Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Waarabu wote hao wa gulf toa nchi zenye vita kama Yemen hawana shida.

Mfano Saudia
-Ukimaliza Chuo unalipwa Sar 2000 ambayo ni kama 1M-1.5M kila mwezi hela ya vocha wakati unasubiria kuajiriwa
-Saudia haina Homeless raia wote wana makazi sasa hivi wana program kila Raia awe na Gari
-Elimu bure mpaka utakapoamua kuacha kusoma
-Afya bure
-wanawake wote ambao Mshahara ni chini ya Sar 8000 (kama milioni 5) wanapewa subsidies mbalimbali kama kulipia day care za kupeleka watoto, hela za usafiri na mambo mengine.
-wakiajiriwa wanalipwa mishahara mikubwa

So vice versa is true waarabu wote wa huo ukanda wanajiweza kasoro Yemen.
Mkuu unasoma habari Al Jazeera au, Nani kakwambia Saudi Arabia hakuna homeless ? hata Japan wapo, embuse Saudi ? labda uniambie ni tatizo dogo ntakuelewa, hata hapa Iringa nilipo karibia watu 98% wana pa kulala japo hali za nyumba zimetofautiana

Hata Tanzania kuna Elimu Bure lakini quality vp, Huko Saudia pia kuna Elimu bure lakini haiwezi kufikia Quality ya Israel.

Israel kwa kuwa wanaipa elimu na skills kipaumbele, suala la ajira sio tatizo sana, wana soko kubwa la ajira hasa kwenye mambo ya science, tech, afya na finance, pia hujitengenezea ajira kibao kwa startups, wengi wanalipwa vizuri
 
Wewe tatizo unaongelea nafsi yako inavyopenda, ndio maana maneno yako yote hayana data unachokisikia kichwani unaongea.

Hakuna Homeless Saudi, ukikuta mtu Saudia hana nyumba huyo ni wa kuja. So sababu Japan kuna Homeless na wewe uforce Saudi wapo ni upopoma huo.

We jamaa kilaza sana, mtu wa Saudi anachagua asome Chuo gani duniani, unataka Ufananishe na kayumba? Wa Saudi wanasoma top university duniani wakitaka popote Pale, Stanford, Havard na kwengineko wamejaa kibao, sasa hivi wana wanasayansi wakubwa wakubwa nchini kwao ambao tafiti zao zinatumika dunia nzima.

Kushindilia msumari Chuo kikubwa kabisa Israel kinaitwa Hebrew university of Jerusalem na kina Rank 251 Duniani (Qs) at same time Chuo kikubwa kabisa Saudia ni King Abdulaziz university kina rank 143 Duniani.
Source

So mkuu usikurupuke na kujiaibisha, uwe siku moja moja hata unagoogle.
 
Hebu uache uongo kusema kwamba wasaudia wamejazana huko Havard, unafkiri havard unaingia kisa mtu ni ndugu wa mflame ? huko wanaoingia ni vichwa sio mtu yoyote, mchujo ni mkali sana .

hii ni tovuti ha havard inaonyesha mataifa yaliyotoa wahitimu wengi zaidi kwa mwaka jana, Kwa bara la asia kuna Israel, South Korea, India, Japan, Singapore na China, hakuna hata nchi moja ya kiarabu.

Havard Alumni

1709853505499.png

Na hapo bado Israel kuna startups kibao kuzidi nchi yoyote uarabuni, kuna startups kibao kwa density kuzidi nchi yoyote duniani.

Hapo bado Israel kuna Sillicon Valley namba mbili duniani
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.

Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana na yenye mafuta,

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Imeandikwa
 
Human capital ni mtaji mkubwa sana.

Wayahudi na Uyahudi una nidhamu kubwa sana ya Maisha na Kutunza mali.

Wayahudi wanaongoza kuishi Maisha ya kujitenga sana, hili linawasaidia sana katika uilea jamii yao na kusaidiana wao kwa wao.

