Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za kijamaa ni nchi zote za Ulaya Magharibi, Marekani, Canada na Índia. Nchi za kibepari ni nchi za kiarabu karibu zote za Kiislamu kasoro Yemen na Tunísia, Libya na Jamhuri ya Saharawi. Nchi unazo fikiri na unadhani ni za kijamaa ni nchi za kikominist.Hapana. Nchi za kijamaa ni nyingi. Na hizo ulizotaja sio za kijamaa. China, Vietnam, Cuba,tz,ni inchi za kikomunist. Nchi za kijamaa ni USA
Ujamaa ndio mfumo halisi wa mwanadamu, ubepari ulikuja baadae. Unavyoishi na família yako ni kijamaa, unasaifia elimu, afya kwa mke, watoto na jamaa wa karibu.Kati ya idea mbovu kabisa kuwahi kutokea dunian mojawapo ni ujamaa huu.
Ni mfumo fulan hiv wa kidictator tu wakuua watu na kuwafanya watu waishi kimaskini sanaaaaaa refer Tz ya nyerere , North Korea , Cuba
I agree. Basically, unachoongea ndicho naongea ila mimi na wewe tunatofautia kitu kimoja, wewe unaamini katika mtu mimi naamini katika mfumo. Risk ya kuamini mtu ni kuwa mtu huzaliwa, huishi, hufa ila mfumo huisha. Let assume magufuli was a deterministic leader, the question is how can we create/make/breed/form/produce more magufulis?. A strong institutions is the only way. Kuzani labda kuna mtu kama magufuli atakuja mbeleni tena ajenge vyoo ni kujidanganya.Tupo pamoja kabisa.
Haya mambo bwana, siyo always black and white. Kwamba Singapore au South Korea wamefanya hivi na sisi tungefanya vile basi tungekuwa kama Singapore au South Korea. Mfano dhahiri ni pale Afrika Kusini. Wale jamaa ni ubepari wa model ya kiwestern kabisa na wana pia katiba nzuri courtesy ya post-apartheid South Africa but kipi wanachoweza kujivunia kwa sasa? Last I checked treni zao za umeme zimecollapse, SA airways inakufa, gap kati ya maskini na tajiri ni kama mbingu na ardhi, yaani South Africa imebaki kubebwa na miundombinu ya mkaburu tu, vinginevyo South isingekuwa tofauti na Zimbabwe.
At the core ya nchi kuendelea mimi naipa model ya uchumi nchi inayofuata (socialism au capitalism) kwenye nafasi ya pili. Nafasi ya kwanza naipa will power na determination ya viongozi (hapo weka usimamizi, inspiration na mobilization ya watu walio chini yao au wanaowasimamia) kuhakikisha nchi inaendelea. Capitalism + excellent leadership = excellent results. Socialism + excellent leadership = excellent results. Mfano hapo nitakupa nchi hata nisizozipenda lakini zinaonyesha kwamba haijalishi philosophy ya nchi kiuchumi bali determination. Iran. Iran ni nchi, can you imagine wanatengeneza satellites zao, ndege zao za kivita, vaccines zao za corona, n.k. pamoja na vikwazo lukuki wanavyowekewa na marekani? Wanafanya hivyo kwa sababu wale maayatollah wanadetermination ya ajabu kweli kweli ya kuiweka nchi yao kwenye levels za juu pamoja na kile kinachoonekana kwa ulimwengu kwamba ni madikteta. Bila vikwazo Iran ingekuwa first world. Huwezi kusema ni kwa sababu ya mafuta maana Saudi Arabia wana uchumi wa mafuta zaidi lakini Saudia wamebaki tu kuwa matajiri ndondocha.
Tanzania hata bila kubadilisha sana model yake na falsafa yake ya uchumi inaweza kupaa fasta kama tukiwa na viongozi excellent. Ni jana tu tulikuwa na Magufuli (the man wasn't a saint lakini alikuwa na determination ya ajabu katika kufanya mambo yatokee). Ni ajabu sana kuona miaka mitano tu ya determination inavyoweza kuleta matokeo yasiyo ya kawaida. Maombi yangu ni isiwe miaka mitano tu ya determination, bali hii spirit iendelee no matter who is at the helm.
Bottom line: mi siyo anti capitalism ila nawaza kwamba chanzo cha ufukara wetu ni ujinga wa viongozi unaohamia hadi kwenye upuuzi kwa sisi tulio chini yao. We unazungumzia upumbavu wa kukosa vyoo mashuleni, umesahau kwamba hata madawati nalo lilikuwa tatizo sugu mpaka Magufuli alipokuja na solutions zake za vodafasta kujaribu kulipunguza? (Sijui kama liliisha).
