Unaongea sana halafu pumba unadhani tupo JF kwa ajili ya porojo kama wewe.Toa hoja zako kwa facts sio matusi, hili sio jukwaa la wanawake kuchambana.
Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%
Ni kwamba huna hoja unaishia kudanganya tu bila vyanzo vya ku back up uongo wako.
Sasa ndo ujue Jews are exceptional ndo maana Western hawakuchagua saud Arabia Wala Lebanon kuchunga maslahi yao paleMtazamo wako uko biased ndo maana unajibu chochote. Mtu haombi kuwa jicho la nchi kubwa. Unajibu ili kukidhi mtizamo wako. Naomba niishie hapa
Wewe mwenyewe unasoma mtandaoni huna uhakika inawezekana wewe ndo unapiga porojo kwani hiyo source yako Kama imepika data utajuaje?Unaongea sana halafu pumba unadhani tupo JF kwa ajili ya porojo kama wewe.
How much aid does the US give to Israel?
Israel has received more foreign aid from the US than any other country since WWII.www.google.com
Hahahahhaπ€£π€£π€£π€£Wewe mwenyewe unasoma mtandaoni huna uhakika inawezekana wewe ndo unapiga porojo kwani hiyo source yako Kama imepika data utajuaje?
Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Umewekewa data na facts za>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
UzushiKiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Israel ni sawa na mbeleko Republic ππHizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Of course,Kuna Nchi Zina shida ya Uongozi ila inaonesha watu wake Wana akili mfano Iran,Yemen,Somalia na N.Korea.Iran ina watu wenye akili sana. Ni kama North Korea. Pengine tatizo la hizi nchi ni uongozi?
Huo ni mtazamo wako.Matajiri wa kiislamu
Nimeletaje dini kusema wale wanautajiri wa kifalme ndo kuleta dini
Unasafari ndefu sana kifikra sababu kila kitu au jambo unaliangalia kwa jicho la uislamu kwanza
Nyerere alikua muislam??Waislamu kwanini mnaichukia sana israeli
Waislamu acheni chuki kwa wakristo na taifa la israelNyerere alikua muislam??
Belgium,Spain,Colombia,Cuba,Brazil je hao nao waislam???
Akili kisoda we jamaa
Unasemaje muislamu mwenye chuki na ukristoHuo ni mtazamo wako.
Sikuleta dini toka naanza mjadala.
Ulianza gusia dini wewe kwanza.
Tuache ubishani wa kitoto angali wewe ni mtu mzima.Waislamu acheni chuki kwa wakristo na taifa la israel
Belgium,Spain,Colombia,Cuba,Brazil je hao nao waislam ingali hawampendi muisraeli???Unasemaje muislamu mwenye chuki na ukristo
Baba wa taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere hakuwa akiikubali Israel na alisimama na Palestina je naye ni muislam??Unasemaje muislamu mwenye chuki na ukristo
Sasa kama ana maarifa na akili za kumfikisha hapo ni kwann anapokea misaada ya kiuchumi?Wana chuki hatari yaan wanajifanya kutukuona juhudi, maarifa, akili ya Israel kufikia level ya uchumi waliyonayo wao wamekaza fuvu na kupiga mayowe ohh ni sabab ya misaada ya US
Kwa sababu sisi ni masikini kama hiyo Israel ndo maana tunasaidiwa.bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
Sasa usiye weza kutofautisha kati GDP na mapato ya kiserikali kwa mwaka tukusaidieje? Alafu ulivyo kaza fuvu utadhani labda kuna unacho kijua.wakosoaji wengi ni wavaa vipedo , wanasema Israel inajengwa kwa misaada wakiulizwa wataje misaada wanataja 9B wanaulizwa je hiyo inafikia hata 2% ya 520B wanakimbia mpuuz mwingine anakuja na nyongeza ya 2.2B ambapo bado pamoja na ile 9B haifikii hata 5% ya 520B ila bado wanasisitiA Israel inajengwa kwa misaada , HAWA WATU KAMA SIO UDINI NI NINI SASA ? hawapend lolote zuri linalofanywa na Israel
Hakuna anaye lalamika ww mrokole uchwara bali tulikuwa tuna muelimisha huyo kilaza mwenzio.Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?
Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
Nyerere alitaka mataifa mawiliBaba wa taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere hakuwa akiikubali Israel na alisimama na Palestina je naye ni muislam??
Nijibu hilo swaliππππ
Ukweli yaami unalazimisha kujifarijiHakuna anaye lalamika ww mrokole uchwara bali tulikuwa tuna muelimisha huyo kilaza mwenzio.
Hayo mataifa ya kiislam yanayo pokea misaada ni masikini na ndo maana yanapokea misaada.
Sisi Tz na nchi zote za Africa ni masikini ndo maana tunapokea misaada ,na pia Israel ni masikini na ndio maana ana pokea misaada,ww hata ukitaka pasuka ila ukweli ndo huo na bila saport ya nchi za Magharibi Israel isinge weza kufika hapo ilipo.
Sema sisi huku ni masikini tulio sinzia na akina Israel,Misri, Pakistan nk ni masikini walio changamka.
Hakuna taifa tajiri na linalo jiweza linaishi kwa kutegemea misaada.