Wayahudi na Dini ya Wayahudi hawaamini Moto, wala Kazimu wala Idea ya Maisha baada ya kifo(Katika agano LA kale, hakuna kabisa mafundisho ya kuchomana moto au ukifa unaenda wapi zaidi ya kaburini na kusubiri Kiyama) hili linawafanya juhudi yao kubwa waiweke hapa Duniani na kutafuta utajiri.

Wayahudi wanafundishwa kila hela uliyonayo sana, haijarishi ni ndogo au kubwa, ni sehemu ya dawa au ada yako, mtoto wako au familia yako, kesho, kwa hiyo lazima tuwe makini na matumizi yetu ya fedha na mali, Angalia matumizi ya fedha ya Waarabu na Wayahudi, kuna nchi hapo middle east Askari wanatumia Lamborghini, Saudia wanajenga mji wa Wima, matumizi ya Waarabu sio ya kuijenga jamii yao bali kufanya show offs
 
Hebu uache uongo kusema kwamba wasaudia wamejazana huko Havard, unafkiri havard unaingia kisa mtu ni ndugu wa mflame ? huko wanaoingia ni vichwa sio mtu yoyote, mchujo ni mkali sana .

hii ni tovuti ha havard inaonyesha mataifa yaliyotoa wahitimu wengi zaidi kwa mwaka jana, Kwa bara la asia kuna Israel, South Korea, India, Japan, Singapore na China, hakuna hata nchi moja ya kiarabu.

Havard Alumni

View attachment 2927654

Na hapo bado Israel kuna startups kibao kuzidi nchi yoyote uarabuni, kuna startups kibao kwa density kuzidi nchi yoyote duniani.

Hapo bado Israel kuna Sillicon Valley namba mbili duniani
Startup huna hela unaanzisha startup upate funds, wa Saudi wana hela wana matatizo yao mengine ila sio funds, wanaweza kununua ready made, ama kuanzisha kampuni directly. Kampuni nyingi za Saudi sio public, usiforce njia aliopitia mmarekani basi dunia nzima nayo ipitie hio hio.

Again Kama nilivyokuambia wa Saudi wana chagua vyuo kuna Graduate around 500 toka Saudi Havard

Pia usikariri, Kuingia Havard uwe kichwa tu Sumaye haja Soma Havard alipomaliza uwaziri mkuu? Take your time kasome minimum requirements zao, Kuna na academic qualifications na kuna wanaolipa full tuition fee na Act za kawaida tu.

Total kuna wasaudia 200,000 ambao wanasoma vyuo vya nje
 
Israel hata Top 10 kupokea wageni haipo🤣🤣🤣..Dogo yupo huko nchi hamna hata gorofa za kulingishia wadau ....Haina maajabu kifupi watu wanashinda na makoti kutwa
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.

Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana na yenye mafuta,

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Haya mahaba haya.....!!!! Umesema nchi za kiarabu zinashindwaje kuifikia Israel, halafu data ulizo weka tayari inaonyesha anazidiwa na Saudi Arabia (x 1.6 ). Sasa sijui hoja yako ni nini hasa?.

Kifupi hatuwezi kuwa sawa kwa kila Jambo, nami nikuulize:
1 Kwanini uchumi wa ujerumani Ni mkubwa kuliko nchi zingine za ulaya?
2. Nchi za ulaya zinashindwaje kuizidi Japani?.
3. Nchi ya Tanzania inashindwaje kuizidi Kenya?
 
Comment hii imekudhihirisha jinsi gani ulivyo kilaza wa kutupwa kiasi cha kushinda kutofautisha kati ya raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.
Kwa hiyo ww ukiona myahudi basi ni Muisrael?
Hijui kuwa Wayahudi ambao ni raia wa Israel ni %30 tu ya wayahudi wote duniani?,hata ukienda Iran,Misri hata Morocco unawakuta?
Hao wayahudi unao wasema eti wana fanya kazi kwenye makampuni ya kimarekani ni wamarekani na sio waisrael.
Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa asilimia kubwa ya wafanya kazi kwenye hayo makampuni makubwa uliyo yataja hapo ,ni Waajemi,wahindi, wajerumani ,na waasia ya mbili wayahudi ni wachache sana kwenye hayo makampuni.
Sasa wayahudi hata million 40 hawafiki dunia sasa unafanisha na wahindi ambao karibia billion 2
 
OK hapa Ushaonesha swali lako halisi kule juu ulikua unakanyaga kanyaga tu.

