Cha kushangaza matangazo hayo ya kuuliwa watu na viongozi wa Hizbullah badala kupunguza mashambulizi dhidi ya Israel ndio kila siku yanazidi.So far Hezbollah wameua askari 20 huko kaskazini mwa israeli tangu Oct 7, Israel imeua magaidi ya Hezbollah zaidi ya 500 ikiwa pamoja na viongozi waandamizi Zaidi ya kumi
Usipotoshe taarifa kaka.So far Hezbollah wameua askari 20 huko kaskazini mwa israeli tangu Oct 7, Israel imeua magaidi ya Hezbollah zaidi ya 500 ikiwa pamoja na viongozi waandamizi Zaidi ya kumi
Usipotoshe taarifa kaka.
Hizbollah imepoteza askari wachache sana,hao askari 500+ ni wa IDF.
Juzi wenyewe IDF walikiri kuwa ni ngumu kuwa target Hizbollah kwasababu hawaonekani wapi wanashambulia Yani wanashambulia na kutokea.
Sasa hao askari 500 wafikie kivipi!?
Usisahau kambi ya Galilee kaskazini mwa Israel mwanzoni mwa huu mwaka ililipuliwa yote tena ikiwa na wanajeshi ndani na hakuna kilichosalimika,jiulize wamekufa askari wangapi!??
Ila Israel imekua ikifanya cover up ya taarifa,ila tafuta chombo cha Haretz huwa kinaleta taarifa sahihi.
Kama Kaskazini mwa Israel kumepatikana majeruhi ambao kwasasa ni walemavu wa kudumu wa IDF takriban 5000 je vifo vitakuwa vya kiasi gani!!???
360+ imekua 500+!?3 more Hezbollah members killed in border clashes with Israel β Middle East Monitor
www.middleeastmonitor.com
We endelea kupiga porojo hapa JF huku wenzako wanawahi mabikira 72 wenye macho kama vikombe kwenye pepo ya allah360+ imekua 500+!?
Makala yako ulioleta imekuumbua mwenyewe.
Na Hizbollah huwa wanatangaza vifo wenyewe,ila Israel huwa inabana taarifa.
View attachment 3031134
Nimekuletea makala yako ulivyosema kuwa ni askari 365 sio 500.We endelea kupiga porojo hapa JF huku wenzako wanawahi mabikira 72 wenye macho kama vikombe kwenye pepo ya allah
Ukijumlisha na viongozi waandamizi wanafika 500Nimekuletea makala yako ulivyosema kuwa ni askari 365 sio 500.
500-356=144.Ukijumlisha na viongozi waandamizi wanafika 500
Na huu ni mwanzo tu.Israeli akiamua kuingia mzigoni watauliwa kama magaidi ya Hamas hapo Gaza500-356=144.
Viongozi waliokufa wa Hizbollah hata 10 hawafiki.
Licha ya yote bado Hizbollah ana ari na mori ile ile ya vita.
Sio rahisi hivyo,Hizbollah wapo Lebanon nchi huru sio Gaza occupied territory.Na huu ni mwanzo tu.Israeli akiamua kuingia mzigoni watauliwa kama magaidi ya Hamas hapo Gaza
Lebanon ni failed state ndio maana makundi ya magaidi yamejipenyeza mpaka kuwa na nguvu kuliko serikali.Sio rahisi hivyo,Hizbollah wapo Lebanon nchi huru sio Gaza occupied territory.
πππππππ Hizbollah haitambuliki kama terrorist organization bali inatambulika kama non-state act group ndani ya Lebanon.Lebanon ni failed state ndio maana makundi ya magaidi yamejipenyeza mpaka kuwa na nguvu kuliko serikali.
Hezbollah ndio imeleta umasikini Lebanon.πππππππ Hizbollah haitambuliki kama terrorist organization bali inatambulika kama non-state act group ndani ya Lebanon.
Unayeitambua ni kundi la kigaidi basi ni wewe tu pekee yako mkuu,ila umoja wa mataifa haitambui hilo.
Pasi na hiyo Hizbollah 2006 ardhi ya kusini mwa Lebanon ingekua ishaporwa na Israel.
Una ushahidi na ulisemalo!?Hezbollah ndio imeleta umasikini Lebanon.
Kabla ya haya makundi ya kigaidi kushika hatamu, Beirut ilikua inajulikana kama Paris ya Middle East lakini sasa hivi inanuka umasikini
Una ushahidi na ulisemalo!?
Unaweza ukafanua ulichokileta mezani!?
Mkuu umeleta habari ya 2021,na hivi siyo justification ya kuwa Hizbollah ni chanzo cha umasikini Lebanon.Hezbollah moves into the crosshairs as Lebanon sinks into poverty and despair
As their country sinks deeper into poverty and collapse, many Lebanese are more openly criticizing the powerful Iran-backed Hezbollah militant group.www.latimes.com
Hezbollah wamechangia maana hamna muwekezaji mwenye akili timamu anaweza kuweka mtaji wake kwenye nchi inayoongozwaMkuu umeleta habari ya 2021,na hivi siyo justification ya kuwa Hizbollah ni chanzo cha umasikini Lebanon.
Hii habari inaelezea maandamano ya walebanon 2021 dhidi ya serikali nzima sio tu Hizbollah,kama unakumbuka huu mwaka raia waliandamana hadi katika mabenki waweze ku withdraw pesa zao zote kwa ugumu wa maisha.
Chanzo cha anguko la uchumi Lebanon sio Hizbollah,nakusihi nenda kafuatilie tena maana umeleta habari irrelevant.
View attachment 3031502
Duniani hawaitambua Hizbollah kama ni terrorist organization,hilo unalitambua wewe kaka na Israel.Hezbollah wamechangia maana hamna muwekezaji mwenye akili timamu anaweza kuweka mtaji wake kwenye nchi inayoongozwa
na magaidi.
Wacha kuimba walio uliwa ni zaidi ya 350 na 200,000 wamekimbia huko North na walio umia ni 15, 000So far Hezbollah wameua askari 20 huko kaskazini mwa israeli tangu Oct 7, Israel imeua magaidi ya Hezbollah zaidi ya 500 ikiwa pamoja na viongozi waandamizi Zaidi ya kumi