Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

Huo uwajibikaji wa mwafrika ni upi unaotaka kuuzungumzia?
Utaifa wa mtu, sio rangi na haiishi kwenye uzawa. Ni namna gani anawajibika kwa taifa lake na utii wake. Unaweza kuwa mweusi kama mimi, lakini ni kibaraka, lakini unaweza kuwa kama Richard Mabala, lakini unalipigania taifa lako. Ndio maana nikasema, hoja ya wanaafrikanaizesheni waliotaka kumpindua Nyerere ilikuwa ni ya kijinga. I'm sure, leo walio hai wanatambua kuwa walikuwa wajinga.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa.

Ila mimi, nachopingana nawe ni hiyo dhana ya kilaghai ya Botha, kuwa waafrika hawawezi kujitawala. Ndio maana nasema ni ya kikoloni.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani ndani ya miaka 60 Kama taifa tuna kitu gani tumefanikiwa katika kuleta maendeleo katika taifa ?maana kila sehemu ni shida Elimu,Maji,Afya, nk kipi tumefanikiwa ndani ya 60 miaka
 
Nimekuelewa mkuu

Katika wakati huu tulipo na hali hii nini chanzo Cha matatizo yetu Kama taifa kushindwa kufikia manufaa ya national cake?
 
Shida inaanza na wewe, kutojua nini maana ya mfumo. Kuna tofauti kubwa kati ya constitution na institution.
Ningekuwa na mda ningeanzisha mada hapa niwaeleze muelewe. As starting point kuna kitabu kinaitwa Why Nations Fail by Acemoglu and Robinson kama sijakosea. Ni kitabu kikubwa sana ila kina kila kitu kuhusu economic institutions and how is shapes economic prosperity.
 
Mkuu shida hatuna desturi ya kujisomea kuongeza maarifa tupo bize na page za udaku.
 
Tanzania sio wajamaa (socialists), wanafuata mrengo usiyofungamana na upande wowote (non aligned states)
 
Kasome historia vizuri nchi za ulaya Magharibi na ulaya ya kati ziliamua kutengeneza hybrid ya ujamaa na ubepari baada ya paris Communie ya 1871.

Kwenye huduma siyo kwamba kuna ujamaa tupu siyo kweli kuwa na mfumo wa kibepari haimanishi kuwa serikali isitoe huduma kwa watu wake.

Kajielimisha juu ya Social welfare state ambako nchi za ulaya ya kati zimefanikiwa sana juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…