Kujibu swali lako waarabu sio inferior kwa wayahudi linapokuja suala la utajiri.

Hapo Usa waarabu na Wairan kwenye sensa wanatambulika tu kama watu weupe, utasikia tajiri myahudi, tajiri mhindi ila kamwe hutasikia Arab Billionaire Usa,

Mfano Mzuri ni Steve Job, mpaka mtu akuambie uanze kuchimba chimbua ndio utajua kwamba alikua Mwarabu.

Mifano Michache nakupa, kinchi kidogo kama Lebanon kina Mabilionea zaidi ya 30 View attachment 2927244
Mfano hapo mtu kakwambia kuna Billionaire anaitwa Tom Gore Switzerland ama Marekani kuna Billionaire anaitwa Richard Rainwater, huwezi kamwe kutambua huyo ni mwarabu hadi uwe informed kama hivi.

Bado waarabu wengine ambao wapo Royal family ambao hawahesabiwi kwenye hizi tafiti za Utajiri, mfano wa Familia za Kiarabu za Kifalme
-Saudi Royal family utajiri 1.4 Trilioni Usd
-Qatar Royal Family utajiri 335 Billion usd
-Kuwait Royal family utajiri 350 Billion usd
-Hapo Uae kuna Emirate kama 7 Abu dhabi, Dubai, etc na kila moja ukigusa ni 100-150B usd net worth.

According to Forbes Mabilionea wote wa Ki jews karibia 165 thamani yao kwa jumla ni usd 812 Billion. Source

So Royal Family Moja tu ya Saudia ina Hela kuliko Mabilionea wote wa jews Duniani je unajiskiaje ukipewa data kama hizi?
Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
 
Hapo huoni israel ni ya kwanza kwa middle east
Mbona tunabisha kwa mambo ambayo yapo wazi
Aisee!
Kaka embu fuatilia vizuri post.
Jamaa kasema ISRAEL INAONGOZA DUNIANI KWA START UPS.
NIKAMLETEA TAKWIMU ZA KIDUNIA.
Hapo umenielewa?
 
Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
Hapa tunatizama asili sio dini.
Kama ukitaka kutizama dini Kuwait na Oman kuna matajiri wakiislam wametulia pamoja na Saudi Arabia hawana neno.
 
Hapa tunatizama asili sio dini.
Kama ukitaka kutizama dini Kuwait na Oman kuna matajiri wakiislam wametulia pamoja na Saudi Arabia hawana neno.
Utajiri wa familia za kifalme kweli unaufananisha na ule wa ku-hustle ebu tuweni serious
 
Utajiri wa familia za kifalme kweli unaufananisha na ule wa ku-hustle ebu tuweni serious
Uarabuni nani kakuambia watu wana hustle kama wewe kaka??
Uarabuni watu wanagawana mema ya nchi kumkuta maskini uarabuni au mlala nje ufanye kazi uache kazi.
 
Uarabuni nani kakuambia watu wana hustle kama wewe kaka??
Uarabuni watu wanagawana mema ya nchi kumkuta maskini uarabuni au mlala nje ufanye kazi uache kazi.
Ndo maana huwezi fananisha huo utajiri wa kujichukulia tu wakuletewa mezani na mtu anaye hustle
 
Ndo maana huwezi fananisha huo utajiri wa kujichukulia tu wakuletewa mezani na mtu anaye hustle
🤣🤣🤣 Kaka kila mtu ana namna yake ya kufanikiwa.
USA na Israel mbona hawakugawana mezani kama waliona nao ni rahisi??
 
Back
Top Bottom