Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Kabla hawajaungana hutegemea vitu vingi sana. Credits zitaenda kwa nchi gani? Au kwa dhebu gani.
Majority ya Wapalestina ni Sunni (98%), asilimia 99 ya waislam wa nchini Misri ni Sunni, lakini wanaoongoza Gaza ni Hamas, Hamas yupo backed up na Iran ambaye pia nibSunni, lakini Egypt na Iran hawana mahusiano, Misri hawezi kum support Hamas sababu ya Iran zaidi Misri ana mahusiano mazuri sana yasiyoyumba na Israel.
Katika sakati hili la Gaza, Israel ilikataa Misri isiruhusu watu kutoka Gaza wavuke mpaka kwenda Misri, Misri ikafunga mpaka. Lakini ikaamua kupeleka magari ya vifaa vya msaada, Israel ikakataa, Misri akavusha, Israel akayashambulia na kuonya asithubutu. Misri ikaurudisha Msafara ikafunga Mpaka. Wapalestina hali ilivyozidi kuwa tete wakaanza kuelekea mpakani, ikabidi Misri asogeze jeshi na kuwazuoa kwa risasi.
Kuna mataifa haya hapa;
Egypt, Jordan, United Arab Emirates pia kuna kundi chini Iran linaitwa Fatah People's Mujahedin of Iran. Hao ni wapinzani wa Hamas.
Ikumbukwe, Egypt ndiyo border pekee kati ya Gaza na dunia. Iran hawezi kumfuata Misri wakae meza moja kwa ajili ya issue ya Wapalestina akijua stable Hamis presents inapelekea influence ya Iran eneo lile na ndani ya Palestina ambao ni majirani wa Misri. Hii kamwe Misri hawezi akaikubali hata ikibidi Gaza wote wafe, Misri kwake itakua ni nafuu.

Kuna haya mataifa na kikundi kimoja. Hawa ndiyo marafiki wa Hamas; Afghanistan, Algeria, Iran, Qatar, Syria na Hezbolla.
Waarabu/nchi za Kiislam haziaminiani. Kila moja ina prouds zake.
 
Watapigwa kama ngoma, nao wanalijua fika hilo.
 
Parestine ndy wapi au ni upareni??😒
 
Nimependa hiyo namba 7, kwakuwa wamewatendea waisrael ubaya basi huo ubaya utawarejea wenyewe,mihemko ya kidini haijawahi kumuacha mtu salama acheni hao wahuni watiwe adabu siku zingine waache ujinga.
Tatizo kiburi hakitomuacha kiumbe yoyote salama, wakati ukifika kila mwenye kiburi atasambaratishwa.
2027 ikifika kuna mwamba hatakuwepo kwenye uso wa hii dunia.
 
Kwamba Iran anaweza dumu vita na USA?
Hapana Sina maana hiyo bali 🇺🇸 amepeleka meli za kivita kama ikitokea vita mashariki ya kati awe amesogeza silaha zake
Kwa Iran na USA wanajuana mkuu
Hivi karibuni prison swaps 🇺🇸 katoa $6b ila kwa wayahudi anaona wauwawe tu
Siasa mbaya sana acha tuwe washabiki mandazi tu
 
Kumbuka pia kuna wapalestina wakristo wala sio wote ni waslam na waesrael wengi sio Wakristo kumbuka hilo.
Hili swala watu wanalileta na kulichochoa kama la kidini ni kwa maslai yao haswa kwa vikundi vya kigaidi.
 
Basi jirani zake, au anawatosa jirani zake?
Jirani zake ni Misri ambaye amewafungia mipaka ndugu zake katika imani wanaoishi Gaza.

Ule msemo wenu wa "muislam ndugu yake muislam" ni wa kinafiki sana.
Hamna nchi hata moja ya kiislam imejitokeza kuwa tayari kuwapokea watu wa gaza. Sio Iran, Turkey wala Saudi Arabia.

Mmewaacha wanapambana na hali zao wenyewe masikini.
 


Hawawezi fanya lolote, kwa kitendo cha kuvamia Israel bila kuwa na mkakati au ku predict matokea, nimewazarau milele.
 
Kijana Uislam wewe huuelewi na hapo hakuna hata Muislam mmoja aliyewaaha, wangekuwa wameachwa hao usingeona wamarekani kuingia na manowari za kivita haraka haraka, usingeona wafaransa kuingia na midege ya kivita.

Hapo wewe pasikutie wasiwasi kabisa, sisi leo tumesherehekea kwa mabiriani. Dunia nzima leo Waislam tumefurahi sana.


Kwanza kwa kuona silaha za tabata na zinazotengenezwa uwani zikiikusanya NATO nzima kuelekea Gaza ambayo hata wilaya ya Ilala inaweza kuwa ni kubwa kwake.

Si mchezo kijana, wewe media zote hizo unazozisikia na kuziona na ziko chini ya wayahudi. Kuna mengi sana huyaelewi.

fatilia kupitia hawa, nakuwekea link chini hapo, kidogo wana zi review habari zote halafu kazi ni kwako uzifate zipi:



Na wewe ukiwa mungu wako ni myahudi hautonielewa kabisa. kuna mtu anamsaliti mungu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…