baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hivi Viungo mkuu tetesi tetesi zilikuwepo siku nyingi ila ushahidi wa uhakika kabisa ukitoka Sweden baada ya Daktari mzungu mwenye asili ya Sweden kushiriki haya mambo alipokua Israel na aliporudi kwao Sweden na kutoa hizi siri.Aiseh hatari sana,unaweza ukatuwekea takwimu kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika juu ya hivi viungo
Habari hii ya 2009 ilirepotiwa na the Guardian
Doctor admits Israeli pathologists harvested organs without consent
Interview in 2000 with former head of Abu Kabir forensic institute reveals pathologists engaged in practice during 1990s
Mwanzo Israel walikataa kama kawaida yao wa kasema ni Anti semitism baadae wakakubali na kumfukuza Director husika kama danganya toto, baadae wakamrudisha.
Hii article imejumuisha source nyingi isome
View: https://medium.com/@ASll0_/debunking-the-worlds-largest-skin-bank-how-israelis-harvest-organs-without-consent-d8415b266a55