Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Wanaikumbuka vita ya siku 6 ndo maana hawawezi kuingilia ,mtu ambaye alikuwa WA kutegemea Kwa sasa ni mchina lakin mchina anashirikiana na waarabu kimaslai lakin hiyo dini Yao haikubali kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo ushindi wenyewe. Dunia nzima leo inaiongelea Palestina na ipo nao.Amosi 1:5-6
View attachment 2781464Haya ndiyo asemayo bwana , Kwa makosa matatu ya Gaza , Naam Kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate Kwa sababu waliichukua katika Hali ya kufungwa kabila Zima , wawatie katika mikono ya Edom . Lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza , nao utayateketeza majumba yake .
Ukiangalia kote duniani wanaoiunga mkono Hamas wamekuwa ni wengi kuliko wanaoilaumu kama wewe.Nchi kama Ufaransa imebidi ipige marufuku maandamano ya kuipongeza Hamas. Na Ujerumani mpaka kuna viongozi wa Marekani wameilaumu kwa kuwa na maandamano makubwa ya kuiunga mkono Hamas
Wanafata mali zao walizoiba wafaransa.Sasa kinachowafanya wakimbilie Ufaransa ni nini? Si wabaki kwa Nchi zao ili wavurugane sawa sawa kama walivyozoea.Nimeona Aljazeera kuna wengine wako wanalia wamezuiwa kwenda UK.Waarabu wanapenda sana kwenda kuishi maisha mazuri ya Ulaya kumbe mpaka wanalia wakinyimwa Viza.
wayahudi wamlilie myahudi mwenzao? Usilete vichekesho.
huyo waluwabambikia watu wakawaambia mungu wenu huyo. halafu ndugu zake mungu wakamfanyia uhuni waliowaaminisha kuwa huyo ndiyo mungu wenu. Dah, inasikitisha, mungu aliyelilia msaada kwa mungu wake.
Hakika duniani wajinga ndiyo waliwao.
Hawakubali kuonewa kijinga.
Wengi wao hao Mungu wao siyo myahudi.
Nafurahi umekubali kuwa uzi wangu umetaja ukweli wa kinachotokea.Na ni vyema na wewe uwe shahidi ili kikitokea kingine huko mbele kinyume na matarajio yako ya kuwa ndio mwisho wa dunia usijepata la kusema.Hapo Ufaransa ilifanya kosa la kuachia mazombi yenu yakahamia, na ndio hayo yanataka kufanya maandamano, hakuna mwenye akili zake anayeweza kuunga mikono walichokifanya HAMAS, labda nyie ambao kwenye dini yenu ushetani ndio huwa umekithiri.
Nimependa sana huu uzi wako maana umekiri mwenyewe meli kubwa ya kijeshi kuzidi zote, yaani nguvu inayotumika kwa haya maandalizi ni ya hali ya juu, Iran na mataka taka yote ya Uarabuni itabidi wakae hamna kitu watafanya.
Huwezi ukathibitisha historia kwa kutumia biblia wala kitabu chochote kingine.Historia ya uhakika hata kabla ya kuumbwa binadamu imo kwenye Qur'an ambayo imesalimika na fikra za watu.Palestina hawana chao! Biblia tu inaeleza kila kitu israel imebarikiwa mbele ya palestina. Vita yao haitoisha mpaka mwisho wa dunia.
Umepig penye mshono.as long hili litakua gumu.bas wing wowte ni sawa sawa na pov juu ya maji.imewekwa kitaalam sana hii kama huusik huwez juaWaamke Alfajiri waswali na misikiti ijae kama inavyojaza ijumaa.
Wakiweza Hilo basi ushindi utapatikana bila hata vita.
Katika habari hizo wewe ni mtoto mdogo sana.Waulize viongozi wako wa kanisa wanaokimbia mkuku ikija hiyo mada.Ebu nitolee udini wako hapaa! Kwamba Quran ndo iaminike kuliko BIBLIA!? Kaa pembeni na comment yangu!!!! Amini Quran nitaamini Biblia OVER
NARUDIA TENA! UDINI WAKO USINILETEE MIMI! Kama wewe na dini yako ni majemedali sana mbona mnachakazwa na israel kama kukuuu😂 Israel Juuuuuuu! Taifa lililobarikiwaKatika habari hizo wewe ni mtoto mdogo sana.Waulize viongozi wako wa kanisa wanaokimbia mkuku ikija hiyo mada.
