Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Suala sio Marekani kuzisaidia nchi mbali mbali ,hoja ni Israel kama ana jiweza ni kwann anapewa misaada? hiyo ndo hoja.
Hakuna taifa linalo jiweza alafu lika tegemea misaada kufanya mambo yake.

South Korea ni mshirika mkubwa wa Marekani lakini hapokei msaada wowote kutoka Marekani ,bali yeye ndo ana mlipa Marekani ili kumlinda dhidi ya N.Korea.
Waislamu kwanini mnaichukia sana israeli
 
Nishakuambia tatizo lako unakariri sababu umeona Usa kuna Startup unafikiri moja kwa moja ndio key ya mafanikio.

Mfano mzuri angalia tu Hapa Tanzania, watu wanatajirika sababu ya startup? Startup nyingi ni wizi tu watu wanabuni uongo na kweli kupiga hela na Ngos,. Watu wanapiga

Kila nchi ina shida zake na kila Nchi imefuata approach zake kuuaga UMASIKINI na kuendelea.

Utofauti wa Saudia na wewe ni kwamba wewe unaona kuendelea ni kuiga Usa na Saudi kwao kuendelea ni kuangalia matatizo yao na kuyatatua.

Ili kununua Twitter ilibidi Musk akusanye hela kwa hao wasaudi kina Prince al Waleed ilibidi washirikishwe, Wasaudi wanamiliki part of Facebook, Disney, Bank of America, Citi group, wapo uingereza huko part kubwa ya Majengo London ni yao, WANAMILIKI club kama Newcastle etc utawakuta china na makampuni ya china wamewekewa. Kifupi kila ilipo hela na wao wamewekeza.

Wanaenda kusomesha watoto wao ili waje kuendeleza Mali ambayo wanayo tayari nyumbani na sio Kusomesha watoto wap wahangaike na vi fund vya online, hio ndio approach yao na ndio imefanya watoboe.

Nahisi huna elimu juu ya startups, Facebook iliwahi kuwa startup, google iliwahi kuwa startup, youtue iliwahi kuwa startup, leo hii hizi startups zimekuwa makampuni yenye thamani ya mabilioni ya dola.

Hao wasaudia nimeshakwambia hao unaowaonaga kwenye tv walio matajiri ni wachache waliotokea familia za kifalme, pato la rasilimali za nchi wanachota zaidi waona kujijali wao tu, ndio maana hata huko Gaza kuna njaa lakini nchi za kiarabu hawatoi misaada, Gaza inabidi isubiri misaada ya umoja wa mataifa, nchi za ulaya na Marekani, hapo majuzi tu Marekani imetoa msaada wa dola bilioni 9 kwa Gaza, hao waarabu unaowasema ni matajiri walitoa kiasi gani kwa ndugu zao?
 
Suala sio Marekani kuzisaidia nchi mbali mbali ,hoja ni Israel kama ana jiweza ni kwann anapewa misaada? hiyo ndo hoja.
Hakuna taifa linalo jiweza alafu lika tegemea misaada kufanya mambo yake.

South Korea ni mshirika mkubwa wa Marekani lakini hapokei msaada wowote kutoka Marekani ,bali yeye ndo ana mlipa Marekani ili kumlinda dhidi ya N.Korea.
Tatizo huwa hufatilii habari za kimataifa, kupewa msaada sio kwamba mtu hajiwezi, ni kuonysha mshikamano wakati wa shida kama ilivyo kwa Israel ambayo imezungukwa na maadui

hata Marekani ikipata shida ya vimbunga huwa kuna nchi kibao zinapeleka misaada.

mfano mdogo tu kile kimbunga cha 2005 nchi nyingi sana ziliichangia marekani

Saudi arabia hawaruhusu kanisa hata moja, ni kosa la jinai kwa mwanchi wa dubai au qatar kubadilisha dini

Mateso ya wakristo middle east wakulaumiwa ni waislamu
Saudia ni Exception, Atleast kwa mecca na Madina, ni Holy land ya waisilamu kama vile ambavyo sisi waisilamu hatulilii kufanya Vatican iwe nchi ya kiisilamu.