Yeah ni kama umemaliza kila kitu. Ningeongezea tu kwamba usipuuze umuhimu wa mtu. I can tell you ile kauli maarufu inayoanza na "watu", ya watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora ni ukweli wa milele. Yote kati ya yote it begins with us, people. North Korea ipo vile kwa sababu ya watu, South Korea ipo vile kwa sababu ya watu.I agree. Basically, unachoongea ndicho naongea ila mimi na wewe tunatofautia kitu kimoja, wewe unaamini katika mtu mimi naamini katika mfumo. Risk ya kuamini mtu ni kuwa mtu huzaliwa, huishi, hufa ila mfumo huisha. Let assume magufuli was a deterministic leader, the question is how can we create/make/breed/form/produce more magufulis?. A strong institutions is the only way. Kuzani labda kuna mtu kama magufuli atakuja mbeleni tena ajenge vyoo ni kujidanganya.
South Africa sio nchi ya kuwekea mfano kabisa unless you want to highlight the negative effects of apartheid policy.
Your missing one point. Nasema south/North kama mfano ningeweza kuwa absolutist nikajiuliza tu bila kutaja hizo nchi. 60 years, watu wanaishi nyumba za miti, 60 years watu hawana maji tena Dar es salaam hapo achilia mbali Singida, 60 years kuna watu wanasomea chini ya miembe, 60 years watu wanakufa kwa kukosa huduma mhimu za afya? My friend, let be fair huu ni ujamaa wa aina gani?. Hii model imeprove failure everywhere! Na ni mfumo wa kishenzi kabisa so to speak.
Kama ndio ujamaa basi tuone atleast kila mmoja apate kidogo, kusiwe na wamasaki wala wa Kaliua. Tunahubiri ujamaa wakati hatupractice ujamaa.
Again, my point ni ile ile moja, we need strong institutions not a strong man/women. Kesho unaweza akaja mtu akaamuru mtu yeyote mwenye pesa bank hela yake ihamishiwe serikalini! {Worst case scenario}. Usiseme haiwezekani, ndivo nchi za kijamaa zinaendeshwa. A lot of bureaucracy, unfair legal system etc. Mtu unamiliki estate/shamba ila anakuja mtu anasema ardhi ni mali ya serikali hii estate kuanzia leo ni ya serikali, unaweza guess madhara yake?
Anyway, huu ni mjadala usio na tija pia,. To conclude, we have to strike a balance between the two, mixed economy with strong institutions.
Kila la heri mkuu. Nami naondoka na hilo moja. Siasa safi na uongozi bora hujengwa na taasisi imara.Yeah ni kama umemaliza kila kitu. Ningeongezea tu kwamba usipuuze umuhimu wa mtu. I can tell you ile kauli maarufu inayoanza na "watu", ya watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora ni ukweli wa milele. Yote kati ya yote it begins with us, people. North Korea ipo vile kwa sababu ya watu, South Korea ipo vile kwa sababu ya watu.
At the end of the day naondoka na kauli yako: hatuna sababu ya kuendelea kuwa maskini miaka yote hii 60. Mawazo yote ni mema.
Una maanisha nini unaposema Mwafrika ni ngumu kujitawala? Kabla ya wazungu hawajaja Afrika, kulikuwa hakuna tawala huku? Nini mchango wa hao wazungu katika kuharibu tawala zetu huku Afrika na kusimika madikteta? Mfano, kule Kongo Patrice Lumumba, alikuwa mstari wa mbele kuongoza vuguvugu la kuhakikisha Zaire inapata Maendeleo kutokana na Rasilimali zake, lakini hao makaburu (kina Botha) kwa kutumia Military Power yao, walimuweka muuaji Mobutu kuwa Rais. Hapa utasema vipi waafrika hawawezi kujitawala? Hizi ni colonial mindset, na ndio zilitumika kuhalalisha ukoloni wa kina Leopold II kule Kongo, na hatimaye kuua mamilioni ya wakongo.Bila ya kuwa na dira ya taifa na kuwa na watu sahihi kusimamia dira ni ngumu Kama taifa kupata maendeleo ya kweli wimbo utakuwa ule ule kila miaka maendeleo maendeleo wakati hakuna kitu chochote zaidi ya siasa za kijinga
Angalia matendo ya viongozi wa Tanzania utasema Wana determinations za kuleta maendeleo nchini?
