Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Ndio maana nilimwambia member mmoja kuwa Biblia ndio yenye shida hasa katika hili suala la Yesu, watu hutofautiana kuhusu Yesu na tatizo sio uelewa wao tu bali biblia hufanya kila upande kutoa andiko kwenye biblia hiyo hiyo kusapoti hoja yake.
Hapana biblia haina shida hata kidogo. Shida ipo kwa wanadamu maana biblia ipo kiroho na maneno yanaishi, endapo ukiliishi neno huwezi pata shida. Tatizo lipo kwa ambae hayupo kiroho.
 
Umeuliza swali la kivivu ukitarajia upate ufafanuzi ambao tayari kwa jinsi ulivyouliza swali yamkini unajibu lako hivyo wewe haupo tayari kuujua ukweli.

Ikiwa utautaka ukweli itabidi urudi nyuma uanze kusoma historia ya dunia na umalize usome siasa za dunia.

Hapo utapata ukweli kama lengo lako ni kujifunza na unataka kujua. Mpende kujifunze na kusoma itawasaidia kuwa na majibu ya maswali mepesimepesi.

Wewe hata nchi za kikiristo huzijui na bado unauliza swali la kitoto.Nina mashaka na uwezo wako wa akili na matumizi yake
 
Hapana biblia haina shida hata kidogo. Shida ipo kwa wanadamu maana biblia ipo kiroho na maneno yanaishi, endapo ukiliishi neno huwezi pata shida. Tatizo lipo kwa ambae hayupo kiroho.
Mkuu watu hutofautiana hatuna uelewa sawa hivyo wewe unaweza kusoma andiko fulani ukalielewa hivi na mwengine akalielewa vile, sasa hapo nani hayupo kiroho na yupi yupo kiroho?

Biblia ina shida mkuu tena sana, sisemi hivi kwa sababu tu mie sio mkristo bali kwa kufuatilia mijaadala ya mambo kadhaa nimegundua biblia inachangia sehemu kubwa sana.
 
Kweli wewe ni mjinga sana.yaani huna akili ya kutambua hayo machafuko yanayotekea nchi za waislam zinasababishwa na nchi za wakristo?
 
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
Izo zote si nchi za kikristo .
Ukristo hauna nchi tenaa
 
Mkuu watu hutofautiana hatuna uelewa sawa hivyo wewe unaweza kusoma andiko fulani ukalielewa hivi na mwengine akalielewa vile, sasa hapo nani hayupo kiroho na yupi yupo kiroho?

Biblia ina shida mkuu tena sana, sisemi hivi kwa sababu tu mie sio mkristo bali kwa kufuatilia mijaadala ya mambo kadhaa nimegundua biblia inachangia sehemu kubwa sana.
Inakuchanganya wewe tu lkn kwangu Mimi naiona iko sawa kabisa maana endapo mtu akiniuliza kuwa yesu Ni Nani nitamjibu short and clear kwamba Ni mwana wa Mungu na endapo hukuridhika ukauliza kwa Nini anaabudiwa nitakujibu pia kwamba mamlaka yakuabudiwa alipewa na Mungu mwenyewe. Hakuna panapo changanya isipokuwa Kama utakuwa mvivu wakusoma maandiko.

Biblia inaeleza wazi umuhimu wa yesu katika uumbaji, pia inafafanua kwa kina nafasi ya Mungu mbinguni. So anayechanganyikiwa Ni yule mwenye tafsiri zake kichwani na kutaka iwe kama anavyofahamu yeye.

Mimi hapa napata shida kukuelewesha wewe coz upo na imani nyingine hivyo Basi hata Yale yalio wazi inabidi kutumia nguvu kubwa kukuelewesha lkn haimaanishi Mimi sielewi hasha!
 
Mkuu hayo unayoeleza wewe kuhusu Yesu ni kitu unachoamini hivyo si shida kwako ila tatizo linakuja pale unapojaribu kutaka kuelezea kwa mwengine akueelewe hicho unachoamini ndipo unaona unatumia nguvu sana. Suala la Yesu hata wakristo wenyewe hutofautiana na kimsingi sio Yesu tu bali suala zima la kuhusu Mungu, wewe unaona Yesu ni mwana wa Mungu tu na hakuna utatu ila wapo wenye kuamini utatu nao hutumia maandiko kutoka kwenye biblia.

Ukisema wameelewa vibaya maandiko hilo hutokana na tafsiri mbaya ya biblia yenyewe.
 
Mimi nikiwa naongea kumwelewesha mtu siwezi taja utatu. Bali utatu unamfaa zaidi mtu ambaye tayari ameshamjua Mungu baba Ni Nani, yesu kristo Ni nani na roho mtakatifu Ni nani, huyo unaweza kumweleza habari za utatu mkaelewana. Wala unakuwa hujakosea Sana kwa sababu huo Ni utendaji wa kimungu.

