Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hawakuwatoa kwenye kundi la magaidi sababu US kataka Hezbollah wawachie waisrael warudi kule North.Duniani hawaitambua Hizbollah kama ni terrorist organization,hilo unalitambua wewe kaka na Israel.
Nchi haiendeshwi na uwekezaji tu,kuna vyanzo vingi vya mapato ya kuiendesha nchi.
Serikali ya Lebanon ilishaanguka kama ilivyoanguka ya Syria toka 1958.
Hezbullah wamegoma, ikabidi The Arab League wawasikiliza US, walidhani wakifanya vile watamlainisha Hezbullah awache kuwachapa Israel 😄
Lazima mfahamu The Arab League ni Saud Arabia na Egypt wao ndio balaa hapo, na hao wanafanya US anacho wambia hahaha huo umoja wa kimarekani sio wakiarabu.
Afu Hezbullah toka kaweko kwenye sijui wanaita group la magaidi wamepata nini hao umoja wa nchi za kiarabu. Au ume mdhuru nini Hezbullah.