Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

Tokea lini waarab wana akili? Hawawezi kuwa na akili hata milele na milele, Je sbb unaijua kwanini hawana akili? Na watu wote wanaofuata mila au tamaduni za kiarabu nao hawana akili, fuatilia utaona, nchi zote za kiarabu hakuna demokrasia au haki za binadamu ziko chini sana, na vita karibu nchi zao zote zimeimaliza, wameacha elimu sahihi wanafuata elimu ya dini, hakuna hata nchi moja ya kiarabu iko free au haina vita vya ndani na wananchi wake au toka nje, sbb kubwa ni kukosa akili.
Yani unavyoandika tu unaonekana hata hapo kenya hujafika embu jitahidi tembea ili utoe hizi aibu nyingine
 
Waarabu ni wanafiki sana. Mwaka 1970 mfalme wa Jordan, baba wa huyu mfalme wa Sasa, aliuwa maelfu ya Wapalestina, mauaji yaliyojulikana kama"Black September "kipindi hicho Jordan ilitwa "Palestinian's State"Leo wanajifanya supporter wa Palestinians, kisa Israeli inajilinda🤔
KWA UNAFIKI NATILIA MKAZO HAKUNA ASILI WANAFIKI KAMA WAARABU.
MWARABU KISA MADARAKA NA MALI HASHINDWI KUMUUA MWARABU MWENZAKE.
Ndio maana hata hiyo Ottoman Empire walioshiriki kuivunja waarabu.
Kama waarabu wangekua wako na mshikamano kama waajemi wasingehangaika.
 
Tokea lini waarab wana akili? Hawawezi kuwa na akili hata milele na milele, Je sbb unaijua kwanini hawana akili? Na watu wote wanaofuata mila au tamaduni za kiarabu nao hawana akili, fuatilia utaona, nchi zote za kiarabu hakuna demokrasia au haki za binadamu ziko chini sana, na vita karibu nchi zao zote zimeimaliza, wameacha elimu sahihi wanafuata elimu ya dini, hakuna hata nchi moja ya kiarabu iko free au haina vita vya ndani na wananchi wake au toka nje, sbb kubwa ni kukosa akili.
Unaropoka sana.
QATAR,KUWAIT,BAHRAIN,SAUDI ARABIA,UAE,JORDAN,OMAN .ZOTE HIZO NCHI ZA KIARABU NA ZA KIISLAM JE UMESIKIA KUNA VITA ZA NDANI AU ZA NJE??
TENA WAMEENDELEA KULIKO TAIFA LAKO LA TANZANIA LENYE LAANA YA VIONGOZI MAFISADI.
 
Hata ukitukana ki
Kejeli na inda zako hazina muda zitakugeukia mwenyewe.
Acha upuuz wewe. Ungekuwa na akili ungewasemea waafrica wenzio wanaouliwa kila siku na waarabu hapo Darfur Sudan. Kazi kuwasemea wapuuz waliotafuta vita wenyewe
 
Tokea lini waarab wana akili? Hawawezi kuwa na akili hata milele na milele, Je sbb unaijua kwanini hawana akili? Na watu wote wanaofuata mila au tamaduni za kiarabu nao hawana akili, fuatilia utaona, nchi zote za kiarabu hakuna demokrasia au haki za binadamu ziko chini sana, na vita karibu nchi zao zote zimeimaliza, wameacha elimu sahihi wanafuata elimu ya dini, hakuna hata nchi moja ya kiarabu iko free au haina vita vya ndani na wananchi wake au toka nje, sbb kubwa ni kukosa akili.
Oman, Bahrain, UAE, Qatar, Kuwait, Tunisia Algeria...
Hawa wote ni waarabu. Je maelezo yako hapo juu yako sawa?
 
Tokea lini waarab wana akili? Hawawezi kuwa na akili hata milele na milele, Je sbb unaijua kwanini hawana akili? Na watu wote wanaofuata mila au tamaduni za kiarabu nao hawana akili, fuatilia utaona, nchi zote za kiarabu hakuna demokrasia au haki za binadamu ziko chini sana, na vita karibu nchi zao zote zimeimaliza, wameacha elimu sahihi wanafuata elimu ya dini, hakuna hata nchi moja ya kiarabu iko free au haina vita vya ndani na wananchi wake au toka nje, sbb kubwa ni kukosa akili.
Mila na tamaduni za kiarabu ndizo zilizowafunza wazungu wote.Hilo wazungu wenyewe wanalijua na kulikiri lakini akina wewe mnapayuka tu.
Jee unayo taarifa kuwa kiarabu ndio lugha mama iliyotumika kupeleka elimu Ulaya.Enzi hizo wazungu kwa waarabu ni kama leo waafrika kwa wazungu.
Enzi hizo na wala sio mbali sana ili uonekana mjanja na mstaarabu ilikuwa lazima uvae kama waarabu.Visa vya waarabu kwenye vitabu vyao kama alfu lela ulela vilitikisa sana kote Ulaya.
 
Back
Top Bottom