Hizo nchi nyengine si kweli, UAE wakristo ni asilimia 9-12 na wapo huru, mpaka Nchi zenu mnazoziabudu zinasifia Uae kuhusu uhuru wa dini, kubadili dini kupo discouraged ila ukibadili dini hakuna atakaekufanya kitu unless ufanye politics na huko kubadili dini kwako, UAE sensor yao inaonesha kuna waisilamu 200 ambao wamebadili dini na kuwa wakristo.

Report ya Usa kuhusu uhuru wa Kuabudu UAE, kabishane na Usa hawajui wewe unajua

Na hii report ya Usa kuhusu Qatar
 
Nahisi huna elimu juu ya startups, Facebook iliwahi kuwa startup, google iliwahi kuwa startup, youtue iliwahi kuwa startup, leo hii hizi startups zimekuwa makampuni yenye thamani ya mabilioni ya dola.

Hao wasaudia nimeshakwambia hao unaowaonaga kwenye tv walio matajiri ni wachache waliotokea familia za kifalme, pato la rasilimali za nchi wanachota zaidi waona kujijali wao tu, ndio maana hata huko Gaza kuna njaa lakini nchi za kiarabu hawatoi misaada, Gaza inabidi isubiri misaada ya umoja wa mataifa, nchi za ulaya na Marekani, hapo majuzi tu Marekani imetoa msaada wa dola bilioni 9 kwa Gaza, hao waarabu unaowasema ni matajiri walitoa kiasi gani kwa ndugu zao?
Sasa wenyewe wa Saudi hawana shida na kuanzisha Facebook ama Twitter ila wana shida ya kununua kitu ready made. Ndio maana nakwambia unakariri.

nishakuambia Saudi Elimu bure, Afya bure, hawana Homeless, watu wote walio na vipato vya chini serikali inafanya subsidize kwa ajili ya gharama za Maisha, hakuna msaudi anaetaabika na maisha, ila mwenzangu yana ingia sikio hili yanatoka sikio la kule unang'ang'ana na mambo yasiyo na Ushahidi, hebu tuwekee hapa wa Saudi wanahangaika sababu viongozi wao wanatumbua Mali.

Na Gaza ina shida sababu imefungiwa pande zote, sio kwamba ina shida sababu nchi nyengine zimekataa kusaidia. Wapalestina wenyewe wapo South America wana hela vibaya mno, ukienda Chile huko, Brazil, Argentina wamejaa kibao, bara zima la south America lina waarabu milioni 17 wa huo ukanda.

Hata Huyu Raisi Wa SASA Wa El Salvador anayesifika dunia nzima kukomesha ujambazi na magenge ya dawa za Kulevya Ni mpalestina.

Palestina yenyewe ilivyo gdp per capita ni $3600 ambayo ni mara 3 ya Tanzania na imepita nchi kibao mpaka India, Pakistan, Kenya, Nigeria etc.

Tatizo lao haijawahi kuwa hela na misaada, tatizo lao ni wamefungiwa, hawaruhusiwi kutumia mpaka yao, hawaruhusiwi kutoka ama kuingia nchi yao etc. Ndio maana unaona wanashushiwa misaada kwa parachute.

Anyway comment ya mwisho Endelea kudangya wenzio utoto wako.
 
kitu ready made kama facebook, whatsapp, instagram mmilliki ni Mark Zuckbereg mwenye asili ya kiyahudi sio waarabu, hata stock holders wengi ni wazungu, wahindi na wayahudi.

kitu ready made kama twitter mmiliki ni Elon Musk sio waarabu

Ni kweli huyo rais wa El Salvador babu zake ndio walikuwa wapalestina wakristo, yeye sidhani hata kama kawahi kwenda hata huko palestina ?
 
