Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Inasemekana Israel ana vichwa vya nuclear 80, unadhani ni rahisi kumvamia na kutaka kumfuta?
 
Wao huwa wanapanga lakini Allah ni mbora wa wapangaji na mjuzi wa kupangua mipango iliyopangwa.
Kwengine anasema huwa anawazunguka maadui zake kutokea pande zote bila wenyewe kujijuwa
Binadamu ni kipofu sana wa kuona mbele yake.Fir'aun alijiona anamfukuza Musa a.s na jeshi lake na hakubali mpaka amshike.Alipoingia baharini na yeye akafuata pengine akisema mshenzi huyu ngoja tumfuate huko huko mpaka tumshike.
Inasemekana katika jeshi la Fir'aun kuna baadhi ya askari walikaribia kuhisi hatari mbele yao na wakataka warudi nyuma lakini farasi wao mkuu dume akaone farasi jike mzuri kule kwenye njia ya baharini na akawa hasikii kitu na wote wakamfuata bila kutaka.Kilichotokea ni kuwa walipofika katikati wote wakazama na kufa wakati jeshi la Musa a.s limeshavuka.
Haya maguvu na maneno ya jeuri ya Israel ikisaidiwa na Marekani yawezekana ndio wanajipeleka kwenye maangamizi.Allah subhaanahu wa taala ameahidi kuwa hawapi njia madhalimu na ahadi zake hazina mabadiliko.

Demokrasia ya vyama vingi imepitwa na wakati.
Yaani unamtaja nabii Musa dhidi ya Firauni . Unaogopa kusema WAYAHUDI dhidi ya Firauni.
Mungu wa WAYAHUDI amekuwa akiwapigania hao watu daima . Aliwatoa mikononi mwa Firauni , akawaokoa mikononi mwa Hitler, Leo unajipa moyo hii vita et watapigwa 😂😂😂
 
Kuran hii hii iliyoandikwa na Muhammad alikuwa anapaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hussein msikitini akiwa uchi?

Allah angewasaidia wapalestina sasa kwasababu kila kitu Allah akbar hata walipokuwa wanauwa watoto Israel allah akbar.

Awasaidie sasa. Huoni Mungu wa kweli wa Israel anavyosaidia Israel?

Allah kala kona licha ya kuabudiwa kwa mashindano.

I STAND WITH ISRAEL.

TRUE GOD BLESS AND PROTECT ISRAEl
Maghayo, wakati Yesu anasulubiwa kama msemavyo, baba yake alikuwepo wapi, naye alikula kona na kuwapa ushindi warumi?
 
Wanakimbia maisha ya dhiki,fujo na mapigano yasiyokwisha huko Arabuni

Paris crime rates​

Level of crime61.33High

Crime rates in Riyadh, Saudi Arabia​

Level of crime20.47Low
 
Yaani unamtaja nabii Musa dhidi ya Firauni . Unaogopa kusema WAYAHUDI dhidi ya Firauni.
Mungu wa WAYAHUDI amekuwa akiwapigania hao watu daima . Aliwatoa mikononi mwa Firauni , akawaokoa mikononi mwa Hitler, Leo unajipa moyo hii vita et watapigwa 😂😂😂
Wakati huo sisi tunawaita ni wana wa Israel ambao baba yao ni mtume wa Mwenyezi Mungu kama nabii Issa na nabii Mussa a.s.Wayahudi ni watu waovu waliofuatia baadae na wasingeweza kuokolewa dhidi ya jeshi la Fir'aun.
 
Yaani unamtaja nabii Musa dhidi ya Firauni . Unaogopa kusema WAYAHUDI dhidi ya Firauni.
Mungu wa WAYAHUDI amekuwa akiwapigania hao watu daima . Aliwatoa mikononi mwa Firauni , akawaokoa mikononi mwa Hitler, Leo unajipa moyo hii vita et watapigwa 😂😂😂
Mussa alikuwa myahudi ashkenazi au myahudi mizrahi au myahudi falasha?
 
Hata waungane wote hawawezi moto wa Israel.
Hao hawapigwi kwa watu kuungana, kapelekewa moto wqa mgambo tu, manowari za mumewe zimeshajaa hapo.

Hao wanachezea kichapo cha uso kwa uso, kama cha juzi.
 
Hao hawapigwi kwa watu kuungana, kapelekewa moto wqa mgambo tu, manowari za mumewe zimeshajaa hapo.

Hao wanachezea kichapo cha uso kwa uso, kama cha juzi.
Unajitia moyo sio?nadhani moyoni wako una majeraha makubwa Sana kila ukiangalia wapendwa wako na nchi Yao walivyoburudishwa,ila mbele za umma unakaza...poleni sana Kwa madhila yaliyowapata
 
Back
Top Bottom