Huwa namuona Botha kaburu alikuwa Kama prophet kwenye hotuba yake ambayo alizungumzia mambo mengi Sana juu ya mwafrika akidai ni ngumu Sana mwafrika kujitawala na hili lipo wazi kabisa.
Mwisho kongole mkuu una Jenga hoja na kujibu vizuri Sana.
Mnazungumzia sana mifumo, mimi nina ufahamu wa kupevuka wa uchumi masoko ( market economy ) na masoko fedha( financial Matkets), mfumo kodi ( fiscal policy ). Na runnings and control systems zake.I agree. Basically, unachoongea ndicho naongea ila mimi na wewe tunatofautia kitu kimoja, wewe unaamini katika mtu mimi naamini katika mfumo. Risk ya kuamini mtu ni kuwa mtu huzaliwa, huishi, hufa ila mfumo huisha. Let assume magufuli was a deterministic leader, the question is how can we create/make/breed/form/produce more magufulis?. A strong institutions is the only way. Kuzani labda kuna mtu kama magufuli atakuja mbeleni tena ajenge vyoo ni kujidanganya.
South Africa sio nchi ya kuwekea mfano kabisa unless you want to highlight the negative effects of apartheid policy.
Your missing one point. Nasema south/North kama mfano ningeweza kuwa absolutist nikajiuliza tu bila kutaja hizo nchi. 60 years, watu wanaishi nyumba za miti, 60 years watu hawana maji tena Dar es salaam hapo achilia mbali Singida, 60 years kuna watu wanasomea chini ya miembe, 60 years watu wanakufa kwa kukosa huduma mhimu za afya? My friend, let be fair huu ni ujamaa wa aina gani?. Hii model imeprove failure everywhere! Na ni mfumo wa kishenzi kabisa so to speak.
Kama ndio ujamaa basi tuone atleast kila mmoja apate kidogo, kusiwe na wamasaki wala wa Kaliua. Tunahubiri ujamaa wakati hatupractice ujamaa.
Again, my point ni ile ile moja, we need strong institutions not a strong man/women. Kesho unaweza akaja mtu akaamuru mtu yeyote mwenye pesa bank hela yake ihamishiwe serikalini! {Worst case scenario}. Usiseme haiwezekani, ndivo nchi za kijamaa zinaendeshwa. A lot of bureaucracy, unfair legal system etc. Mtu unamiliki estate/shamba ila anakuja mtu anasema ardhi ni mali ya serikali hii estate kuanzia leo ni ya serikali, unaweza guess madhara yake?
Anyway, huu ni mjadala usio na tija pia,. To conclude, we have to strike a balance between the two, mixed economy with strong institutions.
On point.Una maanisha nini unaposema Mwafrika ni ngumu kujitawala? Kabla ya wazungu hawajaja Afrika, kulikuwa hakuna tawala huku? Nini mchango wa hao wazungu katika kuharibu tawala zetu huku Afrika na kusimika madikteta? Mfano, kule Kongo Patrice Lumumba, alikuwa mstari wa mbele kuongoza vuguvugu la kuhakikisha Zaire inapata Maendeleo kutokana na Rasilimali zake, lakini hao makaburu (kina Botha) kwa kutumia Military Power yao, walimuweka muuaji Mobutu kuwa Rais. Hapa utasema vipi waafrika hawawezi kujitawala? Hizi ni colonial mindset, na ndio zilitumika kuhalalisha ukoloni wa kina Leopold II kule Kongo, na hatimaye kuua mamilioni ya wakongo.
Hawa wazungu, wakiacha kuwalinda watawala wanaokula nao pamoja, nakuhakikishia Afrika itakuwa na tawala nzuri na zinazojali ustawi wa watu. Afrika iliharibika hatua zake za Maendeleo ya kisiasa, kiuchumi wakoloni walipoigawana Afrika. Na hadi leo bado wapo, na ndio wanaendelea kuitesa Afrika.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kama mzungu anaweza kupandikiza madikteta katika bara la Afrika ni wazi kwamba mwafrika hawezi kujitawala ndio maana mzungu anamtumia mtu asiye na uwezo kujitawala yeye kumtawala.Una maanisha nini unaposema Mwafrika ni ngumu kujitawala? Kabla ya wazungu hawajaja Afrika, kulikuwa hakuna tawala huku? Nini mchango wa hao wazungu katika kuharibu tawala zetu huku Afrika na kusimika madikteta? Mfano, kule Kongo Patrice Lumumba, alikuwa mstari wa mbele kuongoza vuguvugu la kuhakikisha Zaire inapata Maendeleo kutokana na Rasilimali zake, lakini hao makaburu (kina Botha) kwa kutumia Military Power yao, walimuweka muuaji Mobutu kuwa Rais. Hapa utasema vipi waafrika hawawezi kujitawala? Hizi ni colonial mindset, na ndio zilitumika kuhalalisha ukoloni wa kina Leopold II kule Kongo, na hatimaye kuua mamilioni ya wakongo.