Nahisi huna elimu juu ya startups, Facebook iliwahi kuwa startup, google iliwahi kuwa startup, youtue iliwahi kuwa startup, leo hii hizi startups zimekuwa makampuni yenye thamani ya mabilioni ya dola.

Hao wasaudia nimeshakwambia hao unaowaonaga kwenye tv walio matajiri ni wachache waliotokea familia za kifalme, pato la rasilimali za nchi wanachota zaidi waona kujijali wao tu, ndio maana hata huko Gaza kuna njaa lakini nchi za kiarabu hawatoi misaada, Gaza inabidi isubiri misaada ya umoja wa mataifa, nchi za ulaya na Marekani, hapo majuzi tu Marekani imetoa msaada wa dola bilioni 9 kwa Gaza, hao waarabu unaowasema ni matajiri walitoa kiasi gani kwa ndugu zao?
Start ups zinataka miakili mikubwa mkuu, na huwa kuna fierce competitions mpaka start ups itoboe sio masikhara mkuu sasa kwenye nchi za kiarabu hawako na hizo akili shindani kupindukia za kuweza kuja na high super tech za kurun dunia. Hizo akili wanazo wayahudi, wajapani, wahindi, wachina. Waarabu wao ni watumiaji wa hela za mafuta na gesi. Kuna waarab kibao wa dubai wanaitisha totoz kutoka sehemu mbalimbali dunian na kustarehe nazo. Sasa kwa akili hizi kuwataka wawe na start ups za kuweza kuwafikia Israel ni kuwaonea mkuu!!! wao waachwe waspend.
wayahudi walio wengi constantly akili zao zipo sharp kuwaza namna ya kuwa vinara wa dunia kwenye uchumi, high tech na ni through kutatua matatizo ya dunia. No wonder list ya matajiri wa dunia tokea kuumbwa kwa dunia wamejaa jews, hivi akili kama ya Mark Zuckerburg (Meta) , Larry Ellison (wa Oracle), Larry Page (Google), Sergey Brin (Google) Stive Ballimer (Microsoft) Michael Bloomberg (Bloomberg), Michael Dell (Dell Technologies), hizi akili unaweza zipata kwa waarab gani? watu husema oooh wairan wana akili sana mbona hatuwasikii huko US na wao wakichuana na Jews kwenye high super tech na by the way sio kwamba wamezuia kuingia US au Europe.
 
Start ups zinataka miakili mikubwa mkuu, na huwa kuna fierce competitions mpaka start ups itoboe sio masikhara mkuu sasa kwenye nchi za kiarabu hawako na hizo akili shindani kupindukia za kuweza kuja na high super tech za kurun dunia. Hizo akili wanazo wayahudi, wajapani, wahindi, wachina. Waarabu wao ni watumiaji wa hela za mafuta na gesi, ndo maana kuna yule mwarabu wa brunei huwaita porn stars wa US na kuwalipa hela nono na kula starehe. Kuna waarab kibao wa dubai wanaitisha totoz kutoka sehemu mbalimbali dunian na kustarehe nazo. Sasa kwa akili hizi kuwataka wawe na start ups za kuweza kuwafikia Israel ni kuwaonea mkuu!!! wao waachwe waspend.
wayahudi walio wengi constantly akili zao zipo sharp kuwaza namna ya kuwa vinara wa dunia kwenye uchumi, high tech na ni through kutatua matatizo ya dunia. No wonder list ya matajiri wa dunia tokea kuumbwa kwa dunia wamejaa jews, hivi akili kama ya Mark Zuckerburg (Meta) , Larry Ellison (wa Oracle), Larry Page (Google), Sergey Brin (Google) Stive Ballimer (Microsoft) Michael Bloomberg (Bloomberg), Michael Dell (Dell Technologies), hizi akili unaweza zipata kwa waarab gani? watu husema oooh wairan wana akili sana mbona hatuwasikii huko US na wao wakichuana na Jews kwenye high super tech na by the way sio kwamba wamezuia kuingia US au Europe.
Kumbe siku hizi Brunei nao ni waarabu?😃😃😃😃😃😃
 
kitu ready made kama facebook, whatsapp, instagram mmilliki ni Mark Zuckbereg mwenye asili ya kiyahudi sio waarabu, hata stock holders wengi ni wazungu, wahindi na wayahudi.