Nafurahi umekubali kuwa uzi wangu umetaja ukweli wa kinachotokea.Na ni vyema na wewe uwe shahidi ili kikitokea kingine huko mbele kinyume na matarajio yako ya kuwa ndio mwisho wa dunia usijepata la kusema.
Hamas walipanga kidogo tu na sisi viongozi wanakiri hawakutajia kupata mafanikio kama yale.Nani aliyewafanya wakaishtukizia Israel yote mnayoisifu kama kwamba ndio Mungu mwenyewe.Aliyewapa ufanisi huo yupo na halalli na anaona kinachoendelea.Hata waarabu wote wakae kimya akitaka kila kitu kinakuwa chepesi.
Kwamba Israel atawaruhusu warudi pale?Tuendelee kuwaombea Israel wasitishe hiki kisasi wanachowapa Palestina ili mambo yatulie na Wapalestina warudi kuanza kufukua vifusi vya mabaki ya makazi yao ili waanze upya kujijenga.Maana kimji kimegeuzwa vifusi kwa sehemu kubwa.
Kwa sasa nchi za Ulaya zinajifunza, ni swala la muda kabla hawajakataa migrants au wakawatafutia sehemu za kuwapelekaNa ni hao hao wahamiaji ndiyo huwa wanaisumbua sana Ufaransa.Sijui kwa nini huwa wanawapokea.Palipo na waarabu wengi wahamiaji hapana amani siku zote
Israel anajilinda hana muda wa kuivamia Iran. Iran kila mara inang'aka itaifuta Israel. Sasa Anderson afanye hivyo. Rudi kwenu Tanzania wewe uingereza siyo kwenu.Wote hawawezi labda Israel aanze mashambulizi
Ninavyojua kila mmoja anaangalia outcome ya vita je anapata nini baada ya vita
Iran amewekeza sana kwenye jeshi na hawezi kupigana bila kuchokozwa
Hizi kelele za Israel kuwa atapigana na Iran siku moja ni hadithi tu
Israel amepiga airports za Damascus na Aleppo kwa kuwa anajua Syria kuna matatizo mengi na wako hoi kiuchumi
Sio kama zamani
Kwa upande mwingine Jordan anajaribu kuwa msuluhishi katikati yao kwa sababu yuko baina ya Iraq na Israel kwa hiyo escalations zozote Jordan ataumia zaidi maana mabomu yatapita juu yake pande zote
Naijua vizuri ME nimekaa miaka mingi
Wamechelewa. Tutakomaa nao humu humu na kuosha mikundu yao wakizeeka.Kwa sasa nchi za Ulaya zinajifunza, ni swala la muda kabla hawajakataa migrants au wakawatafutia sehemu za kuwapeleka
Mnapochukulia kila jambo kwa jicho la udini ndipo mnaharibu kabisa..jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Wao huwa wanapanga lakini Allah ni mbora wa wapangaji na mjuzi wa kupangua mipango iliyopangwa.Mnapochukulia kila jambo kwa jicho la udini ndipo mnaharibu kabisa..
Kwani wao hawaogopi kipigo?!
Mungu wa kweli hatetewi, huyo Mungu anayeuwa watu kisa kumtetea ni mungu wa dunia hii naye ni ibilisi na sheitwani. Yeye ndo huwaahidi wafuasi wake pombe, uzinzi huko paradise. Watu vipofu, ingawa wana macho.Kwa hiyo kuutetea uislamu ni kuchinja watoto wa Israel na kubaka wanawake kuteka wazee kuwapiga risasi hovyo raia wasio kuwa na hatia
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Migawanyiko ya ndani haiwezi kuzima ajenda moja kuu ya kupata taifa huru la 'Palestine'.Wapalestina wenyewe wamegawanyika. Kuna Hamas na Fatah.