Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Mkuu unasoma habari Al Jazeera au, Nani kakwambia Saudi Arabia hakuna homeless ? hata Japan wapo, embuse Saudi ? labda uniambie ni tatizo dogo ntakuelewa, hata hapa Iringa nilipo karibia watu 98% wana pa kulala japo hali za nyumba zimetofautiana

Hata Tanzania kuna Elimu Bure lakini quality vp, Huko Saudia pia kuna Elimu bure lakini haiwezi kufikia Quality ya Israel.

Israel kwa kuwa wanaipa elimu na skills kipaumbele, suala la ajira sio tatizo sana, wana soko kubwa la ajira hasa kwenye mambo ya science, tech, afya na finance, pia hujitengenezea ajira kibao kwa startups, wengi wanalipwa vizuri
 
Wewe tatizo unaongelea nafsi yako inavyopenda, ndio maana maneno yako yote hayana data unachokisikia kichwani unaongea.

Hakuna Homeless Saudi, ukikuta mtu Saudia hana nyumba huyo ni wa kuja. So sababu Japan kuna Homeless na wewe uforce Saudi wapo ni upopoma huo.

We jamaa kilaza sana, mtu wa Saudi anachagua asome Chuo gani duniani, unataka Ufananishe na kayumba? Wa Saudi wanasoma top university duniani wakitaka popote Pale, Stanford, Havard na kwengineko wamejaa kibao, sasa hivi wana wanasayansi wakubwa wakubwa nchini kwao ambao tafiti zao zinatumika dunia nzima.

Kushindilia msumari Chuo kikubwa kabisa Israel kinaitwa Hebrew university of Jerusalem na kina Rank 251 Duniani (Qs) at same time Chuo kikubwa kabisa Saudia ni King Abdulaziz university kina rank 143 Duniani.
Source

So mkuu usikurupuke na kujiaibisha, uwe siku moja moja hata unagoogle.
 


Hebu uache uongo kusema kwamba wasaudia wamejazana huko Havard, unafkiri havard unaingia kisa mtu ni ndugu wa mflame ? huko wanaoingia ni vichwa sio mtu yoyote, mchujo ni mkali sana .

hii ni tovuti ha havard inaonyesha mataifa yaliyotoa wahitimu wengi zaidi kwa mwaka jana, Kwa bara la asia kuna Israel, South Korea, India, Japan, Singapore na China, hakuna hata nchi moja ya kiarabu.

Havard Alumni



Na hapo bado Israel kuna startups kibao kuzidi nchi yoyote uarabuni, kuna startups kibao kwa density kuzidi nchi yoyote duniani.

Hapo bado Israel kuna Sillicon Valley namba mbili duniani
 
Imeandikwa
 
Human capital ni mtaji mkubwa sana.

Wayahudi na Uyahudi una nidhamu kubwa sana ya Maisha na Kutunza mali.

Wayahudi wanaongoza kuishi Maisha ya kujitenga sana, hili linawasaidia sana katika uilea jamii yao na kusaidiana wao kwa wao.

Wayahudi na Dini ya Wayahudi hawaamini Moto, wala Kazimu wala Idea ya Maisha baada ya kifo(Katika agano LA kale, hakuna kabisa mafundisho ya kuchomana moto au ukifa unaenda wapi zaidi ya kaburini na kusubiri Kiyama) hili linawafanya juhudi yao kubwa waiweke hapa Duniani na kutafuta utajiri.

Wayahudi wanafundishwa kila hela uliyonayo sana, haijarishi ni ndogo au kubwa, ni sehemu ya dawa au ada yako, mtoto wako au familia yako, kesho, kwa hiyo lazima tuwe makini na matumizi yetu ya fedha na mali, Angalia matumizi ya fedha ya Waarabu na Wayahudi, kuna nchi hapo middle east Askari wanatumia Lamborghini, Saudia wanajenga mji wa Wima, matumizi ya Waarabu sio ya kuijenga jamii yao bali kufanya show offs
 
Startup huna hela unaanzisha startup upate funds, wa Saudi wana hela wana matatizo yao mengine ila sio funds, wanaweza kununua ready made, ama kuanzisha kampuni directly. Kampuni nyingi za Saudi sio public, usiforce njia aliopitia mmarekani basi dunia nzima nayo ipitie hio hio.

Again Kama nilivyokuambia wa Saudi wana chagua vyuo kuna Graduate around 500 toka Saudi Havard

Pia usikariri, Kuingia Havard uwe kichwa tu Sumaye haja Soma Havard alipomaliza uwaziri mkuu? Take your time kasome minimum requirements zao, Kuna na academic qualifications na kuna wanaolipa full tuition fee na Act za kawaida tu.

Total kuna wasaudia 200,000 ambao wanasoma vyuo vya nje
 
Israel hata Top 10 kupokea wageni haipo🤣🤣🤣..Dogo yupo huko nchi hamna hata gorofa za kulingishia wadau ....Haina maajabu kifupi watu wanashinda na makoti kutwa
 
Haya mahaba haya.....!!!! Umesema nchi za kiarabu zinashindwaje kuifikia Israel, halafu data ulizo weka tayari inaonyesha anazidiwa na Saudi Arabia (x 1.6 ). Sasa sijui hoja yako ni nini hasa?.

Kifupi hatuwezi kuwa sawa kwa kila Jambo, nami nikuulize:
1 Kwanini uchumi wa ujerumani Ni mkubwa kuliko nchi zingine za ulaya?
2. Nchi za ulaya zinashindwaje kuizidi Japani?.
3. Nchi ya Tanzania inashindwaje kuizidi Kenya?
 
Sasa wayahudi hata million 40 hawafiki dunia sasa unafanisha na wahindi ambao karibia billion 2
 
Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
 
Hapo huoni israel ni ya kwanza kwa middle east
Mbona tunabisha kwa mambo ambayo yapo wazi
Aisee!
Kaka embu fuatilia vizuri post.
Jamaa kasema ISRAEL INAONGOZA DUNIANI KWA START UPS.
NIKAMLETEA TAKWIMU ZA KIDUNIA.
Hapo umenielewa?
 
Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
Hapa tunatizama asili sio dini.
Kama ukitaka kutizama dini Kuwait na Oman kuna matajiri wakiislam wametulia pamoja na Saudi Arabia hawana neno.
 
Hapa tunatizama asili sio dini.
Kama ukitaka kutizama dini Kuwait na Oman kuna matajiri wakiislam wametulia pamoja na Saudi Arabia hawana neno.
Utajiri wa familia za kifalme kweli unaufananisha na ule wa ku-hustle ebu tuweni serious
 
Utajiri wa familia za kifalme kweli unaufananisha na ule wa ku-hustle ebu tuweni serious
Uarabuni nani kakuambia watu wana hustle kama wewe kaka??
Uarabuni watu wanagawana mema ya nchi kumkuta maskini uarabuni au mlala nje ufanye kazi uache kazi.
 
Uarabuni nani kakuambia watu wana hustle kama wewe kaka??
Uarabuni watu wanagawana mema ya nchi kumkuta maskini uarabuni au mlala nje ufanye kazi uache kazi.
Ndo maana huwezi fananisha huo utajiri wa kujichukulia tu wakuletewa mezani na mtu anaye hustle
 
Ndo maana huwezi fananisha huo utajiri wa kujichukulia tu wakuletewa mezani na mtu anaye hustle
🤣🤣🤣 Kaka kila mtu ana namna yake ya kufanikiwa.
USA na Israel mbona hawakugawana mezani kama waliona nao ni rahisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…