Uhalisia ni ule unaojitokeza hadharani hata kama wewe unajifanya kipofu ili usiangalie.
Vita vikianza kwa kasi baina ya Israel na Hizbullah sasa ndio mashariki ya kati itachafuka na Israel itafutika na US watafukuzwa.
Elewa kuwa Israel imezingirwa na nchi ambazo zote hazina urafiki nayo hata kama kuna baadhi zimesaini mikataba baina yao.Tofauti na Gaza hizo nchi zina mipaka yake iko wazi kuingiza wanachokitaka kama ni wapiganaji au silaha.
Kumbuka Israel imeshachoshwa sana na kujeruhiwa na wapalestina waliojiunda pamoja chini ya Hamas.
Israel ina upungufu mkubwa wa silaha,kila siku inalilia na wa kuisaidia ikiwa ni Marekani na Uiengereza kila mmoja ana hali mbaya pia baada ya kujiingiza Ukraine kichwa kichwa.
Tumia akili vyema utajua kuwa usalama wa Israel ni kuacha vita haraka.