Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Toa hoja zako kwa facts sio matusi, hili sio jukwaa la wanawake kuchambana.

Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%
Ni kwamba huna hoja unaishia kudanganya tu bila vyanzo vya ku back up uongo wako.
Unaongea sana halafu pumba unadhani tupo JF kwa ajili ya porojo kama wewe.

 
Mtazamo wako uko biased ndo maana unajibu chochote. Mtu haombi kuwa jicho la nchi kubwa. Unajibu ili kukidhi mtizamo wako. Naomba niishie hapa
Sasa ndo ujue Jews are exceptional ndo maana Western hawakuchagua saud Arabia Wala Lebanon kuchunga maslahi yao pale
 
Wewe mwenyewe unasoma mtandaoni huna uhakika inawezekana wewe ndo unapiga porojo kwani hiyo source yako Kama imepika data utajuaje?
Hahahahha🤣🤣🤣🤣
Unesema hivi….
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Umewekewa data na facts za
Kutosha unakuja na porojo wewe kweli punguani ulivyokuja kwa mbwembe kutaka ushahidi ulikiluwa unategemea nini? Siwezi kuleta😂
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu




Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Israel ni sawa na mbeleko Republic 😂😂

Bila Bwanake USA ingeshakuwa imefutwa hapo kitambo sana.

Ni Taifa maskini wa Kila kitu ila Tajiri wa Mashoga 🤣🤣
 
Iran ina watu wenye akili sana. Ni kama North Korea. Pengine tatizo la hizi nchi ni uongozi?
Of course,Kuna Nchi Zina shida ya Uongozi ila inaonesha watu wake Wana akili mfano Iran,Yemen,Somalia na N.Korea.

Wangetulia kama wenzao Singapore au Japan wangefika mbali ,Sasa hao hawataki kuonewa wanaamini Kwa umaskini wao huo huo watapambana.
 
Matajiri wa kiislamu
Nimeletaje dini kusema wale wanautajiri wa kifalme ndo kuleta dini

Unasafari ndefu sana kifikra sababu kila kitu au jambo unaliangalia kwa jicho la uislamu kwanza
Huo ni mtazamo wako.
Sikuleta dini toka naanza mjadala.
Ulianza gusia dini wewe kwanza.
 
Waislamu acheni chuki kwa wakristo na taifa la israel
Tuache ubishani wa kitoto angali wewe ni mtu mzima.
Nimekuuliza Brazil,Cuba,Colombia,Belgium,Spain je hayo ni mataifa ya kiislamu??
Je hao kutokuwapenda waisraeli nao inawafanya kuwa waislamu??
JIbu swali acha taarabu kaka pia acha utoto.
 
Wana chuki hatari yaan wanajifanya kutukuona juhudi, maarifa, akili ya Israel kufikia level ya uchumi waliyonayo wao wamekaza fuvu na kupiga mayowe ohh ni sabab ya misaada ya US
Sasa kama ana maarifa na akili za kumfikisha hapo ni kwann anapokea misaada ya kiuchumi?
Hiyo misaada kwann asipokee Ujerumani , Uingereza,China, Canada,Japan,S.korea ila wanao pokea misaada ni akina Tz,kenya,burundi, Israel, Pakistan nk? Ni kwa sababu ni masikini sema umasikini una tofautiana na unazidiana?

Mbona Singapore, Malasia, Indonesia ,UAE , Uturuki , Brazil, Argentina wame weza kujiletea maendeleo bila musaada? Hizo ndo nchi unazo takiwa kuzisifu ya kuwa wameendelea kwa akili na maarifa.
 
bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
Kwa sababu sisi ni masikini kama hiyo Israel ndo maana tunasaidiwa.

Hakuna taifa linalo jiweza alafu likategemea asilimia fulani ya bajeti yake itoke kwenye nchi nyingine.

Punguza mihemko ya kipumbavu.
 
wakosoaji wengi ni wavaa vipedo , wanasema Israel inajengwa kwa misaada wakiulizwa wataje misaada wanataja 9B wanaulizwa je hiyo inafikia hata 2% ya 520B wanakimbia mpuuz mwingine anakuja na nyongeza ya 2.2B ambapo bado pamoja na ile 9B haifikii hata 5% ya 520B ila bado wanasisitiA Israel inajengwa kwa misaada , HAWA WATU KAMA SIO UDINI NI NINI SASA ? hawapend lolote zuri linalofanywa na Israel
Sasa usiye weza kutofautisha kati GDP na mapato ya kiserikali kwa mwaka tukusaidieje? Alafu ulivyo kaza fuvu utadhani labda kuna unacho kijua.
GDP ya Tz ni $80 bilion kwa hiyo unakata kuniambia Tz inaingiza mapato kama hayo kila mwaka?
GDP ya Tz ni 80$bilion lakini bajeti yake kwa mwaka ni $12 kwa mwaka .

GDP ni thamani ya uchumi wa nchi fulani kwa mwaka na sio mapato ya nchi kila mwaka ebu punguza ukilaza.
Yaani ni kama mtaji na faida ni mapato yanayo kuwa yanakusanywa na serikali.
Israel bajeti yake kwa mwaka ulio pita ilikuwa ni 47$bilion na %35 ya bajeti hiyo ni misaada kutoka nchi za Magharibi.
 
Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?

Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
Hakuna anaye lalamika ww mrokole uchwara bali tulikuwa tuna muelimisha huyo kilaza mwenzio.
Hayo mataifa ya kiislam yanayo pokea misaada ni masikini na ndo maana yanapokea misaada.
Sisi Tz na nchi zote za Africa ni masikini ndo maana tunapokea misaada ,na pia Israel ni masikini na ndio maana ana pokea misaada,ww hata ukitaka pasuka ila ukweli ndo huo na bila saport ya nchi za Magharibi Israel isinge weza kufika hapo ilipo.

Sema sisi huku ni masikini tulio sinzia na akina Israel,Misri, Pakistan nk ni masikini walio changamka.

Hakuna taifa tajiri na linalo jiweza linaishi kwa kutegemea misaada.
 
Hakuna anaye lalamika ww mrokole uchwara bali tulikuwa tuna muelimisha huyo kilaza mwenzio.
Hayo mataifa ya kiislam yanayo pokea misaada ni masikini na ndo maana yanapokea misaada.
Sisi Tz na nchi zote za Africa ni masikini ndo maana tunapokea misaada ,na pia Israel ni masikini na ndio maana ana pokea misaada,ww hata ukitaka pasuka ila ukweli ndo huo na bila saport ya nchi za Magharibi Israel isinge weza kufika hapo ilipo.

Sema sisi huku ni masikini tulio sinzia na akina Israel,Misri, Pakistan nk ni masikini walio changamka.

Hakuna taifa tajiri na linalo jiweza linaishi kwa kutegemea misaada.
Ukweli yaami unalazimisha kujifariji
Hivi kwanini waislamu mnapenda kulazimisha mambo

Furaha yako ni watu wakussuport israel ni taifa maskini unaakili za kitoto
Israel ni taifa maskini haya waislamu furahini na mchekeleee
 
Back
Top Bottom