Wewe tatizo unaongelea nafsi yako inavyopenda, ndio maana maneno yako yote hayana data unachokisikia kichwani unaongea.
Hakuna Homeless Saudi, ukikuta mtu Saudia hana nyumba huyo ni wa kuja. So sababu Japan kuna Homeless na wewe uforce Saudi wapo ni upopoma huo.
We jamaa kilaza sana, mtu wa Saudi anachagua asome Chuo gani duniani, unataka Ufananishe na kayumba? Wa Saudi wanasoma top university duniani wakitaka popote Pale, Stanford, Havard na kwengineko wamejaa kibao, sasa hivi wana wanasayansi wakubwa wakubwa nchini kwao ambao tafiti zao zinatumika dunia nzima.
Kushindilia msumari Chuo kikubwa kabisa Israel kinaitwa Hebrew university of Jerusalem na kina Rank 251 Duniani (Qs) at same time Chuo kikubwa kabisa Saudia ni King Abdulaziz university kina rank 143 Duniani.
Source
Explore QS World University Rankings® 2025 of 1503 institutions based on 8 key ranking indicators- academics, faculty/student ratio, international student & more.
www.topuniversities.com
So mkuu usikurupuke na kujiaibisha, uwe siku moja moja hata unagoogle.