuana hovyo kama mbizi?
Acheni chuki vijana π
Ujinga mtupu unajisifia kuteka nyara meli ya USA!!1. Ndio imeondoa ukweli kuwa Iran wameteka meli za USA?
Ujinga unakusumbua watu wana reshape jeshi lao wewe unaona unashinda!!2. Ndio inaondoa ukweli kuwa jeshi la USA wanatimuana hovyo kama mbizi?
Hilo la kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ni doctrine ya utawala wa Iran na haijalishi kufa kwa Ayatollah yeyote yule.Usikimbie, kama umezidiwa hoja sema tu.
1. Hakuna popote nimetaja dini labda unionyeshe wapi hapo nimeingiza dini?
2. Umesema waliotaka kuifuta Israel wamekufa nmekujibu kuwa Iran wamekufa 2 Israel wamekufa 5 tokea 1979.
3. Ulidai Iran ilitaka kuifuta Israel nmekujibu kuwa 1948 David Ben gurion aliapa kuwafuta waarabu wote pale Palestine. Tukio linaitwa NAKBA ilifanyika ethnic cleansing kubwa pengine kuliko yoyote mashariki ya kati.
Kasomeni ndio mje JF hii sio FB.