Watu wengi huchanganyikiwa hasa wewe ukisikia utatu kutokana na imani ulionayo lkn kwangu Mimi mtu akisema utatu naona kawaida kwa sababu namjua vema Mungu.

Roho mtakatifu hutuongoza yakufanya tunapookoka hivyo Basi endapo unakosea Ni rahisi kukujulisha. Huwa hawezi kukubali ukosee halafu eti bado Yuko na wewe, hapana Ni uongo lazima anaondoka.

Kwahivyo ndugu unapojifunza biblia jaribu kusoma maandiko Kama yalivyoandikwa maana ndivyo yalivyo ukianza kuyapinga utakuwa wewe ndiyo mwenye tatizo kwa kutaka maandiko yakufate wewe.

Epuka kusoma biblia alafu unaanza kulinganisha na kuran utakuwa mbishi wa kila kitu. Sababu biblia Ni biblia na kuran Ni kuran hata maudhui Ni tofauti kabisa.

Epuka kusomewa maandiko, jaribu kuchimba ili usije kuyumbishwa. Neno la Mungu limeandikwa kwa ajili yakutuokoa hasa masikini. Na asilimia kubwa ya maandiko rahisi yanatosha kabisa kukufikisha mbinguni hatakama hujaweza kuyaelewa Yale magumu.
 
Mfano. Wewe Ni mkristo alafu unataka kwenda mbinguni alafu unamkubali Mungu lkn unamkataa yesu hivi unadhani Mungu atapenda? au unampenda yesu lkn roho mtakatifu unamkataa unadhani yesu atakupenda? Hivyo Basi Ni sharti kufuata maandiko yalivyoelekeza.
 
Mimi nikiwa naongea kumwelewesha mtu siwezi taja utatu. Bali utatu unamfaa zaidi mtu ambaye tayari ameshamjua Mungu baba Ni Nani, yesu kristo Ni nani na roho mtakatifu Ni nani, huyo unaweza kumweleza habari za utatu mkaelewana. Wala unakuwa hujakosea Sana kwa sababu huo Ni utendaji wa kimungu.

Watu wengi huchanganyikiwa hasa wewe ukisikia utatu kutokana na imani ulionayo lkn kwangu Mimi mtu akisema utatu naona kawaida kwa sababu namjua vema Mungu.

Roho mtakatifu hutuongoza yakufanya tunapookoka hivyo Basi endapo unakosea Ni rahisi kukujulisha. Huwa hawezi kukubali ukosee halafu eti bado Yuko na wewe, hapana Ni uongo lazima anaondoka.

Kwahivyo ndugu unapojifunza biblia jaribu kusoma maandiko Kama yalivyoandikwa maana ndivyo yalivyo ukianza kuyapinga utakuwa wewe ndiyo mwenye tatizo kwa kutaka maandiko yakufate wewe.

Epuka kusoma biblia alafu unaanza kulinganisha na kuran utakuwa mbishi wa kila kitu. Sababu biblia Ni biblia na kuran Ni kuran hata maudhui Ni tofauti kabisa.

Epuka kusomewa maandiko, jaribu kuchimba ili usije kuyumbishwa. Neno la Mungu limeandikwa kwa ajili yakutuokoa hasa masikini. Na asilimia kubwa ya maandiko rahisi yanatosha kabisa kukufikisha mbinguni hatakama hujaweza kuyaelewa Yale magumu.
Mkuu Qur'an imeingiaje hapa? Mbona kama unataka kukwepa huu utofauti wa wakristo kuhusu Mungu? Kuna wakristo wanapinga utatu na wana hoja za msingi hivyo si suala la Qur'an bali ni wakristo wenyewe na biblia yao.

Najaribu kuonesha mambo ambayo wakristo hutofautiana na jinsi biblia ilivyochangia. Hivyo silinganishi biblia na qur'an hapa.
 
Ok swala la kutofautiana lisikupe shida maana hata dini nyingine zinatofautiana.

vilevile utofauti huu hauwezi kuzuia lengo kuu. Muhimu Ni uhitaji wa kuelewa kwa kina kwa baadhi ya wachache wenye udadisi Kama wewe na mimi. Lkn kushika sheria za Mungu Ni muhimu zaidi ya udadisi huo ambao maranyingi utakuvuta kwenye kupunguza imani yako.

Ingekuwa kwamba udadisi Ni kwa Nia yakuhakiki juu yaukweli kuhusu imani, hapo Kuna tija. Lkn Kama imani tayari ipo, Basi hakuna ulazima Sana wakubeza baadhi ya Mambo.
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Russia.
Ukraine.
Haiti.
Marshall Islands.
Naona hizi ni nchi za kiislamu.
Georgia pia naona nchi ya kiislam.

Qatar.
Bahrain
Dubai
Oman
Brunei
Malaysia
Indonesia je hizi nchi za kikristo!?
Je hazina amani!?

Sijawahi kukuona ukiwa na akili kwenye mada zako wewe.
 
Back
Top Bottom