Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Ni kwa ajjili ya Hamas.Ndio wanataka waimalize Hamas na hao akina Erdogan wasiinilie kati.
 
Hivi hii vita ni ya kidini?
 
Huo nao ni ushauri wa kijinga.Yaani unataka watu wasiungane kumtetea mwenzao.Maana yake unataka Wapalestina wamalizwe .Ndio hicho hicho anachofanya Blinken kumuunga mkono Israel auwe wapalestina halafu anaenda kuwalaza wanaoweza kuwa watetezi wa Palestina.
Upande mwengine wakristo kama wanajielewa basi walitakiwa wote wawe upande wa waislamu na wapalestina
 
We mwenyewe huna solution umebaki kupiga piga kelele,sasa wao nao watoe wapi solution kama kati yenu tu hampendani,shia na suni ni paka na panya.
Mimi kwani ni nani.Kama ningekuwa ndio Jordan na Egypt kwanza nampelekea salamu Blinken wala asikanyage hapa kwetu kabla hajataja suluhu ya Palestina na hajaonesha huruma kwa wanachi wa Gaza.Baada ya hapo namtishia akiniudhi navunja mkataba wa amani wa kinafiki na nafungua mpaka.Angeufyata
 
Sure, waarabu wenyewe kwenye nchi zao hawana uhuru,wanawezaje kuanza kufikiria Uhuru WA wengine
 

Uwezo huo unadhani anao,viongozi wengi wa arabia hawana tofauti na viongozi wa afrika wengi ni puppets wa nchi za magharibi.
 
7th Oct 2023 ilikua ni siku ya pongez makamanda jasiri wa hamas kwa kuteketeza mamia ya askari na raia wake waume watoto kwa wazee huku wakichukua mateka mpaka watoto wa miaka miwili wa kizayuni ,walipongezwa na ulimwengu wote wa kiarabu na kiislamu sasa wanaokufa ni wao hamasi na waliowaweka madarakani pamoja na wasiowapenda , they should have learned
 
Hapo Hali Tete Sana Mpaka Sasa Jambo Limekuwa Gumu Hilo
 
Gazeti refu ambalo halijibu hoja.

Ni nchi gani ya Kiislam imeisaidia Gaza mpaka leo? Ni Misri, Iran, Uturuki, Syria au Saudi Arabia?

Misri ambaye ni jirani wa kwanza ndio kwanza amefunga mipaka yake kwa sababu hata yeye hataki Jihadists kwenye nchi yake.

Itaje hapa nchi moja tu ya Kiislam iliyowasaidia Gaza/Hamas.
 
Kwani kuna chi zipi za Kiislam?
 
Ile ni vita ya israeli na hamas. Waislamu wanaingiaje hapo?
 
Uarabuni bado Wana ardhi tele ya kutosha wawachukue wapalestina watawanywe kwenye nchi zao ili wasimalize.
Israel anataka kupanua eneo lake ataimaliza gaza
Huyo sasa hivi lazima arudi kwenye mipaka ya kabla ya 1973.
 
Kuishinda Israel ni vigumu!
Walishajaribu katika vita mbali mbali tena wakisaidiwa na Soviet ya zamani kuipiga Israeli, lakini walishindwa! Waliamua kuweka Silaha chini na kutafuta amani na Israel.
Wapalestina wanachotakiwa kufanya ni kukubali kuitambua Israeli na mipaka ya nchi yake kwanza! Waachane na madai ya kuutaka mji mkuu wa Yerusalem uwe mji mkuu wao! Maeneo waliyo nayo ya Ukanda wa Gaza na Ukingo wa mto Jordani yanawatosha!
Zaidi ya hapo hawatafaniliwa.
 
Ukizungumzia Waarabu kusaidia ndugu zao wa Palestina huko Gaza ni sawa. Unapoingiza Uislamu sio sahihi, kwani Palestina ina Waarabu Wakristo na wamekuwepo huko kwa miaka zaidi ya 2000. Wakristo hao ndio walitemewa mate na Wazayuni hivi karibuni kule Yerusalem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…