kitu ready made kama twitter mmiliki ni Elon Musk sio waarabu

Ni kweli huyo rais wa El Salvador babu zake ndio walikuwa wapalestina wakristo, yeye sidhani hata kama kawahi kwenda hata huko palestina ?
Ndiyo maana ya ile ahadi aliambiwa Ibrahimu na Mungu kuwa uzao wake utabarikiwa, jews noumer pata picha zile pyramid zenye wamejenga jews pindi wako utumwani Misri, na ile ni alama ya makusudi ili kumaliza ubishi kuwa Mungu aliyewaita ndiye Mungu mkuu na kuwa walikuwa utumwani Misri lakini Mungu aliwatoa kwa namna ya kipekee sana.

Pata picha akili za myahudi mmoja anaitwa Yusufu mtoto wa Yakobo, wakati dunia nzima ikiwa inaelekea kwenye baa la njaa na haijui ifanye nini ndipo Mungu anamleta myahudi huyu kwa Farao na Farao anapewa ushauri wa nini cha kufanya mpaka Farao akasema Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake, na Farao alisema pia akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Akili za Yusufu ndiyo zilikuwa chimbuko la pension funds/banks/financial systems duniani.
Hivyo wayahudi kutatua matatizo ya dunia kupitia akili zisizo za kawaida hawakuanza leo kwa hiyo Watu wanapomuona Mark, Zuckerberg au Dell na wayahudi wengine wasishangae maana zamani hizo kulikuwa na Yusufu na aliisaidia dunia ya wakati huo suluhu ya kupambana na njaa. Ndiyo maana Misri kiherehere cha kupambana na myahudi hana maana anawajua ni watu wa namna gani.

Kwa hiyo wayahudi kwenye issue za start ups kwao sio issue maana akili wanazo na fedha wanazo.
 
Wewe tatizo unaongelea nafsi yako inavyopenda, ndio maana maneno yako yote hayana data unachokisikia kichwani unaongea.

Hakuna Homeless Saudi, ukikuta mtu Saudia hana nyumba huyo ni wa kuja. So sababu Japan kuna Homeless na wewe uforce Saudi wapo ni upopoma huo.

We jamaa kilaza sana, mtu wa Saudi anachagua asome Chuo gani duniani, unataka Ufananishe na kayumba? Wa Saudi wanasoma top university duniani wakitaka popote Pale, Stanford, Havard na kwengineko wamejaa kibao, sasa hivi wana wanasayansi wakubwa wakubwa nchini kwao ambao tafiti zao zinatumika dunia nzima.

Kushindilia msumari Chuo kikubwa kabisa Israel kinaitwa Hebrew university of Jerusalem na kina Rank 251 Duniani (Qs) at same time Chuo kikubwa kabisa Saudia ni King Abdulaziz university kina rank 143 Duniani.
Source

So mkuu usikurupuke na kujiaibisha, uwe siku moja moja hata unagoogle.
Baba mwajuma usimuite mwenzio kilaza Ana point huyo.
Haya tuseme quality ya education ya Saudi Arabia ni kubwa kuliko Israel mbona kwenye tech. Myahudi anamzidi Saudi Arabia kila kitu? Maana ananunua machumachuma ya kujilinda Us lakini Israel Ana iron dome ambayo ni tech ya nyumbani japo ndiyo Kuna siraha zinatoka USA
Tukipima nguvu ya elimu kwenye uvumbuzi vp saud anatia mguu kwa Jews?
 