Hawa wazungu, wakiacha kuwalinda watawala wanaokula nao pamoja, nakuhakikishia Afrika itakuwa na tawala nzuri na zinazojali ustawi wa watu. Afrika iliharibika hatua zake za Maendeleo ya kisiasa, kiuchumi wakoloni walipoigawana Afrika. Na hadi leo bado wapo, na ndio wanaendelea kuitesa Afrika.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
100% I agree to disagree. Sipendi mzungumzia magufuli siku zote, RIP by the way. Unaweza kuwa sahihi but your missing some recipe. Uchumi sio kama kuswaga kundi kubwa la ng'ombe, is a science based on a testable facts. Strong personality? Labda sijui nini unamaanisha. Kwa kweli niwe muwazi sijui nini unamaanisha.Mnazungumzia sana mifumo, mimi nina ufahamu wa kupevuka wa uchumi masoko ( market economy ) na masoko fedha( financial Matkets), mfumo kodi ( fiscal policy ). Na runnings and control systems zake.
Mfumo huwa imara tuu, ukisimamiwa na strong personalities.
Mfano kama Mwendazake Magufuli angeamua kufanya chochote chema kwa nchi yetu angekifanya na kufanikiwa( he was a strong personality ), na hapo ndio angekuwa ameacha utaratibu wa kufanikisha hilo jambo ambalo ameeamua kulifanya. System.
Watu hutengeneza mfumo kadiri wanapofanya na kufanikiwa mambo muhimu, na mfumo mzuri na endelevu huwa hautungwi ila una evolve.
To push people to do things differently from what they are used to for ages, you need a strong personality to push it, by choice we prefer it to be done by a logic person.
Weak people referes these strong personalities as DICTATORS.
Afrika kuvamiwa na kutawaliwa kimabavu na wazungu, ndio kipimo cha kuwa hawakuwa na uwezo wa kujitawala?Kama mzungu anaweza kupandikiza madikteta katika bara la Afrika ni wazi kwamba mwafrika hawezi kujitawala ndio maana mzungu anamtumia mtu asiye na uwezo kujitawala yeye kumtawala.
Kuhusu Patrice Lumumba kifo chake nacho kinaonesha ufinyu wa mawazo ya mwafrika ambapo tuna ona kwamba mzungu anamtumia mwafrika kumuua mwafrika mwezake Sasa hapa mwenye kosa ni nani mwafrika au mzungu?
Mpaka mzungu kuwa na nguvu ya kuingia kwenye tawala za waafrika ni wazi kwamba mwafrika hawezi kujitawala mkuu
Baada ya mataifa mengi ya Afrika kupata Uhuru hasa kwenye miaka ya 1960 viongozi wengi walikuja kuwa hatari kuliko hata wakoloni wenyewe na mwisho waliishia kupinduliwa hata hapa Nyumbani kwetu Mzee wetu Baba wa taifa alipitia kipindi fulani Cha kutaka kupinduliwa kwa aina ya uongozi wake.
Tanzania ni unafiki tu tunao u practice, hao wengine wameweka wazi kabisa kuwa ni chama kimoja na dunia iwaelewe hivyo.Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na taratibu za kuendesha nchi zimetungwa kwa mtazamo huo wa kijamaa.
Ukiangalia nchi hizi nne, ni Tanzania pekee ambayo ni nchi ya kijamaa lakini inafuata mfumo wa vyama vingi. China, Vietnam, na Cuba hakuna habari za vyama vingi. Sababu ni kuwa ujamaa na vyama vingi hauendani kabisa. Ujamaa ni mfumo fulani wa kidikteta, hauwezi kuendana na siasa za vyama vingi.
Matatizo ya kisiasa tuliyonayo leo yanatokana na kuchanganya ujamaa na mambo ya vyama vingi. Ingekuwa vizuri tuchague moja.
