Alah hajawa na msaada wowote kwa Hamas na Palestina mpaka sasa.Usiwe ba hofu kijana na usimtegemee yeyote zaidi ya kumtegemea Allah pekee.
Au wewe umeuona msaada wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alah hajawa na msaada wowote kwa Hamas na Palestina mpaka sasa.Usiwe ba hofu kijana na usimtegemee yeyote zaidi ya kumtegemea Allah pekee.
H ao ndugu zake Yesu au kawatosa?Alah hajawa na msaada wowote kwa Hamas na Palestina mpaka sasa.
Au wewe umeuona msaada wake?
Ndugu zake Yesu hawamtambui Alah. Wao wana Mungu wao anaitwa YAHWEH/JEHOVAH.H ao ndugu zake Yesu au kawatosa?
Kabla hawajaungana hutegemea vitu vingi sana. Credits zitaenda kwa nchi gani? Au kwa dhebu gani.Warabu awana ushilikiano kabsa mkuu wapo kama mazombie
Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Ndugu zake Yesu hawamtambui Alah. Wao wana Mungu wao anaitwa YAHWEH/JEHOVAH.
Basi jirani zake, au anawatosa jirani zake?Ndugu zake Yesu hawamtambui Alah. Wao wana Mungu wao anaitwa YAHWEH/JEHOVAH.
Watapigwa kama ngoma, nao wanalijua fika hilo.Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Parestine ndy wapi au ni upareni??😒Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Una maanisha wale ambao mungu wao ni myahudi? Au na wewe ni mmoja wao?Ndugu zake Yesu hawamtambui Alah. Wao wana Mungu wao anaitwa YAHWEH/JEHOVAH.
Una haki na mawazo yako na maneno yako unayotowa kutokana na upeo wako.Tuseme neno moja fupi "waislamu ni wanafiki"
Tatizo kiburi hakitomuacha kiumbe yoyote salama, wakati ukifika kila mwenye kiburi atasambaratishwa.Nimependa hiyo namba 7, kwakuwa wamewatendea waisrael ubaya basi huo ubaya utawarejea wenyewe,mihemko ya kidini haijawahi kumuacha mtu salama acheni hao wahuni watiwe adabu siku zingine waache ujinga.
Watajua wenyewe.Mimi nimewatahadharisha tu kwa uoni wangu.
Hapana Sina maana hiyo bali 🇺🇸 amepeleka meli za kivita kama ikitokea vita mashariki ya kati awe amesogeza silaha zakeKwamba Iran anaweza dumu vita na USA?
Kumbuka pia kuna wapalestina wakristo wala sio wote ni waslam na waesrael wengi sio Wakristo kumbuka hilo.Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Jirani zake ni Misri ambaye amewafungia mipaka ndugu zake katika imani wanaoishi Gaza.Basi jirani zake, au anawatosa jirani zake?
Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Mpaka sasa hivi mnachinja mbuzi au sasa hivi mnapiga kelele za haki za binadamu?Hapo ndipo uliposhindwa kuelewa.
Mpalestina hata akimchubuwa tu myahudi aliyepo palestina sisi tunashangilia na mbuzi tunachinja.
Upo hapo ulipo?
Unajua wanakotoa silaha na pesa hao wapelestina!?..kwa nini blinken anahangaika kutembea arabuni Leo?Nchi za kiislam hazinaga umoja kwenye kuteteana.. Palestina apambane na hali yake.
Wao watamsaidia kusema Allah Akbar tu

Kijana Uislam wewe huuelewi na hapo hakuna hata Muislam mmoja aliyewaaha, wangekuwa wameachwa hao usingeona wamarekani kuingia na manowari za kivita haraka haraka, usingeona wafaransa kuingia na midege ya kivita.Jirani zake ni Misri ambaye amewafungia mipaka ndugu zake katika imani wanaoishi Gaza.
Ule msemo wenu wa "muislam ndugu yake muislam" ni wa kinafiki sana.
Hamna nchi hata moja ya kiislam imejitokeza kuwa tayari kuwapokea watu wa gaza. Sio Iran, Turkey wala Saudi Arabia.
Mmewaacha wanapambana na hali zao wenyewe masikini.
Si ndugu zao wa kiiimaniHakuna anayewataka Westbank