Msaudia atie mguu kielimu kiuvumbuzi kwa myahudi? thubutuuuu
 
Ndo namwambia huyo jamaa anamuita mwenziye kilaza .Tatizo Hawa jamaa wakishashiba biryani wanahamishia ndoto kwenye uhalisia
 
Baba mwajuma usimuite mwenzio kilaza Ana point huyo.
Haya tuseme quality ya education ya Saudi Arabia ni kubwa kuliko Israel mbona kwenye tech. Myahudi anamzidi Saudi Arabia kila kitu? Maana ananunua machumachuma ya kujilinda Us lakini Israel Ana iron dome ambayo ni tech ya nyumbani japo ndiyo Kuna siraha zinatoka USA
Tukipima nguvu ya elimu kwenye uvumbuzi vp saud anatia mguu kwa Jews?
Mkuu mataifa ya Kiarabu kama yalivyo ya ki Africa yameathirika na ukoloni miaka Mia kadhaa iliopita, of course Saudi alichelewa na hana iron dome, ila Saudi na mataifa mengi ya Asia miaka 60 iliopita yamepiga hatua kubwa kuliko ya Ulaya na yapo on process kupitia mataifa mengi ya Ulaya.

Na iron dome ni ya Israel jina tu, pesa na tech nyingi zinatoka USA,

Mwaka 2022 pekee Usa kapekeka 1B usd kwa ajili ya Iron dome tu.

Na mtoa mada ameongelea pesa, uzi wote huu unaongelea pesa, wayahudi wana akili na wana pesa kushinda waarabu. ni katoa link mabilionea wooote Dunia nzima wa kiyahudi ukiwajumlisha pamoja thamani yao dola za Kimarekani kama 800 billion, data za Forbes, si hela ndogo, ila uki compare na familia moja tu Saudia wana 1.4 trillion usd. So hata havifananishiki.
 
Hapa umepiga kwenye mshono mkuu🙌
baba-mwajuma Kosugi nadhani huu uzi umewafunza vingi sana mlivyokuwa hamvifihamu Tumefunzana hatujajifunza pekeetu hata yeye kuna aliyojifunza.
Pia huyo jamaa kakosea.
Kwanza anatakiwa ajue sababu ya USA kuisaidia Palestina ni geopolitical motivated pili Qatar ndio inaongoza kuisaidia Palestina.
 
wakati huu wa vita Marekani ilitoa pesa kwa Ukraine, Israel, Palestina na Taiwan, Marekani ilipitisha fungu la dola bilioni 60 kwa Ukraine, bilioni 14, bilioni 9 kwa Palestina na bilioni 5 kwa Taiwan, huo msaada Pakestina waliuchukua kwa moyo wote, Marekani inawasaidia zaidi kuzidi hao waarabu mnaowasifia ni matajiri.Marekani kuisadia Palestina ni geopolitical motivated.Pia nchi INAYOONGOZA KUISAIDIA PALESTINA UNCONDITIONALLY AND SIMULTANEOUSLY NI QATAR MKUU.

Pia huyo jamaa kakosea.
Kwanza anatakiwa ajue sababu ya USA kuisaidia Palestina ni geopolitical motivated pili Qatar ndio inaongoza kuisaidia Palestina.
Yes sure,mijadala kama hii ni mhimu pande zote zinajifunza.
Mfano nilichokipata kwenye huu uzi kuwa licha ya wapalestine kukanyaga na kuchoma bendera za marekani pale Westbank kumbe wamepokea US 9 billion? Imenishangaza sana.
Tujifunze
 
Mbona toka kipindi cha Yasser Arafat 1950s Palestina inapokea fedha kutoka USA?!
Ila hizo pesa zina mlengwa wa kisiasa mkuu sio tu bure bure.
Kipindi Yasser Arafat akiiongoza PLO kuna masharti alipewa mkuu na USA na wamagharibi ili Palestina inufaike.
 
Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
 
Back
Top Bottom