Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

Yani unavyoandika tu unaonekana hata hapo kenya hujafika embu jitahidi tembea ili utoe hizi aibu nyingine
 
KWA UNAFIKI NATILIA MKAZO HAKUNA ASILI WANAFIKI KAMA WAARABU.
MWARABU KISA MADARAKA NA MALI HASHINDWI KUMUUA MWARABU MWENZAKE.
Ndio maana hata hiyo Ottoman Empire walioshiriki kuivunja waarabu.
Kama waarabu wangekua wako na mshikamano kama waajemi wasingehangaika.
 
Unaropoka sana.
QATAR,KUWAIT,BAHRAIN,SAUDI ARABIA,UAE,JORDAN,OMAN .ZOTE HIZO NCHI ZA KIARABU NA ZA KIISLAM JE UMESIKIA KUNA VITA ZA NDANI AU ZA NJE??
TENA WAMEENDELEA KULIKO TAIFA LAKO LA TANZANIA LENYE LAANA YA VIONGOZI MAFISADI.
 
Hata ukitukana ki
Kejeli na inda zako hazina muda zitakugeukia mwenyewe.
Acha upuuz wewe. Ungekuwa na akili ungewasemea waafrica wenzio wanaouliwa kila siku na waarabu hapo Darfur Sudan. Kazi kuwasemea wapuuz waliotafuta vita wenyewe
 
Oman, Bahrain, UAE, Qatar, Kuwait, Tunisia Algeria...
Hawa wote ni waarabu. Je maelezo yako hapo juu yako sawa?
 
Mila na tamaduni za kiarabu ndizo zilizowafunza wazungu wote.Hilo wazungu wenyewe wanalijua na kulikiri lakini akina wewe mnapayuka tu.
Jee unayo taarifa kuwa kiarabu ndio lugha mama iliyotumika kupeleka elimu Ulaya.Enzi hizo wazungu kwa waarabu ni kama leo waafrika kwa wazungu.
Enzi hizo na wala sio mbali sana ili uonekana mjanja na mstaarabu ilikuwa lazima uvae kama waarabu.Visa vya waarabu kwenye vitabu vyao kama alfu lela ulela vilitikisa sana kote Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…