Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Inasemekana Israel ana vichwa vya nuclear 80, unadhani ni rahisi kumvamia na kutaka kumfuta?
 
Yaani unamtaja nabii Musa dhidi ya Firauni . Unaogopa kusema WAYAHUDI dhidi ya Firauni.
Mungu wa WAYAHUDI amekuwa akiwapigania hao watu daima . Aliwatoa mikononi mwa Firauni , akawaokoa mikononi mwa Hitler, Leo unajipa moyo hii vita et watapigwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maghayo, wakati Yesu anasulubiwa kama msemavyo, baba yake alikuwepo wapi, naye alikula kona na kuwapa ushindi warumi?
 
Wanakimbia maisha ya dhiki,fujo na mapigano yasiyokwisha huko Arabuni

Paris crime rates​

Level of crime61.33High

Crime rates in Riyadh, Saudi Arabia​

Level of crime20.47Low
 
Wakati huo sisi tunawaita ni wana wa Israel ambao baba yao ni mtume wa Mwenyezi Mungu kama nabii Issa na nabii Mussa a.s.Wayahudi ni watu waovu waliofuatia baadae na wasingeweza kuokolewa dhidi ya jeshi la Fir'aun.
 
Hata waungane wote hawawezi moto wa Israel.
 
Mussa alikuwa myahudi ashkenazi au myahudi mizrahi au myahudi falasha?
 
Hata waungane wote hawawezi moto wa Israel.
Hao hawapigwi kwa watu kuungana, kapelekewa moto wqa mgambo tu, manowari za mumewe zimeshajaa hapo.

Hao wanachezea kichapo cha uso kwa uso, kama cha juzi.
 
Hao hawapigwi kwa watu kuungana, kapelekewa moto wqa mgambo tu, manowari za mumewe zimeshajaa hapo.

Hao wanachezea kichapo cha uso kwa uso, kama cha juzi.
Unajitia moyo sio?nadhani moyoni wako una majeraha makubwa Sana kila ukiangalia wapendwa wako na nchi Yao walivyoburudishwa,ila mbele za umma unakaza...poleni sana Kwa madhila yaliyowapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…