Nyerere hakutaka kupinduliwa kwa sababu ya utawala wake, bali ni wajinga fulani waliotaka wazungu & waasia waondoke serikalini-Wahafidhina wa sera ya Afrikanaizesheni.Kama mzungu anaweza kupandikiza madikteta katika bara la Afrika ni wazi kwamba mwafrika hawezi kujitawala ndio maana mzungu anamtumia mtu asiye na uwezo kujitawala yeye kumtawala.
Kuhusu Patrice Lumumba kifo chake nacho kinaonesha ufinyu wa mawazo ya mwafrika ambapo tuna ona kwamba mzungu anamtumia mwafrika kumuua mwafrika mwezake Sasa hapa mwenye kosa ni nani mwafrika au mzungu?
Mpaka mzungu kuwa na nguvu ya kuingia kwenye tawala za waafrika ni wazi kwamba mwafrika hawezi kujitawala mkuu
Baada ya mataifa mengi ya Afrika kupata Uhuru hasa kwenye miaka ya 1960 viongozi wengi walikuja kuwa hatari kuliko hata wakoloni wenyewe na mwisho waliishia kupinduliwa hata hapa Nyumbani kwetu Mzee wetu Baba wa taifa alipitia kipindi fulani Cha kutaka kupinduliwa kwa aina ya uongozi wake.
Tunaizungumzia Afrika ya kabla ya ukoloni au baada ya ukoloni?Afrika kuvamiwa na kutawaliwa kimabavu na wazungu, ndio kipimo cha kuwa hawakuwa na uwezo wa kujitawala?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Watu wote wanaozungumza kuhusu mifumo sijui hapa huwa wanamaanisha katiba? Kwamba ukiwa na katiba kwa mfano kama ile ya Kenya ya posts zote za kiserikali kushindanishwa ndiyo wao wanaona itaguarantee maendeleo? Toka Kenya wawe na huo mfumo what has changed? Watu wale wale tu, mambo yale yale tu, uchumi ule ule tu wa mwenye nacho kuzidi kuwa nacho na asiye nacho kuzidi kuwa kapuku. Hiyo GDP yao ni very skewed.Mnazungumzia sana mifumo, mimi nina ufahamu wa kupevuka wa uchumi masoko ( market economy ) na masoko fedha( financial Matkets), mfumo kodi ( fiscal policy ). Na runnings and control systems zake.
Mfumo huwa imara tuu, ukisimamiwa na strong personalities.
Mfano kama Mwendazake Magufuli angeamua kufanya chochote chema kwa nchi yetu angekifanya na kufanikiwa( he was a strong personality ), na hapo ndio angekuwa ameacha utaratibu wa kufanikisha hilo jambo ambalo ameeamua kulifanya. System.
Watu hutengeneza mfumo kadiri wanapofanya na kufanikiwa mambo muhimu, na mfumo mzuri na endelevu huwa hautungwi ila una evolve.
To push people to do things differently from what they are used to for ages, you need a strong personality to push it, by choice we prefer it to be done by a logic person.
Weak people referes these strong personalities as DICTATORS.
Usiwaite wajinga mkuu walikuwa na sababu zao za msingi ambazo wewe unaziita kwa kijinga kwa kutumia uzani gani kwamba zilikuwa za kijinga?Nyerere hakutaka kupinduliwa kwa sababu ya utawala wake, bali ni wajinga fulani waliotaka wazungu & waasia waondoke serikalini-Wahafidhina wa sera ya Afrikanaizesheni.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wewe uliposema Muafrika hawezi kujitawala ulimaanisha Muafrika wa kipindi gani?Tunaizungumzia Afrika ya kabla ya ukoloni au baada ya ukoloni?
Mkuu naona hauku Soma post yangu vizuri ndio maana tunashindwa kuelewanaWewe uliposema Muafrika hawezi kujitawala ulimaanisha Muafrika wa kipindi gani?
Kwako wewe Ukoloni ni kipindi kipi? I mean unaanzia lini na kuishia lini?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huwezi muita Amir Jamal sio Muafrika sababu kwa sababu ya rangi yake. Hoja zao hazikuwa za msingi ndio maana nasema walikuwa ni wajinga (wasio na ufahamu), sababu wao Uafrika kwao ilikuwa ni rangi, badala ya uwajibikaji.Usiwaite wajinga mkuu walikuwa na sababu zao za msingi ambazo wewe unaziita kwa kijinga kwa kutumia uzani gani kwamba zilikuwa za kijinga?